KAKA EDU KE

KAKA EDU KE Jukwaa La Vijana is a youth show focusing on youth issues, entertainment and Celebrity Gossip on Ushakunaku. Hosted by Kaka Edu.

Streams on Monday to Friday from 2pm to 5pm on This page, Edu Fun Page.

How Thee deejay Friday does it every Tuesday ndani ya  . Kindly subscribe to our YouTube channel by clicking on the link...
20/07/2021

How Thee deejay Friday does it every Tuesday ndani ya . Kindly subscribe to our YouTube channel by clicking on the link below.
https://youtu.be/ZhCdPr8HHj8

How Deejay Friday does it every Tuesday...

  with  .today we doing requests kwa sana. ...!!!
19/06/2021

with .
today we doing requests kwa sana.

...!!!

   Selector Friday pon the decks   checking the controls. ...!!!
15/06/2021


Selector Friday pon the decks checking the controls.

...!!!

  kwenye   with   and
11/06/2021

kwenye with and

 Tukumbuke matukio tuliyoyapitia back in the days with The Team   na  .
10/06/2021


Tukumbuke matukio tuliyoyapitia back in the days with The Team na .

Karibu kwenye  , tuhesabu hizo ngoma kumi kali kabisa Afrika ya Mashariki ukiwa nami   Gordon Kamau.Pia nijuze kipindi u...
05/06/2021

Karibu kwenye , tuhesabu hizo ngoma kumi kali kabisa Afrika ya Mashariki ukiwa nami Gordon Kamau.

Pia nijuze kipindi unakipata vipi na nani hao ungependa kuwaweka ndani.

List ya kumi bora hiihapa, unakwenda na gani?
1. Dogo Janja Ft. Nandy – Nuru
2. Steve RnB – Binadamu na Watu
3. Gims ft Rayvanny – Señorita
4. Nuh Mziwanda – Saudi
5. Killy – Roho
6. Ringtone ft Guardian Angel – Fagia
7. W***y Paul X Klons Melody - Odi Love
8. Chris Kaiga - I Want Ft Mutoriah
9. Barnaba ft AliKiba – Cheketua
10. Femi One-Duru Ft Joh Makini

It is a big welcome kwenye    . Muziki mnene tukisonga mbele and less talk. Mjengoni upo nami    Kamau na kwenye mix nip...
21/05/2021

It is a big welcome kwenye . Muziki mnene tukisonga mbele and less talk. Mjengoni upo nami Kamau na kwenye mix nipo naye .
Tujuze kipindi unakipata namna gani.
Requests na salamu zije mapema mapema tufanikishe party hii.

Inanyonywa Hii...!!!

Welcome mdau kwenye kipindi ukipendacho     ukiwa nasi   Gordon Kamau na  . Hapa utapata burudani ya kipekee, na pia baa...
19/05/2021

Welcome mdau kwenye kipindi ukipendacho ukiwa nasi Gordon Kamau na . Hapa utapata burudani ya kipekee, na pia baadae tulipigie gumzo kwenye swala hili hapa.

Mke wangu siku hizi anafika nyumbani akiwa amechelewa sana. Baada ya kazi hafiki nyumbani moja kwa moja k**a alivyofanya awali. Nikimuuliza anasema alikua na rafiki zake, alipitia sokoni kufanya shopping alichelewa kazini kwa sababu kazi ilikua nyingi na sababu nyingine k**a hizo. Nimwamini ama kuna jambo ambalo nafichwa hapa?

Nisaidieni kwa ushauri.

...!!!

  sasa tupo kazini, tukihesabu zile ngoma kumi kali kabisa Afrika hii ya Mashariki ukiwa nami   Gordon KamauPia nijuze k...
01/05/2021

sasa tupo kazini, tukihesabu zile ngoma kumi kali kabisa Afrika hii ya Mashariki ukiwa nami Gordon Kamau
Pia nijuze kipindi unakipata vipi na nani hao ungependa kuwaweka ndani.
Comments zije zote.

...!!!

Listi ya leo hii hapa. Unakwenda na gani?

1. Nviiri the Storyteller - Niko Sawa ft Bien
2. Olakira – Sere Ft. Zuchu
3. Otile Brown X Kizz Daniel – Baby Go
4. Rosa Ree - It's Your Birthday
5. Vivian Ft Prezzo - Uko Tu Sawa
6. W***y Paul x Miss P - Mashallah
7. Bahati ft Mejja – Dear Ex Remix
8. Harmonize ft Awilo Longomba & H baba - Attitude
9. Jux - Bado Yupo
10. K.O-Chora ft. Femi One

  sasa ipo hewani, ukiwa nasi   Gordon Kamau na  . Burudani safi sana tukisonga mbele itasheheni kwenye kipindi kizima.R...
22/04/2021

sasa ipo hewani, ukiwa nasi Gordon Kamau na .
Burudani safi sana tukisonga mbele itasheheni kwenye kipindi kizima.

