ZJ MARK KENYA

ZJ MARK KENYA ✨️Pŕøffëssïőnäľ ďëëjäÿ🍁
📞⁰⁷⁰⁵²⁶⁷²¹⁰
🖌følløw äńđ ľëțṣ çøńńëçț🧨
(1)

Sasa wenye hamnanga madem mnakulanga nin 24th na 31st mkirukisha mwaka??🤣🤣@topfans
27/12/2024

Sasa wenye hamnanga madem mnakulanga nin 24th na 31st mkirukisha mwaka??🤣🤣
@topfans

Nimemaliza ku fry mihogo,mnajiskia nipin location ama??🤣🤣
26/12/2024

Nimemaliza ku fry mihogo,mnajiskia nipin location ama??🤣🤣

Gícanjama kwíyumíria gúkú mucií kíroko kía úmúnthí vuva wa cousins cia Nairobi kúramúka itarí make up ..Ríu ní introduct...
26/12/2024

Gícanjama kwíyumíria gúkú mucií kíroko kía úmúnthí vuva wa cousins cia Nairobi kúramúka itarí make up ..Ríu ní introduction túreka ríngí 🤣🤣
Kary wa kamwithi , Sharon Mtoto Wamama

Na wakuu mniombee ni k**a Ile shida yangu ya macho imerudi,,nkiangalia mfuko sioni kitu 🤣🤣
25/12/2024

Na wakuu mniombee ni k**a Ile shida yangu ya macho imerudi,,nkiangalia mfuko sioni kitu 🤣🤣

Inside club kombos full house music by  harris and  g tha deejay...Kuja na kiti yko sasa 🤣🤣
25/12/2024

Inside club kombos full house music by harris and g tha deejay...
Kuja na kiti yko sasa 🤣🤣

Peer pressure kidogo usha change dini ati alhamudilah,, tulia wewe ni mútwíri 🤣🤣club kombos full house  g tha deejay  Ha...
24/12/2024

Peer pressure kidogo usha change dini ati alhamudilah,, tulia wewe ni mútwíri 🤣🤣
club kombos full house g tha deejay Harris ,,kuja na kiti yko sasa 🤣🤣
ZJ MZJ MARK KENYA

Usiku Sacco halloooooo,, I wish you a merry Christmas 🎄🎁 na mnitumie za soda,, inbox upate mpesa number 🤣🤣Thanks for kuj...
24/12/2024

Usiku Sacco halloooooo,, I wish you a merry Christmas 🎄🎁 na mnitumie za soda,, inbox upate mpesa number 🤣🤣
Thanks for kujaing ,,nawapenda bure ❤️❤️

Vile Niko Ivi najua huwa mnadhani Niko na mtu na Niko soko 🤣🤣 Nishafika apa vision one na mambo ni vulai 💥Harakisheni am...
24/12/2024

Vile Niko Ivi najua huwa mnadhani Niko na mtu na Niko soko 🤣🤣
Nishafika apa vision one na mambo ni vulai 💥
Harakisheni ama ukuje na kiti yko 🤣🤣

Uku ushago unaamka asubuhi unapata shosh amefunga jogoo na earphones zako 🤣🤣 Nishafika apa vision one na mambo ni vulai ...
23/12/2024

Uku ushago unaamka asubuhi unapata shosh amefunga jogoo na earphones zako 🤣🤣
Nishafika apa vision one na mambo ni vulai 💥💥
Harakisheni

Announcement; kuanzia Leo ukinipigia simu napatia waiter umwambie bona unasumbua customer wake 🤣🤣Leo ni  one Christmas i...
23/12/2024

Announcement; kuanzia Leo ukinipigia simu napatia waiter umwambie bona unasumbua customer wake 🤣🤣
Leo ni one Christmas ianze mapema 🎁🎁
See you therZJ MZJ MARK KENYAKZJ MARK KENYAYZJ MARK KENYAp@topfans

Youth tournament kianjuki grounds imekua lit.. Congratulations kavutiri for your win against kianjuki in the finals..Sas...
22/12/2024

Youth tournament kianjuki grounds imekua lit.. Congratulations kavutiri for your win against kianjuki in the finals..
Sasa masaa ni ya kombos in support of Harris..
ZJ MARK KENYA

Your wish is my command ameombwa Mia tatu akazima simu 🤣🤣Niko apa kianjuki grounds youth tournaments Continue following ...
22/12/2024

Your wish is my command ameombwa Mia tatu akazima simu 🤣🤣
Niko apa kianjuki grounds youth tournaments
Continue following ZJZJ MARK KENYAAZJ MARK KENYAEZJ MARK KENYA

Unajua Kwa akina bae wako ama huwa mnapatana njiani k**a hawker na dawa za mende??🤣🤣Anaitwa AnAnn NjerujAnn Njerunawatak...
21/12/2024

Unajua Kwa akina bae wako ama huwa mnapatana njiani k**a hawker na dawa za mende??🤣🤣
Anaitwa AnAnn NjerujAnn Njerunawatakia merry Christmas and a happy New year 🎁🎁
❤️❤️

Population in Kenya is 15 million men and 35million women..All women are in a serious relationship 😂😂Waiter niongezee qu...
20/12/2024

Population in Kenya is 15 million men and 35million women..All women are in a serious relationship 😂😂
Waiter niongezee quarter juu nishafika apa vision one ready for the furahiday tings .

Sisi broke ninjas with inches tutaanza kupewa attention January..Sai wanataka wenye pesa 🤣🤣Tonight we link up  one for F...
20/12/2024

Sisi broke ninjas with inches tutaanza kupewa attention January..Sai wanataka wenye pesa 🤣🤣
Tonight we link up one for Friday take over.. See you there 💥💥🙏🙏

@topfans

Uku ushago unaweka maji ya kuoga,mbuzi anakunywa,unaendea ingine unapata akikula towel unaacha sabuni unaendea towel,kur...
18/12/2024

Uku ushago unaweka maji ya kuoga,mbuzi anakunywa,unaendea ingine unapata akikula towel unaacha sabuni unaendea towel,kurudi ametafuna sabuni.unaendea ingine ukienda kuosha makwapa unaskia mtu na apo Kwa njia,nī kwega múno🤣🤣
Follow for follow

Unaingia hoteli ushago unapata mwenyewe alienda lunch nyumbani 🤣🤣Niko apa sports club,,wewe uko wap??
18/12/2024

Unaingia hoteli ushago unapata mwenyewe alienda lunch nyumbani 🤣🤣
Niko apa sports club,,wewe uko wap??

Huu ni ule mwezi ukikosa kulewa mnakosana na mbogi😀😀Nishafika apa sports club ready for wcw mashup,kujeni
18/12/2024

Huu ni ule mwezi ukikosa kulewa mnakosana na mbogi😀😀
Nishafika apa sports club ready for wcw mashup,kujeni

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZJ MARK KENYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category