Bonface Mwasela

Bonface Mwasela Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bonface Mwasela, DJ, Mwatate, Coast.

30/04/2023

Drop your YouTube channel link
I'll promote your channel worldwide ❤️

26/04/2023
26/04/2023
26/04/2023
26/04/2023
21/04/2023

Hello guys

02/03/2023
26/02/2023

Ati 2090 tutakua wahenga....alafu wanafunzi watakua wanasema wahenga hawakukosea kusema kuwa "mapema ndo best😜😜😜"
😂

26/02/2023

Dating a Woman Who Appreciates The Little Things You Do For Her Is a Blessing That Shouldn't Be Taken For Granted♥️

Have a great day
23/02/2023

Have a great day

23/02/2023

NDOTO ZENYE VIASHIRIA VYA KIFO.

1.Umeota mtu aliye kufa anakutokea katika ndoto.

Kutoka 33:14
“Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.”

K**a usipo muomba Mungu ili utembee na uso wake basi shetani anaweza kutembea na uso wako au wa mtu fulani.

Mtu akifa hawezi kurudi,lakini pia kumbuka zile roho alizo kuwa nazo huyo mtu hazifi mfano roho ya mauti,uchawi,ugonjwa,kukataliwa,utasa n.k zenyewe zinaendelea kuwepo.

Mchawi anakufa lakini roho ya uchawi aliyo nayo haifi,

Eliya alitoweka lakini roho ya Eliya ya kufanya miujiza iliendelea kuwepo na kufanya kazi.
2wafalme 2:14
“Akalitwaa lile vazi la Eliya lililomwangukia, akayapiga maji, akasema, Yuko wapi Bwana, Mungu wa Eliya? Naye alipoyapiga maji, yakagawanyika huku na huku, Elisha akavuka.”

Kinacho fanyika ni kwamba adui anavaa sura ya huyo mtu ali aweze kupandikiza ndani yako roho ambazo huyo mtu alikuwa nazo,kama alikufa kwa ajari basi roho hiyo itakuingia nawe utakufa kwa namna ile ile,kama ni roho ya umasikini,kuachwa,mahangaiko itakuingia ndani yako.

Kuna mtu alimuota bibi yake aliye kufa akimpatia kitu fulani,baada ya miezi kadhaa akajikuta amekuwa mchawi,kumbe ile roho ya uchawi aliyo kuwa nayo bibi yake akiwa hai imemuingia yeye.

Adui anatumia njia hii ni kwasababu watu wanao ota ndoto ya namna hii wakistuka huona ni kawaida wakisema baba,au bibi alinitokea jana kwenye ndoto kumbe tayari adui amepandikiza roho za Giza.

Ombi.
roho yoyote ambayo adui ulipandikiza ndani ya maisha yangu kupitia ndoto ya namna hii chomoka kwa jina la Yesu.

22/02/2023

Dem analala na mzee wa butchery usiku anaota unaskia akikuguza matiti akisema ety🙊"karibu customer hii Haina mifupa"🤣🤣

21/02/2023

Jana nlikula chapati🌮na kuku🍗nkanyamazia....ingekua ni mtu mwingine angeenda akitangaza🙆‍♂️😂😂

14/02/2023

Happy Valentine's

13/02/2023

Happy Valentine's day to all my friends

Address

Mwatate
Coast

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bonface Mwasela posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bonface Mwasela:

Videos

Share

Category