MC LAK Part solution

MC LAK Part solution Tunawakaribisha watu wote kupata huduma zetu popote ulipo ndani ya dar es salaam na nje ya dar es salaam ...makeup Bomba kwa shughuli mbalimbali

📱0694008065
23/07/2024

📱0694008065

No filter no editing..
23/07/2024

No filter no editing..

Simple no brushes ☎️0694008065
20/07/2024

Simple no brushes ☎️0694008065

20/07/2024
Beautiful in beauty ❤️☎️📱 0694 008065
11/07/2024

Beautiful in beauty ❤️
☎️📱 0694 008065

Temeke hivi ndivyo mnavyo tafuta ela Kwa nguvu Kwa wafanya biashara wadogo ni mwezi umepita toka mpime mabango na barua ...
15/04/2024

Temeke hivi ndivyo mnavyo tafuta ela Kwa nguvu Kwa wafanya biashara wadogo ni mwezi umepita toka mpime mabango na barua hii imeandikwa taree 19 mwezi wa tatu Leo no taree 15 mnaniletea barua nvakuniambia nilipe ndani ya siku 7 nisipo lipa fain milioni ivi hii ni haki Sasa niwaambie kulipa iyo ela ndani ya siku 7 siwez je Fain ndo nitaweza au ndo mnataka nikakope Kwa riba sababu yakuwalipa ili nilipe deni na riba hivyo ndivyo serikali inauwa biashara zetu Kwa vitu k**a hivi.and Bango 18 ipi wakati Mimi ndie nilie tengeneza jaman embu mfirikie na je mnatoa elamu Kwa wafanya biashara ni Bango gani zinalipiwa na zinalipiwaje au mnajua kuleta barua tuu hii inaumiza Kwa kweli ona vijana wako tunajitaidi kutafuta na makwazo tunayokutana nayo apo bado hatujalipa Kodi,leseni na service levy na nyinginezo ukipiga maesabu unajiuliza hii biashara nafanyia kazi serikali Mimi hakuna nachopata jaman

Helloo wateja wetu tunashukuru Kwa uvumulivu wenu tulikuwa nje ya social media Kwa mda kidogo ingawa huduma zilikuwa zin...
08/05/2023

Helloo wateja wetu tunashukuru Kwa uvumulivu wenu tulikuwa nje ya social media Kwa mda kidogo ingawa huduma zilikuwa zinaendelea...shukrani za pekee Kwa wateja walio kuwa wanakuja na bado wanaendelea kuja bila kuona mtandaoni.....NASEMAJEEE MASEMAJEEE TUMERUDI...tunamambo mazuri na mengi mnao kuja saloon mnajua mnao subir picha mtandaoni basi TUMERUDI kaeni mkao wa kula...wateja zetu tulio wahudumia wakati tunachangamoto za simu nawaombeni sana Kwa heshima zote mtutumie basi picha Kwa namba yetu ya what's up 0784353933 wale tulio wapiga Kwa photographer zipo tutazipost apa ..karibuni sana Fem beauty point

To get this look is simple just call us 0784353933....phone camera sitll cute.
20/10/2021

To get this look is simple just call us 0784353933....phone camera sitll cute.

Address

Dar Es Salaam Sinza Madukani
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MC LAK Part solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MC LAK Part solution:

Videos

Share