Dj Arnold 255

Dj Arnold 255 Radio presenter, Radio dj ,voice over artist ,author , events planer and creative agency

Leo ni kumbukuzi ya miaka 19 ya kuondokewa na ndugu zetu complex na Vivian kwa ajali ya gari iliyotokea tar 21 August 20...
21/08/2024

Leo ni kumbukuzi ya miaka 19 ya kuondokewa na ndugu zetu complex na Vivian kwa ajali ya gari iliyotokea tar 21 August 2005 tuendelee kuwaonbea wapumzike kwa amani

Katika vita ya pili ya dunia ilipigwa hii picha huyu ni mvulana mdogo mgongoni akiwa ameubeba mwili wa mdogo wake aliyef...
15/07/2024

Katika vita ya pili ya dunia ilipigwa hii picha huyu ni mvulana mdogo mgongoni akiwa ameubeba mwili wa mdogo wake aliyefariki kutokana na vita na njaa wazazi nao walifariki katika vita hakuwa na ndugu yoyote aliyebakia zaidi ya kujiona yeye tu, vuta picha ni machungu kiasi gani mvulana mdogo aliyobeba moyoni mwake lakini kwa ukakamavu uliotukuka anamuweka mdogo wake mgongoni na kwenda kumpumzisha hapo anakutana na askari anamuambia tupa huo mzigo ulio ubeba mgongoni lakini alijibu kwa ukakamavu huku aking'ata midomo yake kwa uchungu anasema siwezi kuutupa huu sio mzigo huyu ni mdogo wangu huyu ni ndugu yangu.
daah inasikitisha sana hakika tuna cha kujifunza hapa

Picha ilipigwa mwaka 1988 Nani umemtambua kwenye picha hii
17/05/2024

Picha ilipigwa mwaka 1988
Nani umemtambua kwenye picha hii

14/05/2024

Simba haina cha kujifunza kutoka kwa yanga

Maisha yanatufunza mambo mengi sana tuishi kwa kujifunza na kutokata tamaa
14/01/2024

Maisha yanatufunza mambo mengi sana tuishi kwa kujifunza na kutokata tamaa

Maisha ndivyo yalivyo kuna wakati utafika wewe mwenyewe utaanza kujishangaa mahali ulipotoka na mahali ulipo sasa
14/01/2024

Maisha ndivyo yalivyo kuna wakati utafika wewe mwenyewe utaanza kujishangaa mahali ulipotoka na mahali ulipo sasa

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dj Arnold 255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dj Arnold 255:

Videos

Share

Category