Flaw 255

Flaw 255 This is a special page which will be giving you update concerning Entertainment.Simply this

Taja jina la account yako pendwa instagram ambayo ukiamka tu lazima uitafute! Tunataka tujue wewe ni mtu wa aina gani😎👇🏾...
10/12/2023

Taja jina la account yako pendwa instagram ambayo ukiamka tu lazima uitafute! Tunataka tujue wewe ni mtu wa aina gani😎👇🏾 Mimi naanza hapa na



#

 Bidhaa mkononi
20/11/2023

Bidhaa mkononi

Aliyekua mkuu wa mkoa wa Kagera Alex Chalamila leo hii amehamishiwa ofisi zake mpya za Dar Es Salaam!Alex Makala anachuk...
15/05/2023

Aliyekua mkuu wa mkoa wa Kagera Alex Chalamila leo hii amehamishiwa ofisi zake mpya za Dar Es Salaam!

Alex Makala anachukua nafasi ya Amos Makala ambaye alikua mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam!
Chalamila ashawahi kua mkuu wa mkoa wa Mbeya,Mwanza,Kagera na sasa ni mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam.

Rais Samia amefanya mabadiliko haya leo baada ya seke seke la Wafanyabiashara Kariakoo.
Waziri mkuu Kassim Majaliwa alifika Kariakoo jijini Dar Es Salaam mapema leo na kuongea na wafanyabiashara!

Je unahisi Alex Chalamila ni mtu sahihi kuiongoza Dar Es Salaam?

Written by

Tarehe 1 Mwezi May 2023 imethibitishwa na shirika la sensa la Marekani kwamba kwa sasa India ndiyo nchi yenye watu wengi...
02/05/2023

Tarehe 1 Mwezi May 2023 imethibitishwa na shirika la sensa la Marekani kwamba kwa sasa India ndiyo nchi yenye watu wengi zaidi duniani ikiipita China ambayo imekua ikiongoza kwa miaka mingi sana.

Inakadiriwa mpaka sasa India ina watu Bilioni 1.426 Wakati China ina watu Bilioni 1.425 !
Tukiangalia hapa ni gap la idadi ndogo sana!

Je India itaendelea ku-maintain rekodi yao waliyoipata kwa mara ya kwanza tangu Shirika la Umoja wa mataifa kuanza kutoa takwimu Mwaka 1950?

Je unahisi Wahindi wataweza kwenda na spidi ya Wachina kwenye kuzaliana?

Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta leo tarehe 2 May 2023 amefutwa uenyekuti wa chama cha Jubilee na nafasi yake kuchuk...
02/05/2023

Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta leo tarehe 2 May 2023 amefutwa uenyekuti wa chama cha Jubilee na nafasi yake kuchukuliwa na mbunge Sabina Chege.

Uamuzi huu umekuja mara baada ya Kenyatta kufanya kikao na wajumbe wa Chama hicho siku chache zilizopita na alipendekeza kuja na barua ya kutaka kujiuzuru.
Uamuzi wa kumvua uenyekiti Rais mstaafu Kenyatta huo umekuja baada ya upande wa Chama ukiongozwa na Kanini Kega kufikia maamuzi ya kwamba Rais huyu mstaafu akija na barua ya kujiuzuru ni utovu wa nidhamu.

Uamuzi huo wa Kega umedai uongozi wa Rais Kenyatta ulifika ukomo March 2023 na katika ya chama haimruhusu mtu kuongoza kwa miezi sita.

Msanii kutokea label ya WCB na mkurugenzi wa label hiyo Diamond Platnumz  amefanikiwa kuchukua tuzo ya People’s choice i...
30/04/2023

Msanii kutokea label ya WCB na mkurugenzi wa label hiyo Diamond Platnumz amefanikiwa kuchukua tuzo ya People’s choice iliyoandaliwa maalum na Baraza la Sanaa!

Diamond hakuwa kwenye king’ang’aniro chochote mwaka huu lakini kaweza kuchukua tuzo ya Chaguo la Watu.

Mtayarishaji wa Muziki na mtambaji wa goma la Gibela amefanikiwa kutwaa tuzo ya mtayarishaji bora wa mwaka katika upande wa Hiphop!

Endelea kufwatilia kwa updates zingine za tuzo Tanzania Music Awards (TMA)

Mtayarishaji wa Muziki na mtambaji wa goma la Gibela  amefanikiwa kutwaa tuzo ya mtayarishaji bora wa mwaka katika upand...
30/04/2023

Mtayarishaji wa Muziki na mtambaji wa goma la Gibela amefanikiwa kutwaa tuzo ya mtayarishaji bora wa mwaka katika upande wa Hiphop!

