25/09/2023
😂😂😂😂
Si bae alinicall ✆ ✆ ✆ akanishow anakam sapa jioni 😋😋... Nkamshow ni sawaa 😁😁 jioni kufika,, akakam, akabisha mlango na nikafungua 😉😉 so bae wangu 💕 akadai anataka nyama 🍗😋 na nlikua na 400/ pekee kwa wallet 😥😥,,,,nikatoa nkampee aendee nyama kwa butchaa but shingo upande 😣😔😒.., Afta ametoka, nikavaa koti (kabuti) nikamfuata 😁🤣 so yy kufika kwa konaa ingne apo dark inakuaga nyuma ya ploti yetu, nikampiga ngeta 😂😂😂 nikachukua hiyo 400/ na nkakimbia mpaka kwa nyumba 🏃🏽🏃🏽💔...afta ✌ minutes, akarudi akilia 😫😫...
Me: (feeling happy 😛😛 deep in my heart) Beib ni nini mbayaa 🙄
Her: (crying) 😰😢 nmenyang'anywa ile dooh ulinipea ya nyama 😭😭..
Mara hio hio nikaingia kwa wallet nikatoa 30bob aendee sukuma 😜😋😋
At least nmesav 370/😂 Spendi ujinga na pesa za mjengo 😂😂,,,,ama iko shida kweli??🙄🙄😒😒