Planning your next Dubai trip from JNIA? We got you covered. Get your @emirates tickets today🛫 Call +255 742 777 333 #flyemirates #dubai #daressalam #TravelWithFastlink
Kwa safari za ndani na nje ya nchi, kwa mtu mmoja mmoja, kikundi au offisi
Tunakata ticket kwa gharama ile ile ya shirika la ndege husika, hatuna gharama za ziada. Utalipia pesa ile ile kama unayopata kwenye mitandao ya shirika husika. Au unaweza kubook safari yako na kulipa nasi kwa gharama ile ile.
Kwa uhitaji wa kubadilisha tarehe ya safari au muda wa safari usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba
+255 747 111 226 au +255 747 111 666
Au tutumie barua pepe [email protected]
Au tembelea ukurasa wetu www.fastlinksafaris.co.tz
Karibu Fastlink Safaris and Tours kwa mahitaji yako yote ya safari
Unapata tabu unapokua unakata ticket kupitia mtandaoni?
Tutakupatia ticket za ndani ya Tanzania kwa bei ile ile utakayoikuta mtandaoni, hautolipia gharama zozote za ziada.
Pia kama ungependa kubadilisha ticket yako au kuiacha wazi mpaka siku utakayoamua kusafiri bila gharama za ziada
Huduma hii ni kwa mashirika ya ndege ya ndani ya Tanzania.
Fastlink safari ni haraka na hakika!!!
FASTLINK SAFARIS ni kampuni inayojihusisha na ukataji wa ticket za ndege kwa safari za ndani na nje ya Tanzania
Tuna uzoefu zaidi ya miaka 8 katika maswala ya ukataji wa ticket za ndege
Kwa nini FASTLINK?
1. Hatuna gharama za ziada (no services charge)
Gharama za ndege za siku husika ndio hizo hizo tutakazokupatia
2. Tunaweza kukubasilishia ticket yako endapo umeahirisha safari kutokana na emergency
3. Tumaweza kukutumia ticket yako popote pale ulipo kwenye simu yako
4 Huduma zetu ni za kila siku(24/7)
Tunapatikana MILLENIUM TOWER PHASE 2 opposite ja kijiji cha makumbusho
Kwa mawasiliano zaidi piga no 0747111226 / 0746774048
#noservicescharges#