Endelea kufwatilia kwa updates zingine za tuzo Tanzania Music Awards (TMA)

Msanii Bilnass  amefanikiwa kutwaa tuzo ya Mwana Hiphop bora wa mwaka wa Kiume 2022,Billnass anayefamila zaidi kwa uuzaj...
30/04/2023

Msanii Bilnass amefanikiwa kutwaa tuzo ya Mwana Hiphop bora wa mwaka wa Kiume 2022,
Billnass anayefamila zaidi kwa uuzaji wa Simu na vifaa vyake katika kampuni yake ya .

Billnass mwana Hip-Hop bora wa Mwaka je unakubalinana na hili?

Msanii kutokea label ya Konde gang Harmonize  amefanikiwa kushinda tuzo ya Msanii bora wa Kiume kwa mwaka 2022!Harmonize...
30/04/2023

Msanii kutokea label ya Konde gang Harmonize amefanikiwa kushinda tuzo ya Msanii bora wa Kiume kwa mwaka 2022!

Harmonize amekua akifanya vizuri sana mwaka jana,ana stahili kuchukua hii tuzo kwa asilimia kadhaa!

Staa wa muziki wa Singeli  amefanimiwa kutwaa tuzo ya kipengelee alichokua aking’ang’ania cha Mtumbuizaji bora 2022.Ikum...
29/04/2023

Staa wa muziki wa Singeli amefanimiwa kutwaa tuzo ya kipengelee alichokua aking’ang’ania cha Mtumbuizaji bora 2022.

Ikumbukwe mwaka jana Msanii Sholo Mwamba alifanikiwa kutwaa tuzo tatu katika viipengele tofauti tofauti.

Endelea kutufwatila uendelee kupata updates ya kinachojiri kwenye utoaji wa tuzo.

Dancer kutoka Label ya WCB   amefanikiwa kutwaa tuzo ya dancer bora wa k**e kutoka kwenye tuzo za Tanzania Music Awards(...
29/04/2023

Dancer kutoka Label ya WCB amefanikiwa kutwaa tuzo ya dancer bora wa k**e kutoka kwenye tuzo za Tanzania Music Awards(TMA)

Endelea kufwatalia tutakupa Updates zote za Washindi wa tuzo hizi.

Mwanamziki kutoka Too much Money  amefanikiwa kutwaa tuzo ya mwanamziki bora wa kiume Dancehall kutoka kwenye tuzo za Ta...
29/04/2023

Mwanamziki kutoka Too much Money amefanikiwa kutwaa tuzo ya mwanamziki bora wa kiume Dancehall kutoka kwenye tuzo za Tanzania Music Awards(TMA)

Endelea kufwatalia tutakupa Updates zote za Washindi

Msanii kutokea marekani Jackman Thomas Harlow maarufu k**a  amekiri na kusema baada ya Eminem hakuna msanii mzungu mwing...
29/04/2023

Msanii kutokea marekani Jackman Thomas Harlow maarufu k**a amekiri na kusema baada ya Eminem hakuna msanii mzungu mwingine yoyote anayeweza kumkalisha kwa kuimba Ngumu

Msanii Jack Harlow alitamba na nyimbo yake ya First Class Swipe left kuitazama.

Wacheck  kwa repair ya Smartphone yako either Android or ios,pia wanauza simu mpya na used bila kusahau wanafanya Top up...
29/04/2023

Wacheck kwa repair ya Smartphone yako either Android or ios,pia wanauza simu mpya na used bila kusahau wanafanya Top up!

📍Makumbusho bus Stand
📞 +255752249735


Jonathan Jacob Meijer raia wa Uholanzi amelewa onyo na Mahak**a ya Uholanzi kuacha kabisa kusambaza mbegu za uzazi(Sperm...
29/04/2023

Jonathan Jacob Meijer raia wa Uholanzi amelewa onyo na Mahak**a ya Uholanzi kuacha kabisa kusambaza mbegu za uzazi(Sperms) katika maKliniki ya nchini humo,

Ikumbukwe ya kwamba Jonathan tayari ameshasambaza mbegu zake duniani kote na kufikia idadi ya watoto 550 ambao wamepatikana kupitia mchango wake huu mahususi.

Mahak**a imemwambia akiendelea kufanya hivyo basi atachajiwa kiasi cha $100,000(sawa na 230,000,000Tsh)

Source:New York Post webiste

29/04/2023
Azam Milk kutoka kwa  ni namba moja kwa sasa Tanzania nzima.Kwa Maziwa yenye afya na Ubora wacheki  au nenda kwenye madu...
29/04/2023

Azam Milk kutoka kwa ni namba moja kwa sasa Tanzania nzima.
Kwa Maziwa yenye afya na Ubora wacheki au nenda kwenye maduka yoyote yale yaliyo karibu na wewe upate Azam Milk na uanze siku yako!

