Sulle Traveller's

Sulle Traveller's Hadithi na matukio

"SAFANA YA NUHU"Inapatikana UturukiJina "Ararat" lilitajwa kwa mara ya kwanza katika Biblia katika karne ya 7 KK, ambapo...
16/10/2023

"SAFANA YA NUHU"
Inapatikana Uturuki

Jina "Ararat" lilitajwa kwa mara ya kwanza katika Biblia katika karne ya 7 KK, ambapo inajulikana k**a mlima ambapo Safina ya Nuhu ilitua baada ya Gharika.

"Bwana alimwamuru Nuhu kujenga safina ambayo familia yake na "kila kiumbe chenye mwili" (Mwanzo 6:19) waliokolewa kutoka kwa Gharika."

John Joseph Nouri alidai kuwa aligundua Safina ya Nuhu kwenye kilele cha Mlima Ararat mnamo Aprili 1887.

21/05/2023

MWANAUME WA FACEBOOK

28/12/2021
06/10/2021
22/07/2021

Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani Njombe
MwananchiJul 21, 2021Soma halisi
Njombe. Watu wawili wamefariki dunia mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa katika chumba cha kulala kwa ajili ya kupunguza baridi.

Hayo yalibainishwa leo Jumatano Julai 21, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya jeshi hilo mkoani hapa.

Alisema marehemu hao waliokutwa na umauti walifahamika kwa majina ya Benitho Mbatha (23) mpiga debe wa mjini Njombe na Jazila Said ambaye kabila ni Mndendeule (27) mkazi wa Namtumbo mkoani Ruvuma.

“Baada ya kufariki hakuna mtu ambaye aligundua k**a kuna watu wamefariki, tukio hili limetokea tarehe 17 mwezi wa saba majira ya saa tano na nusu huko mtaa nwa National Housing kata ya Njombe mjini wakiwa wamelala kwenye chumba kimoja,”alisema Issah.

Alisema sababu ya kifo chao inaonyesha wakati wakiwa hai waliweka moto wa mkaa kwa ajili ya kujihifadhi na baridi ambapo mtindo huo umekuwa ukitumika na watu wengi mkoani Njombe.

Aidha Kamanda Issa alitoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Njombe kutumia njia nyingine kujikinga na baridi na si kuota moto k**a ambavyo wengi wamekuwa wakifanya kwa kwani kufanya hivyo ni hatari kwa maisha yao.

“Niwaombe wananchi wewe unaona chumba chako ni kidogo na unatumia mkaa ndani hiyo ni hatari nyingine na huko lilikotokea tukio chumba ni kidogo na kina dirisha moja na dogo sana. Acheni kulala na jiko ndani ya nyumba sasa hivi ni hatari tafuteni nguo nzito nzito za kuzuia baridi lakini sio moto wa mkaa,”alisema Issah.

Alisema tukio hilo ni la tatu kutokea mkoani Njombe kutokana na tukio jingine kumkuta dada mkazi wa Songea aliyekuwa mhudumu wa baa moja mjini Njombe kufariki ndani kwa jiko la mkaa huku mwingine akifariki wilayani Wanging’ombe kwa jiko la mkaa.

Mmiliki wa nyumba aliyokuwa akiishiri marehemu Benitho Mbata, Amani Samsoni alisema yeye alikuwa wa kwanza kushuhudia tukio hilo baada ya kwenda kumtembelea marehemu na kuwa

Mfahamu jini mwenye utajiri wa mali mapenzi jini  na maajabu yake like page kwanza bado like kumi tuuuuu
10/01/2021

Mfahamu jini mwenye utajiri wa mali mapenzi jini
na maajabu yake like page kwanza bado like kumi tuuuuu

Jitihada ziongeke  kufika like 1000 ili tuanze kushusha vitu vilivyo andaliwa kwa umahiri mkubwa please share na wengine...
17/12/2020

Jitihada ziongeke kufika like 1000 ili tuanze kushusha vitu vilivyo andaliwa kwa umahiri mkubwa please share na wengine wa like page

MFAHAMU MUNGU WA MAPENZIcoming soon.............Katika kisa cha binti wa kabila la khoikhoi alie mzurii zaidi Like page ...
17/05/2020

MFAHAMU MUNGU WA MAPENZI
coming soon.............
Katika kisa cha binti wa kabila la khoikhoi alie mzurii zaidi
Like page kwanza

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sulle Traveller's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other Performance & Event Venues in Dar es Salaam

Show All