Requests na salamu zako ziachie hapa nami nitazifikishia walengwa wote popote walipo.

...!!!

Welcome sana msikilizaji kwenye     hii leo ukiwa nasi   Gordon Kamau na  . Muziki ni mitindo ya Reggae, na request yako...
13/04/2021

Welcome sana msikilizaji kwenye hii leo ukiwa nasi Gordon Kamau na . Muziki ni mitindo ya Reggae, na request yako itakupata popote ulipo.
Waweke kadhaa ndai pia.

...!!!

Je, katika maisha yako ushawai pata mtu aliyekushawishi kususia kitu kwa kuwa yeye hakipendi au kumchukia mtu kwa kuwa y...
01/04/2021

Je, katika maisha yako ushawai pata mtu aliyekushawishi kususia kitu kwa kuwa yeye hakipendi au kumchukia mtu kwa kuwa yeye hampendi?





Kamau mjengoni pamoja na Deejay Friday. Hi unaupata vipi mpango mzima? Sema nasi

Mishe yako ni ipi? Mie hapa nahakikisha unapata kuelimika na zaidi unapata burudani...      Kamau nipo mjengoni...sema n...
29/03/2021

Mishe yako ni ipi? Mie hapa nahakikisha unapata kuelimika na zaidi unapata burudani...





Kamau nipo mjengoni...sema nami.

Welcome sana msikilizaji kwenye     hii leo ukiwa nami   Gordon Kamau. Muziki ni mitindo ya Reggae, na request yako itak...
23/03/2021

Welcome sana msikilizaji kwenye hii leo ukiwa nami Gordon Kamau. Muziki ni mitindo ya Reggae, na request yako itakupata popote ulipo.
Waweke kadhaa ndai pia.

...!!!

  hii hapa, tuhesabu hizo ngoma kumi kali kabisa Afrika ya Mashariki. Hewani upo nami   Gordon Kamau  ...!!!Nijuze kipin...
20/03/2021

hii hapa, tuhesabu hizo ngoma kumi kali kabisa Afrika ya Mashariki. Hewani upo nami Gordon Kamau

...!!!

Nijuze kipindi unakipata vipi na nani hao ungependa kuwaweka ndani.

List ya kumi bora hii hapa, kura yako unaipa kibao ipi?

1. Abdukiba Ft. Singah - Give More
2. Rapcha - Unaua Vibe Remix Feat Femi One & King Kaka
3. Navy Kenzo – Nisogelee
4. Nacha Ft. Nay wamitego – Moto
5. Chin Bees - Haste Haste
6. Blaq Jerzee, Harmonize, Mr Eazi – Falling For U
7. Sauti Sol -My Everything ft India Arie
8. Mbosso –Yalah
9. Harmonize -Marry Me
10. Femi One -Mikiki

Karibu kwenye  , tuhesabu hizo ngoma kumi kali kabisa Afrika ya Mashariki ukiwa nami   Gordon Kamau.Pia nijuze kipindi u...
27/02/2021

Karibu kwenye , tuhesabu hizo ngoma kumi kali kabisa Afrika ya Mashariki ukiwa nami Gordon Kamau.
Pia nijuze kipindi unakipata vipi na nani hao ungependa kuwaweka ndani.

List ya kumi bora hiihapa, unakwenda na gani?
1. Singah Ft. Alikiba – Somebody
2. Rayvanny Ft. Enisa – Number One Remix
3. Nandy Featuring Koffi Olomide - Leo Leo
4. Mejja - Siskii (Kamote)
5. Masauti - Koroga
6. Mary Boyoi ft Harmonize - All I Need
7. Lady Jaydee ft Mr Blue - Kupendwa Raha
8. KITU TAMU - NaiBoi ft All stars
9. Khaligraph Jones - G LIKE That
10. Abbah ft Harmonize - Antonia

It is a big welcome kwenye    . Muziki mnene tukisonga mbele and less talk. Mjengoni upo nami   Gordon Kamau na kwenye m...
29/01/2021

It is a big welcome kwenye . Muziki mnene tukisonga mbele and less talk. Mjengoni upo nami Gordon Kamau na kwenye mix nipo naye .
Tujuze kipindi unakipata namna gani.
Requests na salamu zije mapema mapema tufanikishe party hii.

Inanyonywa Hii...!!!

Address

Posta
Nairobi
109

Opening Hours

Monday 14:00 - 17:00
Tuesday 14:00 - 17:00
Wednesday 14:00 - 17:00
Thursday 14:00 - 17:00
Friday 14:00 - 17:00

Telephone

+254790795399

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KAKA EDU KE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KAKA EDU KE:

Videos

Share