09/10/2023
MCEES: .. After MY simple rules for Deejays for Early Bounce Sasa these are my simple and very Basic common sense rules for Mcees saa ya Early Bounce ..
1. Please Please Please and this is Basic, Kabla Uweke Mic kwa mdomo .. Know your Low and High tones, Pitches etc .. Set the Mic appropriately .. K**a Uko na Bass kwa Sauti yako Tafadhali punguza Bass kwa Mixer Ongeza highs kidogo, K**a Wewe ni wa soprano .. Ongeza Bass Kidogo na Upunguze Midrange and Balance the highs Ndio you donβt sound k**a panya kwa Mic. Mcees wengi nimeona anachukua tu mic na Kuanza kuongea .. Know your voice and Know your mic settings ata Kabla ya kuwasha mic .. Set your Mic, Sauti yako Sio k**a ya Ze Ndiambo ama Ya Mc Lunatik .. set yours .. Basic!!
2. Mambo ya Midnight Ndio umeanza Mic test one two chietha .. K**a Huwezi Fika mapema skiza masters at work Hio kitu hufanywa kistaarabu ata Huwezi shikanisha ni Mic test one two Pand Pieri ..
3. K**a Huana Content then Kazi ya Mic Wacha tu .. itβs not for everyone .. Please .. Saa Ya Early usiongee mambo ya Pudesh na Ndio Naset ghat .. Hio time pudesh iko mbali Sana na shughuli yangu πππ .. Content inafaa kua Natural Sana K**a ZeNdiambo CureDeh, Oloo Master Badman ama Mc Jojes Iregi ..
4. Please Please Please .. Wacha Kuimba Mziki na hujui Lyrics .. Mceeing is Toasting the Music .. Hapa Jack Malle Israel angekufuta Kazi very Fast .. The Late Dj Lastborn Nae alikua anakuzimia Mic na Akuulize Kwani Mwenye aliimba Hio Mziki hakua anajua Kile anafanya? I have seen him do this .. kitambo Nilikua Naona k**a Lastborn alikua anafanya mbaya but wale mcees walipitia kwa mikono yake ni Hatari mpaka Leo β¦ singing along to few words is Ok.. Lakini unataka Kuimba verse na Chorus mpaka uingie Verse Ingine .. π‘π‘
5. Wacha Kuwalooo (Talking Nonsense) kwa Mic .. Read the Crowd, Read the Mood .. Wacha kukata Mziki then unaanza kuwaloo vitu Hazimake sense mpaka tunashindwa Sasa Huyu Anasema nini .. Wacha Kuzima Mziki kusalimia wamama wako Nkt
6. Mambo ya Kila Mziki Pull up Wacha Buana .. Mimi ata Mcees nachezaga nao wanajua sipendi Pull ups Mob .. Next nitakuzimia tu mic .. Sio kwa Ubaya, Usinikatisie flow
7. Kaa Radar Ya Dj.. Understand the transition points and Bridges Sio Dj anakupata Offguard Kila saa ukiimba Wimbo ashatoa .. Saa ya Transition Nyamaza please watu wanataka kuskia Train Gani inaingia kwa station .. Kuna Mcees wanajua Kukaribisha mziki.. Those ones have a special place in heaven .. Wanaweza fanya ujikojolee kwa Kiti ππ
8. Mcee mzuri hupelekana na energy ya Deejay .. wanakua na Chemistry Hatari .. Uliza deejay ile pace anataka muende ..βTunawabeba ama tuanzie wapi My Deejay??β .. In most cases deejay anajijua atakuambia theme ya set yake .. βTuanzie Chini Tukipandaβ then pia Wewe Hapo una moderate ..
9. Saa ingine We sDeejay get carried away and Volume (Gain) inakua juu kuliko Sauti ya Mic so the mcee is shouting and straining their voice.. Just tell the deejay politely to reduce Gain and balance with the Microphone volume .. Utajiumiza Bure .. Kesho Hauna Sauti coz you were shouting the previous night .. Usikubali Dj akuumize.. Sauti yako Ndio Jembe Yako ..
10. Balance yourself .. donβt shout kwa microphone bana .. Stop Shouting .. Set your mic, Set your Volumes .. Be Natural.
11. Tips are fines .. lakini Sasa uchukue Mia Moja uanze kuambia Dj wanataka Go Pato saa Mbili Usiku?? sieeet!
12. Dedications.. Ziko Sawa, Lakini Fanya kwa Ustaarabu .. Hapa MC Ingah anakuanga master .. Utaguzwa mahali unapenda kwa kipooole ππ
That Said, Kenya Kuna Mcees Wengi Wakali saaana, Wengine just need improvements, Wengine just need to drop the mic ππ ..
These are Mine and they are very Basic .. Kuna Zingine Nimesahau?? Zako ni Gani πππ