Pwani soka news

Pwani soka news Sports Analyst | Founder & C.E.O Pwani Soka News | Music | Movies | Series|
⚽ Pata Habari za kimichezo
⚽ Pata Updates zote za mechi kali
🎶 Pata Burudani
(2)

🏆 Women Champions League▪️HALF TIME▪️Fc Bayern Munich 1-1 Arsenal
09/10/2024

🏆 Women Champions League

▪️HALF TIME
▪️Fc Bayern Munich 1-1 Arsenal

▪️PRE - SEASON FREIDLY MATCH▪️FULL TIME ▪️Rwafa Fc 4-1 PSG⚽Masudi Bokoko 15⚽Hamis Swaleh 64⚽⚽ Yasir Ngare 78, 89
09/10/2024

▪️PRE - SEASON FREIDLY MATCH

▪️FULL TIME
▪️Rwafa Fc 4-1 PSG
⚽Masudi Bokoko 15
⚽Hamis Swaleh 64
⚽⚽ Yasir Ngare 78, 89

▪️Juventus CEO Scanavino :“Tuko kwenye mazungumzo na Paul Pogba na wakala wake ili kutafuta suluhisho"▪️“Na suluhisho li...
09/10/2024

▪️Juventus CEO Scanavino :“Tuko kwenye mazungumzo na Paul Pogba na wakala wake ili kutafuta suluhisho"

▪️“Na suluhisho liko wazi kabisa, ni ishu tu yakuelewana...lakin Pogba ataondoka Juventus na kuwa huru”

▪️Source Fabrizio Romano

▪️Kwa mujibu wa The United Stand ni kwamba Ten Hag ana uwezekano wa kuendelea kukinoa kikosi cha Manchester United▪️Tuzi...
09/10/2024

▪️Kwa mujibu wa The United Stand ni kwamba Ten Hag ana uwezekano wa kuendelea kukinoa kikosi cha Manchester United

▪️Tuzidi kuwa wavumilivu wakuu....

▪️Rwafa Fc imekamilisha usajili wa winga Shaban Mwachozi kutoka Administration Police Fc.▪️Karibu Kokoni Shaban.
09/10/2024

▪️Rwafa Fc imekamilisha usajili wa winga Shaban Mwachozi kutoka Administration Police Fc.

▪️Karibu Kokoni Shaban.

▪️PRE - SEASON FRIENDLY MATCH▪️9.10.2024▪️RWAFA FC vs PSG🏟️ Nyumbasita Ground🕛 3pm
09/10/2024

▪️PRE - SEASON FRIENDLY MATCH

▪️9.10.2024
▪️RWAFA FC vs PSG
🏟️ Nyumbasita Ground
🕛 3pm

▪️Tujadili kidogo.▪️Ipi ni Midlefilder kali kati ya Omar Bashir 'Riera' na Mohammed Zarah 'Mo Zara'
09/10/2024

▪️Tujadili kidogo.

▪️Ipi ni Midlefilder kali kati ya Omar Bashir 'Riera' na Mohammed Zarah 'Mo Zara'

▪️Golikipa wa Liverpool atakuwa nje ya uwanja kwa wiki 6 kutokana na mareraha aliyoyapata na atakosa mechi 7.
09/10/2024

▪️Golikipa wa Liverpool atakuwa nje ya uwanja kwa wiki 6 kutokana na mareraha aliyoyapata na atakosa mechi 7.

▪️JUMAPILI YA WAA ▪️Hii ni baada ya Denmak, Black Eagles na Lazium kuunda umoja wa PEACE ndio maana tukaipa jina la JUMA...
09/10/2024

▪️JUMAPILI YA WAA

▪️Hii ni baada ya Denmak, Black Eagles na Lazium kuunda umoja wa PEACE ndio maana tukaipa jina la JUMAPILI YA WAA.

▪️Je, BLACK EAGLES watafanya k**a walivyofanya DENMAK kushinda au watapuyanga?

▪️Tukutane Jumapili hii Kombani ground.

▪️NEXT MATCH SS ASSAD FC▪️Jumapili 13.10.2024▪️Mombasa Stars vs Ss Assad🏟️ Serani Sports Club🕛 3pm▪️Nani atashinda hii m...
09/10/2024

▪️NEXT MATCH SS ASSAD FC

▪️Jumapili 13.10.2024
▪️Mombasa Stars vs Ss Assad
🏟️ Serani Sports Club
🕛 3pm

▪️Nani atashinda hii mechi ni Mombasa Stars Au ni Ss Assad?

▪️Kwenye mechi za kirafiki za kujianda na world cup Junior Starlets wamecheza mechi 4.▪️Wameshinda mechi 3 na kutoa sare...
09/10/2024

▪️Kwenye mechi za kirafiki za kujianda na world cup Junior Starlets wamecheza mechi 4.

▪️Wameshinda mechi 3 na kutoa sare 1.
▪️Valencia CF 1-4 Kenya
▪️Intercity CF 1-4 Kenya
▪️Portugal 1-1 Kenya
▪️Dominican Republic 1-3 Kenya

▪️IJUMAA HII 11.10.2024▪️Cameroon vs Kenya🏟️ Younde - omnisports Stadium🕛 5pm▪️Lazima tupige mtu na kwao
09/10/2024

▪️IJUMAA HII 11.10.2024

▪️Cameroon vs Kenya
🏟️ Younde - omnisports Stadium
🕛 5pm

▪️Lazima tupige mtu na kwao

▪️MECHI YA JUMAMOSI 12.10.2024▪️Azzam Fc vs Generation United▪️Hapa kutapigwa moja ya mechi kali sana kuwahi kutokea kwe...
09/10/2024

▪️MECHI YA JUMAMOSI 12.10.2024

▪️Azzam Fc vs Generation United

▪️Hapa kutapigwa moja ya mechi kali sana kuwahi kutokea kwenye ligi ya Rashidabdallah_supercup
▪️Unasimama na nani, Azzam au Generation?

