01/09/2022
Haijalishi ni kwa garama gani unayachukia maisha....ila pindi utanielewa ninachokiongea kuhusu maisha ya kujishuhulisha na vibararua vya hapa na pale....itafika mahali unione mkwel na mwenye Siri nzito za watu wasio na mbele wala nyuma..... na busara ndo fimbo ya maskini.... ufakara si kilema ndo maana maskini Hana magongo
Photo by Mswahili Nongo
Gallant
Ëid swälëh