Baridi Music

Baridi Music Music

26/08/2022

15 seconds · Clipped by Mbebi ze Ticha · Original video "MBEBI mpambanaji (Offical music Video)" by Mbebi ze Ticha

26/02/2022

Official music Video

20/02/2022

Videos Production

29/01/2022
14/01/2022

TV

https://mdundo.com/a/197129
07/11/2021

https://mdundo.com/a/197129

All songs and albums from Mbebi ze Ticha you can listen and download for free at Mdundo.com. Now available 10 songs

Mbebi Ze Ticha
05/11/2021

Mbebi Ze Ticha

30/10/2021

Mbebi ze Ticha

30/10/2021

Bahi Makulu-DODOMA TV

30/10/2021

Tazama mdomo ulivyoponza kichwa

28/10/2021
12/05/2020
CORONA VIRUS ( COVID-19 )TUZINGATIE ILABU TANO ZA KISWAHILI                 a     e    i     o     u  a/  Acha kusalimia...
10/05/2020

CORONA VIRUS ( COVID-19 )
TUZINGATIE ILABU TANO ZA KISWAHILI
a e i o u

a/ Acha kusalimiana kwa mikono.
e/ Epuka mikusanyiko na safari zisizo za lazima.
i/ Izuie chafya yako kwa kiwiko cha mkono au kitambaa safi.
o/ Osha mikono mara kwa mara kwa sabuni au kitakasa mikono.
u/ Uonapo dalili za ugonjwa wahi kituo cha afya mapema.
TUSICHUKULIE MZAHA CORONA NI JANGA LA TAIFA..!!

FANYA HIVI KUEPUKANA NA KISUKARI..
08/02/2019

FANYA HIVI KUEPUKANA NA KISUKARI..

AFYA BORA..MWILI siku zote haujengwi na matofari hivyo ndivyo wanavyosema wahenga. Mwili ili ukamilike lazima uwe na afy...
27/11/2018

AFYA BORA..

MWILI siku zote haujengwi na matofari hivyo ndivyo wanavyosema wahenga.
Mwili ili ukamilike lazima uwe na afya tena ni afya iliyo bora.
Leo nimeamua kukukumbusha tu baadhi ya vitu ambavyo vitafanya mwili kuwa na afya bora;
1) Usiwe na mawazo , japo wanasema "kila mtu na Mawazo" lakini Mawazo yasiyo na mbele wala nyuma hayana maana.
2) Fanya mazoezi, mazoezi ya Mara kwa Mara pia yatasaidia kuupa mwili afya bora na kuondoa uzito usihitajika.
3) Maji mengi, tunafahamu ya kuwa mwili umeundwa na maji kwa 75% hivyo bado maji yanahitajika kwa kiasi kikubwa kwani kila siku mwili hupoteza Lita 2-3 za maji.
4)Kulala na kupumzika,pia inafahamika kuwa siku moja ina masaa 24, tunagawanya Massa hayo kwa 3,tunapata Massa 8 hivyo kwenye 24 kuna 8 tatu ambazo ndizo masaa ya kazi ,kupumzuka na kulaa.(8+8+8).
5) Mlo kamili, vyote hivyo vinaongozwa na mlo kamili, yaani chakula cha kujenga( protein mf -nyama,maharagwe n.k),kutia nguvu(wanga mf- nafaka k**a mahindi,mchele,viazi n.k) na kuulinda mwili( matunda mf- ndizi,embe,oapai n.k) hapo ndo utakuwa unaitafuta AFYA BORA.
kila la kheri.

DONDOSHA CHOZI..USIJIZUIE KULIA PALE INAPOHITAJIKA KUDONDOSHA MACHOZI...PALE unapodondosha machozi huwa unaupa mwili tib...
23/11/2018

DONDOSHA CHOZI..

USIJIZUIE KULIA PALE INAPOHITAJIKA KUDONDOSHA MACHOZI...

PALE unapodondosha machozi huwa unaupa mwili tiba muhimu sana dhidi ya maradhi k**a;
Vumbi au uchafu uliopo kwenye macho huondolewa kabisa unapolia na kumwaga machozi.
Uchungu,Hasira au maumivu juu ya kitu Fulani pia huondoka kabisa pale unapolia na kumwaga machozi.

Lia pale panapostahili.

MABOGA NA MBEGU ZAKE ZINAVYOUPA MWILI AFYA BORA.MABOGA yana vitamini B,C na madini ya zink , Na kuna kazi kubwa muhimu s...
06/10/2018

MABOGA NA MBEGU ZAKE ZINAVYOUPA MWILI AFYA BORA.