Mkurugenzi wa label ya Next Level Music(NLM)  amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Kipindi ch xxl ya Clouds Fm ya kwamb...
29/04/2023

Mkurugenzi wa label ya Next Level Music(NLM) amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Kipindi ch xxl ya Clouds Fm ya kwamba yeye na msanii hawana noma saizi.

Rayvanny amefunguka ya kwamba Harmonize alimcheki akamwambia “Hakuna haja ya kugombana sisi wote tunakua”
Kwa usemi huu ina maanisha Tutegemee ngoma yoyote kutoka kwa wawili hawa?

Yanga wameliotea Jinamizi la kufumania Nyavu cheki sasa rekodi zake za msimu huu.MCongo anafumga magoli k**a ni mwezi mt...
27/04/2023

Yanga wameliotea Jinamizi la kufumania Nyavu cheki sasa rekodi zake za msimu huu.

MCongo anafumga magoli k**a ni mwezi mtukufu wa Ramadhani vile.
unastahili Pongezi kubwa sana kwa kazi na shughuli unayoifanya Uwanjani.
9 Appearances
5 Goals
1 Assist

Watu wanaojua Football hawawezi kuleta mdomo wala kukosoa k**a mtu anafanya vizuri.

Tarehe 30 watakua Kwa Mkapa wanajidhatiti na ushindi wao walioupata Nigeria!
Tukitokeze kwa Wingi kwa Mkapa tuivushe Timu yetu ya Kitanzania.



Jeshi la Marekani limekubaliana na Jeshi la Korea Kusini kupeleka Troops za Kijeshi katika Bahari ya Korea Kusini,hii in...
27/04/2023

Jeshi la Marekani limekubaliana na Jeshi la Korea Kusini kupeleka Troops za Kijeshi katika Bahari ya Korea Kusini,hii inakuja mara baada ya Tishio kubwa la Korea Kaskazini kuhatarisha kuachia makombora ya Nuclear kwa majirani zake Korea Kusini.

Marekani kupeleka majeshi yake kwenye bahari hii ni rekodi amabayo kwa miaka mingi ilikua haijatimizwa na marais tofauti tofauti.
Miaka 40 imepita tangu kwa Marekani kufanya hivi.

Ikumbukwe Korea Kaskazini na Marekani ni maadaui wa muda mrefu sana,hawana ushirikiano wowote ule lakini Marekani na Korea Kusini wana ushirikiano wa kudumu.

Je nini unahisi kitatokea Marekani akipeleka majeshi yake karibu na Korea Kaskazini?

✍🏾

Katika pita pita tukakutana na hizi Comments ambazo hakika zitakuacha HoiKwani WaTanzania tuna nini jamani?😂    **andaki...
27/04/2023

Katika pita pita tukakutana na hizi Comments ambazo hakika zitakuacha Hoi
Kwani WaTanzania tuna nini jamani?😂

**andakipori

#2023

 wamekuna na huu mchongo wa kulipia katika Lake Victoria Marathon  Fwata hatua hapo juu kisha Tuingie kwenye Mapambano k...
25/04/2023

wamekuna na huu mchongo wa kulipia katika Lake Victoria Marathon

Fwata hatua hapo juu kisha Tuingie kwenye Mapambano kidijitali.

Mshabuliaji wa Club ya PSG Leonel Messi ameripotiwa kuonekana katika Airport ya Barcelona akiwasili na Familia yake yote...
25/04/2023

Mshabuliaji wa Club ya PSG Leonel Messi ameripotiwa kuonekana katika Airport ya Barcelona akiwasili na Familia yake yote!
Inasadikika Messi ametua Nchini Hispania kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho na Rais wa Barcelona Joan Laporta
PSG imeeleza ya Kwamba kwasasa imejikita katika kuendeleza vipaji vya wachezaji makinda na kutotaka kuwapa nafasi wachezaji wenye umri mkubwa,mpaka sasa Messi ana umri wa miaka 35.

Ikumbukwe mkataba wa Lionel Messi unatarajiwa kuisha mwezi June na mpaka sasa Messi bado hajaongeza Mkataba!

Maana ya Camouflage ni kitendo cha kubadilisha muonekano au mandhari ili kufanana na mazingira husika.Wanajeshi wanatumi...
24/04/2023

Maana ya Camouflage ni kitendo cha kubadilisha muonekano au mandhari ili kufanana na mazingira husika.

Wanajeshi wanatumia sana mbinu hizi wakiwa Vitani kwa ajili ya kujificha au kumuwinda Adui.

Nimekuwekea Picha Ili niweze kuona wangapi wangeweza kutambua k**a wangekua Wanajeshi

Tuambie,wewe umeona wapi na wapi?