09/10/2024

Habari za Asubuhi Ndugu zangu.Leo ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo.
Allhamdulillah 🙏

08/10/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Rawlings Oketch Otieno, Hillary Kimutai, Rama Ramadhani, Vinda Man, Oscar S Mbena, Safari X Rashid, Christopher Generosa, Tony Muscules Snr, Prottie Jay, Msami Malika, Alfred Mayenze, Michael Ngila, Juma Ng'itu, Peter Wachakana, Edward Joseph, Mohamed Khan Godwyne, Sebastian Stanslaus Joseph, Bashir Namtubwi, Ally Mrisho, Prince Mwijo Wakwanza KE, Mafizzo TZ, Åxűű Ńàmţhà Hàţïb, Romeo DA Dollario, Usama Ibrahim, Trio Fery Hans, Ellys Innocent, Froliana Bernad, Amon Lwinga, Xhebby De Çhãtäáï, Ismail Ibrahim, Samson Laizer, Justine Robbison, Kariithi Djibouti, Alex Bukobero, Danny Haibey, Mohammed Noti, Emma Billy Fiston, Hamisi M Tagalala, Balo Mwarily Jnr, Jully Joseph, Steve Mwangi, Mustafa Ngenya, Mykol Raymond, Saidi Mapembe, Mutegi Mutugi, Ąhmëď Müsãh, Elijah Migwi K**au, Castor Nyoni, Haruna Juma, Emmanuely Edward

▪️Umeoa? Au Uko Single?
08/10/2024

▪️Umeoa? Au Uko Single?

▪️MECHI YA KIRAFIKI▪️FULL TIME▪️Dominican Republic 1-3 Kenya U 17 Girls team.
08/10/2024

▪️MECHI YA KIRAFIKI

▪️FULL TIME
▪️Dominican Republic 1-3 Kenya U 17 Girls team.

▪️Hawa hapa Magolikipa wetu shupavu.Wote wakali wa kulinda lango lao.1.Chuma wa Babu2.Suleiman Mwasiri3.Mohamed 'Donarum...
08/10/2024

▪️Hawa hapa Magolikipa wetu shupavu.Wote wakali wa kulinda lango lao.

1.Chuma wa Babu
2.Suleiman Mwasiri
3.Mohamed 'Donaruma'

▪️Anzisha mmoja
▪️Weka mmoja benchi
▪️Uza mmoja kwenda timu nyengine

🗣️ Zlatan Ibrahimovic“▪️Chelsea wasingeweza kunisajili, nina Mataji 🏆 mengi kuliko Chelsea.Labda ningewasajili mimi”    ...
08/10/2024

🗣️ Zlatan Ibrahimovic

“▪️Chelsea wasingeweza kunisajili, nina Mataji 🏆 mengi kuliko Chelsea.Labda ningewasajili mimi”

▪️Za ndaaani Naskia mwamba kaekewa mkutano hii leo.▪️Sijui atabaki wala ndio basi.
08/10/2024

▪️Za ndaaani Naskia mwamba kaekewa mkutano hii leo.

▪️Sijui atabaki wala ndio basi.

▪️NDOANO YA MVUVI leo imemnasa MOHAMED ZARAH "Mo Zara"▪️Mo Zara anaupinga mwingi sana na anasifa nyingi sana akiwa uwanj...
08/10/2024

▪️NDOANO YA MVUVI leo imemnasa MOHAMED ZARAH "Mo Zara"

▪️Mo Zara anaupinga mwingi sana na anasifa nyingi sana akiwa uwanjani, vile vile anamakosa madogo madogo anayafanya.

▪️Ebu leo taja sifa zake na umkosoe makosa kidogo arekebishe akiwa uwanjani.

▪️MECHI YA KIRAFIKI▪️Leo 8.10.2024Dominican Republic vs Kenya U17 Girls 🏟️ Centro Espanol🕛 4:30pm
08/10/2024

▪️MECHI YA KIRAFIKI

▪️Leo 8.10.2024
Dominican Republic vs Kenya U17 Girls
🏟️ Centro Espanol
🕛 4:30pm

08/10/2024

Habari za Asubuhi ndugu zangu.
K**a Umeamka salama mshukuru Mungu
🙏🙏🙏

07/10/2024

With Athman Dena – I just got recognized as one of their top fans!

▪️TP MAZEMBE kwenye rekodi yake ni balaa mno, Kwenye Kundi A yeye ndio mpinzani mwenye mafanikio mengi.▪️TP MAZEMBE ni b...
07/10/2024

▪️TP MAZEMBE kwenye rekodi yake ni balaa mno, Kwenye Kundi A yeye ndio mpinzani mwenye mafanikio mengi.

▪️TP MAZEMBE ni bingwa mara 5 kwenye ligi ya mabingwa Africa 1967, 1968, 2009, 2010 na 2015.
▪️Na pia ni bingwa mara 2 wa kombe la shirikisho Africa 2016 na 2017.
▪️TP MAZEMBE pia ni bingwa mara 3 wa Super cup.
▪️Hivi wananchi wa Yanga watatoboa kwenye hili kundi? Kazi ipo

Address

Kaloleni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pwani soka news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other Kaloleni event planning services

Show All