MABOGA yana vitamini B,C na madini ya zink , Na kuna kazi kubwa muhimu sana zifanyazo na maboga pamoja na mbegu zake katika miili ya wanaadam.
Matatizo k**a ya minyoo,uchafu kwenye figo na saratani hukosa nguvu kabsa kuushambulia mwili uliojazwa madini na vitamini vilivyotoka katika maboga na mbegu zake.
MABOGA kiukweli yanahitajika kwa kiasi kikubwa mwilini kwa afya na kinga ya maradhi mbalimbali. Hivyo tujizoeze kula maboga yaliyopikwa ama kuchemshwa pasipo kutupa mbegu zake..

UMUHIMU WA CHAI YA TANGAWIZI:TANGAWIZI ina kazi nyingi sana mwilini k**a vile kupunguza homa,kusafisha ulimi,kutia nguvu...
27/09/2018

UMUHIMU WA CHAI YA TANGAWIZI:

TANGAWIZI ina kazi nyingi sana mwilini k**a vile kupunguza homa,kusafisha ulimi,kutia nguvu,kuondoa baridi na Mafua,kikohozi na ugonjwa wa pumu.
Tengeneza chai ya tangawizi kisha changanya na asali na pendelea kunywa Mara kwa Mara hasa mwanandoa.
K**a mama wa familia ni vyema ukamtengenezea mmeo kila siku baada ya chakula cha usiku na kabla ya kulala kwa kuimarisha hiyo ndoa yenu..
Kila la kheri..

MAAJABU YA SHUBIRI ( ALOE VERA )NI nzuri sana kwa maradhi mengi k**a vile tumbo na ngiri.Chemsha au loweka kwenye maji k...
15/09/2018

MAAJABU YA SHUBIRI ( ALOE VERA )

NI nzuri sana kwa maradhi mengi k**a vile tumbo na ngiri.
Chemsha au loweka kwenye maji kwa mda kidogo kisha pata kikombe kimoja kutwa Mara mbili yaani asubuhi na jioni au kila baada ya kufanya mazoezi ya mwili hasa wale wa kabumbu na ndondi itakusaidia sana..
Kila la kheri.

UFANISI WA MATANGO KWENYE MIILI YA WANADAMU.MATANGO yana kazi kubwa sana k**a kuilinda ngozi dhidi ya magonjwa ya ngozi,...
13/09/2018

UFANISI WA MATANGO KWENYE MIILI YA WANADAMU.

MATANGO yana kazi kubwa sana k**a kuilinda ngozi dhidi ya magonjwa ya ngozi,kusafisha tumbo na kuzuia mapigo ya moyo pia,kinga kwa matatizo ya macho.
Matango yanasafisha mirija na kibofu cha mkojo.

Chembe chembe/vipande vya matango ni tiba ya kuondoa sumu nje ya sehemu iliyoumwa na mdudu.
KULA MATANGO SANA UKIPENDA CHANGANYA VIPANDE KWENYE KACHUMBARI MBICHI.

BIRINGANYA NI MUHIMU SANA MWILINI.BIRINGANYA zina kiwango kikubwa sana cha vitamini B na C katika urangi wake wa weusi n...
12/09/2018

BIRINGANYA NI MUHIMU SANA MWILINI.

BIRINGANYA zina kiwango kikubwa sana cha vitamini B na C katika urangi wake wa weusi na zambarau.
Pia kuna madini adimu ya magnesium na potassium ambayo ni muhimu kwa misuli na nguvu.

Pale unapotumia biringanya Mara kwa Mara ni huwa unajikinga na maumivu ya meno kwa asilimia kubwa.
KULA MARA NYINGI ZAIDI KWA AFYA ILIO NJEMA.

KWANINI TUNAKULA KABICHI..? ( CABBAGE)KWASABABU ni mmea wenye vitamini vitatu kwa pamoja yaani A,B,na C. Na pia kuna mad...
08/09/2018

KWANINI TUNAKULA KABICHI..? ( CABBAGE)

KWASABABU ni mmea wenye vitamini vitatu kwa pamoja yaani A,B,na C. Na pia kuna madini mengi k**a vile calcium, potassium, sodium na phosphorus na kazi kubwa ya mmea huo ni kusafisha damu mwilini.

Mbali na hivyo, kabichi hupambana na maradhi k**a ya kichwa,kifua,vidonda vya tumbo,uvimbe tumboni,homa ya manjano na mpapatiko wa moyo.
Pia ni msaada tosha wa tatizo la choo.

Unga wake ukitengenezwa kitaalamu ni tiba ya ukurutu na magonjwa ya ngozi.
USISAHAU KULA KABICHI KWA KIPINDI KIREFU JITAHIDI HATA MARA MOJA KWA WIKI.

16/07/2018

USIKUBALI KUITWA MWANAUME SURUALI...!