Polisi nchini Kenya wanamshikilia mchungaji wa kanisa la Good news international Church Paul Mackenzikwa  kwa kosa la  k...
23/04/2023

Polisi nchini Kenya wanamshikilia mchungaji wa kanisa la Good news international Church Paul Mackenzikwa kwa kosa la kuwataka waumini wake wafunge mpaka kufa njaa ndiyo wapate njia nzuri ya kwenda Mbinguni kwa haraka.

Polisi wamebaini miili hii katika kijiji cha Shaka Ola kaunti ya Kilifi nchini Kenya.
Miili hiyo imepatikana baada ya msako mkali wa maafisa wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DCI)

Miili hiyo ilikua imezikwa katika kipande cha ardhi kwa takribani siku tatu,miongoni mwa miili iliyokutwa ni miili ya watoto!
Polisi imeeleza kuwa itaendelea kufukua vipande vya ardhi zaidi.

Mchungaji Mackenzi yupo mahabusu ya nchini Kenya chini ya usimamizi wa Polisi wakati uchunguzi ukiendelea.
Paul Mackenzi amefanya mgomo wa chakula huko huko mahabusu alipo!
✍🏾

UPDATES KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA:RIVERS UNITED 0 - YOUNG AFRICANS SC 2(Fiston Mayele 73’ 81’)Club ya Yanga imejihakiki...
23/04/2023

UPDATES KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA:
RIVERS UNITED 0 - YOUNG AFRICANS SC 2
(Fiston Mayele 73’ 81’)

Club ya Yanga imejihakikishia kwenda nusu fainali kwa asilimia 60+
Lakini this is Football lolote linaweza tokea kwa Mpaka!

Polisi nchini Kenya wanamshikilia mchungaji wa kanisa la Good news international Church Paul Mackenzikwa  kwa kosa la  k...
23/04/2023

Polisi nchini Kenya wanamshikilia mchungaji wa kanisa la Good news international Church Paul Mackenzikwa kwa kosa la kuwataka waumini wake wafunge mpaka kufa njaa ndiyo wapate njia nzuri ya kwenda Mbinguni kwa haraka.

Polisi wamebaini miili hii katika kijiji cha Shaka Ola kaunti ya Kilifi nchini Kenya.
Miili hiyo imepatikana baada ya msako mkali wa maafisa wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DCI)

Miili hiyo ilikua imezikwa katika kipande cha ardhi kwa takribani siku tatu,miongoni mwa miili iliyokutwa ni miili ya watoto!
Polisi imeeleza kuwa itaendelea kufukua vioande vya ardhi zaidi.

Mchungaji Mackenzi yupo mahabusu ya nchini Kenya chini ya usimamizi wa Polisi wakati uchunguzi ukiendelea.
Paul Mackenzi amefanya mgomo wa chakula huko huko mahabusu alipo!
✍🏾

Jaribu kufikiria umeamka asubuhi halafu hujui hata ufanye nini ili siku yako ianze,unajihisi umechoka unahisi huna muele...
11/04/2023

Jaribu kufikiria umeamka asubuhi halafu hujui hata ufanye nini ili siku yako ianze,unajihisi umechoka unahisi huna muelekeo wa siku yako itakua vipi yaani kifupi huelewi chochote.

Sasa,kila mtu ana upande mwingine katika haya maisha,sasa ukikutana na changamoto k**a hii nadhani ndiyo muda muafaka wa kubadilisha upande mwingine wa nafsi yako,

Sasa fikiria kwamba upo katika upande mwingine wa jinsi ulivyo,tumia nafasi hiyo kujaribu kutafakali ni jinsi unaweza kutatua tatito la aina hii.
Upande wa pili wa nafsi zetu unaona maovu na makosa mengi sana ambayo tunayafanya tukiwa na nafsi zetu halisia.
Fikra huru huja na lugha sahihi

✍🏾

Rais Wa Marekani Joe Biden na makamu wake Kamala Harris wameonesha nia ya kuwania tena kiti hicho cha urais mwakani 2024...
10/04/2023

Rais Wa Marekani Joe Biden na makamu wake Kamala Harris wameonesha nia ya kuwania tena kiti hicho cha urais mwakani 2024!
Wawili hawa wameonesha nia lakini hawajasema lini watathibitisha taarifa hizi.

Ikumbukwe kua Rais wa Marekani Biden yupo kwenye mgogoro mkubwa sana wa kiuchumi,ikiwemo uwezekano wa kushuka kwa thamani ya dola.
Dola ya marekani inapata heka heka baada ya Muungano wa Nchi tano kutaka kuunda hela yao,nchi hizo ni Brazil,Russia,India,China na South Africa (BRICS)

Gharama za Maisha nchini Marekani zimepanda mara dufu,Je unadhani Biden atashinda vita hii kali ambayo Donald Trump ameshaonesha nia ya Kuwania pia.

✍🏾

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Flaw 255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other Performance & Event Venues in Dar es Salaam

Show All