Niharlens creations

  • Home
  • Niharlens creations

Niharlens creations Doing good videography, photography,event planning and management.

10/06/2021

It's here
It's clear
It's affordable
All in Miharlens creations.

Get your videos and photos the way you want them.
We are here for your services.
0713433592.

PITO LANGUSEHEMU YA 01Naitwa Catherine, Leo ni siku ya tatu tangu nianze ajira yangu mpya k**a dada wa kazi katika nyumb...
10/03/2021

PITO LANGU
SEHEMU YA 01

Naitwa Catherine,

Leo ni siku ya tatu tangu nianze ajira yangu mpya k**a dada wa kazi katika nyumba hii yenye uwezo kidogo, ni matajiri lakini siyo sana, nyumba nzuri yenye kila kitu ndani, sebule nzuri, vyumba vizuri vya kulala, uwa wenye marumaru (tyres) na wakiwa na gari moja watu hawa walioniajiri kwao, akiwa ni mama mmoja na mumewe pamoja na watoto wao watatu, kukiwa nyumbani kumebaki watoto wawili wa k**e, mmoja aitwaye Pamela akiwa sekondari kidato cha nne na mwingine mdogo aitwae Anitha akiwa shule ya msingi darasa la nne na mwingine mdogo sana wa mwaka mmoja tu

Lakini kuna mwingine wa nne ambaye ni mkubwa simfahamu nimeambiwa tu kuwa yupo chuoni mkoani Arusha anasoma,

K**a dada wa kazi niliendelea na majukumu yangu ya kila siku, kubwa kuhakikisha nimepika na nimefanya usafi wa nyumba kila wakati kuhakikisha nyumba hiyo nzuri inabaki kwenye uzuri wake, leo ikiwa ni asubuhi ya tatu ndani ya nyumba hiyo tangu nianze kazi rasmi

Sifanyi kazi hii kwa kupenda, ila imenibidi kwa sababu fulani za lazima zilizosababisha nifukuzwe nyumbani na baba na mama na kuambiwa nikatafute mahali pa kwenda wakinikataa kabisa kuwa mimi si mtoto wao tena na wao siyo wazazi wangu kutokana na sababu fulani za kiimani ambazo siwezi kuzitaja kwa sasa kwa kiwatunzia tu heshima yao

"Cathe hujambo?" niliitwa nyuma yangu wakati nikichemsha chai jikoni nikageuka na kumkuta baba mwenye nyumba hiyo, mume wa bosi wangu bi Diana anaitwa bwana Felix ni baba mtu mzima tu na mwenye heshima zake, mtumishi wa serikali

"sijambo baba shikamoo!" nilimjibu nikipiga goti kidogo k**a nilivyozoea kufanya nyumbani kwetu mkoani kila ninapomsalimia aliyenizidi umri

"marahaba vipi umeshaweza kulitumia jiko la gesi sasa hivi?"

"ndiyo baba ila mh bado naliogopa ogopa naona k**a litanilipukia!"
"hahaha pole ndohivyo halizoelekagi haraka hata mama yako huyu wakati fulani kabla sijamuoa yako huyu alikuwaga muoga hivyo hivyo wakati tunaishi pamoja kabla sijaenda kwao kulipa mahari, analiwasha huku anatetemeka maana alizoea jiko la mkaa akawa anadhani muda wote k**a linamlipukia vile!"

"Hi kumbe mama nae alikuwaga muoga k**a mimi basi nikadhani peke yangu naliogopa!"

"nani anaogopa?" mara tukasikia sauti ya mkewe ambaye ndiye bosi wangu aliyeniajiri akiwa amesimama mlangoni kumbe akisikiliza tunachoongea

"hamna nilikuwa namwambia Cathy hapa maana anaogopa jiko la gesi bado hajalizoea ndo nikamtolea mfano wako enzi zetu zile nilivyokuletea jiko la gesi kwa mara ya kwanza ukawa unaogopa kuliwasha!"

