27/02/2022
MAN A GHETTO!!!Bado nakazana..though hii safari ya maisha imekauka..me'en..sa nido?En the harder I try to solve it vitu zinakua complicated.. Swali ni je,kwani sheto ananiandama?Hanitakii ndio nkirize ananishusha na siezi lose hope,nmekataa kugive up,coz am aiming for the top,En I believe in the most high God, am just waiting for my turn,you know His time is the best na Baraka Zake ni za Milele...na..milele Amina.