WEWE NI MASHINE
********************

TAMBUA kuwa hakuna ugonjwa wa NGUVU ZA KIUME Bali ugonjwa ni wewe mwenyewe, ndiyo ni wewe mwenyewe kwani unakosea kwenye vyakula unavyokula hupati mlo wenye kurutubisha hizo nguvu mfano msisimko kwenye mzunguruko wa damu.
Embu ngoja Leo nikupe orodha ya vyakula unavyopaswa kula k**a mwanaume machine;-
1.TIKITI MAJI.
Pendelea kula tikiti maji Mara kwa Mara tena ikibidi tafuna na mbegu zake kwani ndizo zenye virutubishi, Pata hata vipande vitatu kabla ya kulala kila siku.
2.TANGAWIZI.
Chemsha tangawizi halafu tumia asali mbichi k**a sukari badala ya sukari ya dukani. Kunywa kinywaji hicho asubuhi na jioni kila siku.
3.INI LA KUKU.
kula Mara kwa Mara INI LA KUKU tena wa kienyeji ukiwa umechanganya na kitunguu swaum au tangawizi.
4.MAYAI YA KUKU.
Mayai ya kuku wa kienyeji changanya na asali kula na chakula cha usiku hadi ushibe kisha ingia mchezoni.
5.PWEZA.
Mchuzi wa pweza pata angalau vikombe viwili kabla ya kushiriki tendo la ndoa.
Kwa wale wa pwani wanaelewa.
6.NAZI,KARANGA NA MUHOGO MBICHI.
Tafuna vipande kadhaa vya Nazi,muhogo mbichi na Katanga k**a robo kilo hivi halafu vuta pumzi k**a nusu saa kisha ruksa kuingia kwenye mchezo usiohitaji hasira.

Wewe ni machine bhana, post ijayo nitakuwekea vyakula usivyotakiwa kuvila ka MWANAUME MASHINE.

TUNYWE CHAI YA MCHAICHAI*********************************CHAI ya mchaichai ni chai iliyo bora zaidi na ni tiba na kinga ...
12/07/2018

TUNYWE CHAI YA MCHAICHAI
*********************************

CHAI ya mchaichai ni chai iliyo bora zaidi na ni tiba na kinga dhidi ya magonjwa mengi hasa k**a U.T.I. na vidonda vya tumbo.
Pia matatizo k**a tumbo kujaa gesi,kuhara,saratani n.k Chai ya mchaichai ni kiboko ya yote.

KUMBUKA
Chemsha maji kwa majani ya mchaichai pekee au waweza kuchanganya mdalasini,tangawizi au unga wa viungo vya pilau bila kuweka majani ya dukani na waweza kuunga kwa asali au sukari kwa kiasi kidogo halafu kunywa kila siku asubuhi k**a kifungua kinywa.

MWANAMKE MAZINGIRA***************************MWANAMKE Siku zote ni mazingira na tunaposema mazingira ni maeneo yote yana...
06/07/2018

MWANAMKE MAZINGIRA
***************************

MWANAMKE Siku zote ni mazingira na tunaposema mazingira ni maeneo yote yanayokuzunguuka hasa hapa tunaashiria zaidi katika mwili wako.
Ili uitwe mke bora na mwenye mvuto basi huna budi kuwa msafi mwilini na sio usafi wa kuonekana hazarani la hasha! Usafi mpaka sehemu za siri.

Acha Leo nikueleze jinsi ya kufanya usafi sehemu za siri na kukufanya kuwa safi pasipo na maradhi mbalimbali;
KWANZA
1.Usiwe unaosha uke kwa kupita kiasi kwani husababisha kuondoa bakteria wa asili na kuleta bakteria wenye madhara.
2.Epuka kuoshea uke sabuni zenye madawa kwani kuna uwezekano wa kuua bakteria asili ukeni.
LAKINI
Haimaanishi usiwe unafanya usafi ukeni, kwani kutofanya usafi kabisa kuna uwezekano wa kupatwa na bakteria wanaosababisha madhara pia. Fanya yafuatayo;
1.Safisha kwa maji ya uvuguvugu asubuhi na jioni.
2.Safisha kwa maji yaliyochemshwa na majani ya mpera au muarobaini kisha yakapoa.
Itafanya uke uwe kwenye hali nzuri.

HILI NDO TUNDA LA KUNGUMANGA..Je unafahamu umuhimu wa tunda hili..?Ngoja nikwambie, Kungumanga husaidia kupunguza maumiv...
02/07/2018

HILI NDO TUNDA LA KUNGUMANGA..

Je unafahamu umuhimu wa tunda hili..?
Ngoja nikwambie, Kungumanga husaidia kupunguza maumivu na uvimbe isiyo na maana ndani ya tumbo, hasa k**a tumbo la kuhara.
Pia ni tiba dhidi ya maradhi k**a vile ukurutu na mvi za ujanani au utotoni.
KUBWA zaidi huongeza hali ya ashiki ya mwili katika majukumu yake hasa katika tendo la ndoa kwa jinsia zote yaani KE na ME.
Pendelea kula kungumanga kadri uwezavyo kwa matokeo bora.