"sikumbuki k**a nilikuwa muoga kiasi hicho, we Cathy umeshawachemshia watoto maji ya kuoga?" mkewe alinijibu akiwa wala hatabasamu

"ndiyo tayari nimewachemshia!"
"sasa unachosubiri nini kuwawekea!?"
"nilikuwa nawachemshia chai mama ili nikitoa chai niwawekee kabisa!" nilimjibu huku mumewe akitoka taratibu jikoni na kutuacha sisi wawili

Ni kweli nilishachemsha maji ya watoto lakini sikuyaweka kwenye ndoo ya kuogea, yalibaki kwenye sufuria ili nitoe kwanza chai nizime jiko la gesi ndo niyamimine maji kwenye ndoo nikawaogeshe, maana sikuliamini kabisa jiko la gesi ambalo ni mara yangu ya kwanza kulitumia

"hebu fanyaga mambo yako kwa utaratibu!" aliniambia akinitia singi kichwani kwa mkono wake

"samahani mama!" nilimjibu
"kazi kuongea na waume za watu tu na kujichekesha chekesha tafuta wa kwako!" mama huyo aliniambia akinisonya sonyo kali sikumjibu chochote nikabaki nimejiinamia tu maana nilijisikia vibaya, kwa sababu mumewe wala sikumuita alikuja tu mwenyewe

Alipotoka niliipua sufuria la chai na kuitia kwenye chupa nikaweka maji ya moto kwenye ndoo nikayapoza na kuyaweka bafuni

"Cathy hebu njoo huku!" nilisikia nikiitwa nje uwani getini

"Abee!" nikaitika na kukimbia haraka nikamkuta mama huyu mwajiri wangu getini akiwa amesimama amejishika kiuno na nje ya geti kulikuwa na kijana mmoja mrefu nisiyemfahamu akiwa amesimama

"mgeni wako huyo!" mama aliniambia
"mgeni wangu mbona simfahamu?" nilishangaa huku kijana huyo akitabasamu akiniangalia
"si mchumba wako huyo unajifanya humjui kwa sababu mimi nimembamba hapa getini anachungulia chungulia eeh?"

"hapana mimi simjui mama huyu kijana, wewe kaka unanifahamu kwani mbona mimi sikufahamu huo uchumba tumeanza lini mimi nawewe?" nilimwuliza kijana yule mrefu mweusi

"jamani Catherine unanikana mbele ya mama yako mzazi, si wewe ndiye uliyenielekeza mpaka hapa kwenu hapa ndo unanikana Catherine kisa mama yako kweli?" kijana huyo alijibu akilitaja mpaka jina langu nikabaki namtazama kwa kustaajabu, maana tangu nije kwenye nyumba hiyo ndiyo kwanza nina siku ya tatu, sipajui dukani wala gengeni wala barabarani wala nje ya geti la nyumba hiyo sijawahi kutoka sasa huyu kijana amenifahamuje mpaka jina langu pamoja na ugeni huu nilionao tena akidai mimi ni mchumba wake

"kwa hiyo kumbe ndani ya siku ya tatu tu ushaanza kunitangaza mimi mama yako mzazi na hapa ni nyumbani kwenu siyo?" mama huyu aliniuliza uso wake ukibadilika kwa hasira......

inaendelea


And they got satisfied
11/10/2020

And they got satisfied

We also do conferences if you didn't know.
03/09/2020

We also do conferences if you didn't know.

And she made it.
01/09/2020

And she made it.

Don't worry about your child being photophobic,Niharlens is all here for you, get everything to them and let the child e...
01/09/2020

Don't worry about your child being photophobic,Niharlens is all here for you, get everything to them and let the child enjoy the session.

Look no more,Niharlens is here to give you good service.
01/09/2020

Look no more,Niharlens is here to give you good service.

Doing what you like at your convenient time and place.Try and get quality photos and videos.
31/08/2020

Doing what you like at your convenient time and place.
Try and get quality photos and videos.

Address


Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+254713433592

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Niharlens creations posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Niharlens creations:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Event Planning Service?

Share