Queen j.j

Queen j.j Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Queen j.j, Performance & Event Venue, Lotodo, Kapenguria.

Leo hkuna aja ya Ku watch Zora hii hapa uewond
14/07/2021

Leo hkuna aja ya Ku watch Zora hii hapa uewond

𝖹𝖮𝖱𝖠 𝖶𝖱𝖨𝖳𝖳𝖤𝖭 𝖴𝖯𝖣𝖠𝖳𝖤𝖲
𝘽𝙚𝙛𝙤𝙧𝙚 𝙪𝙨𝙤𝙢𝙚 𝙨𝙞 𝙪𝙠𝙪𝙢𝙗𝙪𝙠𝙚 𝙠𝙪 𝙡𝙞𝙠𝙚 🙏🙏
Wednesday on Zora

Zora ndiyo time anatokea church. Atapatana na mamake aanze kumu attack ati amemwaribia jina. Hadi Mama Zora anajuta kumeet na babake Zora. Hamida atapata Zora akipewa maneno aulize nini kinaendelea pale. Zora ataambia Hamida yeye anaona mamake amechizi. Mama Zora atauliza haiiya, ashapoteza network..? Zora atadai at this point yeye amechoka, anamuhurumia mamake tu. Mama Zora atauliza kusema tu Zora anamuharibia jina ashakuwa chizi...? Huyo pastor Mama Zora wameheshimiana miaka mob Sana. Hiyo kanisa Mama Zora ameheshimika sana so Zora akome kumuharibia jina na kucheza na neno la Mungu. Hamida atacheka amuulize Mama Zora if anajisikia anapoongea. Juzi tu amekuja akisema mambo ya waganga, leo hii sasa amekuja na ulokole wa kanisa. Hamida atadai ama kweli Mama Zora kuna mahali waya zimekatika. Kidogo Simba atawasili pale...anashangaa kusikia ati shosho yake anakuwa wazimu 😂😂😂 Simba atauliza shosho yake k**a ako sawa. Ataanza kumpima akimuuliza ako na vidole vingapi pale. Mama Zora atajam aambie Simba yeye si rika yake. Atauliza Zora na Hamida if wamefurahi vile Simba amemkosea heshima. Hamida atamcheka tu akidai kweli leo hii ameweza. Mama Zora atauliza Hamida k**a hajachoka kuroga watu..?? Mama Zora atajitoa. Simba atabaki akiuliza k**a nyanyake amechizi. Zora atamwambia aende kwa nyumba.
Mama Zora njiani anaenda akijiuliza yani azae mtoto alafu amuite wazimu..?? Hadi Mama Zora anajiuliza k**a akili yake iko sawa.
Hamida ataambia Zora huyu mamake ataishi kuwashangaza kweli. Zora atadai daily ni kitu kipya tu. Simba atarudi kuuliza k**a kweli shosho yake amechizi. Zora atamwambia aachane na mambo ya watu wakubwa aende kwa nyumba. Hamida atauliza na huyu Pastor, anaitwa pastor JB Ni nani? Zora atadai ni rafiki tu ya babake. Alikuwa rafiki ya baba Zora. Hamida ataambia Zora basi Ni poa Zora amtafute huyu Pastor ajue mbivu na mbichi, ajue ni yapi mamake amemjaza kwa akili yule pastor.
Zora bila kusita atafika kwa pastor JB. Ni siku mob hawajapatana. Pastor anaona Zora amebadilika kiasi, Zora atadai ni life tu. JB atamuuliza Zora Simba yuko aje..? Zora atadai ako sawa. Ataulizwa na watu nyumbani..? Zora atadai hiyo ndo reason ako pale, alikuwa anataka kumuelezea pastor.
After Zora kujieleza pastor atampa pole kwa shida anapitia. JB atamwambia Zora azingatie yote amemwambia na ajue Mungu yupo. After that wataomba.
Oscar njiani atapata bangle flani. Maybe ni ya Alma. After that ataipiga picha na pia kupiga picha place walidai kulikuwa na ajali ile ya Alma. Haya yote anayafanya kisiri tu, hataki kujulikana.

Ni siku ya mazishi ya Alma na Oliver ndiye anatoa speech ya shukran kwa wote walosimama nao k**a familia kwa wakati huu mgumu. Next itakuwa ni Kwame. Anatoa speech huku akilia. Kwame ataanza kuomba Alma msamaha, yeye anajua aoichokifanya so kinamkula ndani ndani. Madiba atakam kumchukua alimwanbia it's okay.
Ogola naye analalamika ati watu walienda mazishi wakamwacha peke yake...achunge nini sasa...? Ajichunge ama..? Ogola atadai sasa hapa anapata message, anaambiwa ajichunge 😂😂😂 kidogo ogola atapata notification. Ni mazishi ya Alma iko live sasa anajionea. Atadai hapo sasa kazi nyingi ziko pale ni yeye alifaa kufanya but walimuacha.
Madiba atamtoa Kwame kwa stage. Msee atafwata next, nadhani ni MC, ataipa pole familia ya chibale then awaalike Lila na Fila waje waimbe wimbo wa kumsindikiza auntie yao. Kwame naye Ni kilio tu akiomba marehemu mke wake msamaha. Hadi Kwame anaona ni Asif Alma anamsikia. Time Lila na Fila wanaimba, tunaonyeshwa tu vile Alma aliishi kucheza na kufurahi na Kwame.
Sasa hapa kuna hawa madem watatu 😂😂 Yola, Nana na Naya...hawa nao si mnajua wako after Nani...so hii aiwaumi. Lila na Fila wataimba hadi Fila azimie. Madiba atakimbia kumchukua.
Madiba akiwa analia nje ya kanisa, tutamuona Zora amekuja na ua mkononi. Madiba akienda kuangalia hiyo side Zora yuko, Zora hataonekana. Kumbe ni time Alma mwili wake unapelekwa kuzikwa. Madiba atakuja mbele ya sanduku apige magoti aanze kulia. Oscar atakuja amchukue ampeleke kando. Watu wote watatoka kuelekea makaburini. Nana na Naya nao chuki Hadi kwa mazishi 🙆🙆🙆
Hebu acheni hata niende hivi niudhurie hayo mazishi. Tupataneni kesho majaliwa 🙏🙏🙏
Husisome alafu ukose ku like 🙏🙏
Share after reading

09/06/2020
09/06/2020
27/05/2020
Mind your own business....
27/05/2020

Mind your own business....

Address

Lotodo
Kapenguria

Telephone

+254757820083

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Queen j.j posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share


Other Performance & Event Venues in Kapenguria

Show All

You may also like