UNALIJUA  TUNDA KOMAMANGA..KOMAMANGA ni tunda k**a matunda mengine lakini inawezekana limesahulika katika orodha ya matu...
27/06/2018

UNALIJUA TUNDA KOMAMANGA..

KOMAMANGA ni tunda k**a matunda mengine lakini inawezekana limesahulika katika orodha ya matunda labda kwa uhaba ama ni mazoea. Kazi kubwa ya tunda hili ni kutia afya na nguvu mwilini.

Pia ni kinga na tiba dhidi ya magonjwa mengi na kwa uchache ni haya yafuatayo..
*Homa ya matumbo
*Pumu
*Kuzidi kwa BP
*Upungufu wa damu
KUBWA ZAIDI NI DAWA YA WATU WENYE MATATIZO YA KUTUNZA KUMBUKUMBU K**A VILE WAZEE NA WANAFUNZI.

Pendelea kula komamanga na ikibidi tengeneza juisi kisha usitumie sukari Bali weka asali halafu kunywa Mara kwa mara kabla ya kulala.

23/06/2018

MACHUNGWA :YANA UMUHIMU SANA MWILINI.

PALE unapokula tunda la chungwa au juisi yake huwa unaufanya mwili kupambana hasa na homa za Mara kwa mara na matatizo ya Moyo. Pia kuimarisha mifupa na meno.

Pia juisi ya chungwa ikichanganywa na juisi ya limao ni kinga ya kuharisha,mafua,pumu na baridi.
Tena ni nzuri kwa kusafisha damu chafu mwilini.

Maganda ya matunda hayo ni tiba ya upele na chunusi ukikamua na kupakaa eneo lenye madhara.
Juisi ya limao pekee pasi na mchanganyiko wowote ni sabuni tosha ya kusafishia nywele.
********************

TUNAKULA NDIZI KWA MAZOEA AU TUNATAMBUA UMUHIMU WAKE..!?WATU wengi hutumia ndizi k**a tunda maarufu hasa wanapokula wali...
21/06/2018

TUNAKULA NDIZI KWA MAZOEA AU TUNATAMBUA UMUHIMU WAKE..!?

WATU wengi hutumia ndizi k**a tunda maarufu hasa wanapokula wali au ubwabwa kwenye sherehe,mgahawani au hata nyumbani.
Lakini inawezekana kuwa hula kwa mazoea, sawa ngoja nikuongezee maarifa na utambue nini faida za tunda hilo unapokula.

Kwanza kabisa huongeza lishe bora na kamili hasa kwa watoto na wagonjwa.
NDIZI MBIVU husaidia sana kurekebisha matatizo ya choo,vidonda vya tumbo,kuvimbiwa na uchachu mdomoni.
Unaweza ukatengeneza mchanganyiko wa ndizi Iliyopondwa pondwa na asali mbichi kisha ukawa unaweka kwenye maziwa kwa matokeo bora zaidi.

JE HUWA UNATUMIA TIKITI MAJI...?KIPI UNAFAIDIKA NACHO..Kwanza maji na mbegu za tikiti  maji ni tiba ya maradhi mengi san...
16/06/2018

JE HUWA UNATUMIA TIKITI MAJI...?
KIPI UNAFAIDIKA NACHO..

Kwanza maji na mbegu za tikiti maji ni tiba ya maradhi mengi sana.
Kwa kifupi unapokula tikiti maji huwa unapata yafuatayo;
1.Kuchangamsha mwili na ubongo.
2.Hupunguza uzito wa maji mwilini.
3.Pia hutuliza maumivu ya mgongo na kiungulia.
4.Uongeza uwezo wa tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake.

Kula vipande vitatu kila siku nusu saa kabla ya kulala kwa matokeo bora zaidi.

NGUVU ZA PAPAI NI KIBOKO..Kwanza kabsa tunda la papai lina msaada mkubwa katika kuwezesha usagaji wa chakula tumboni.Mba...
07/06/2018

NGUVU ZA PAPAI NI KIBOKO..

Kwanza kabsa tunda la papai lina msaada mkubwa katika kuwezesha usagaji wa chakula tumboni.

Mbali na hivyo, unapokula tunda la papai Mara kwa mara hujikinga na matatizo k**a ya upungufu wa damu,ukosefu wa choo,magonjwa ya macho na minyoo.

Pia papai hufanya ngozi kunawiri na kupambana dhidi ya magonjwa ya ngozi.

Kula sana tunda la papai mara kwa mara inapobidi kwa afya iliyo bora.

Address

Kizota
Dodoma

Telephone

+255658050191

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baridi Music posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share


Other Dodoma event planning services

Show All