Sinyatidecor

Sinyatidecor We do decoration for all event ,sendoff,Engagement named party

Tomorrow project Niansia Night'sEvent Planner: Sinyatidecor
31/05/2024

Tomorrow project Niansia Night's

Event Planner: Sinyatidecor

08/05/2024
Event: Send-off Event planner: sinyatidecor
19/04/2024

Event: Send-off

Event planner: sinyatidecor

Event Planner: Sinyatidecor Event: Aimi's Sendoff Guest:300
18/04/2024

Event Planner: Sinyatidecor

Event: Aimi's Sendoff

Guest:300





Naombeni kura zenu:Wapendwa Mimi ni miongoni mwa *TANZANIA EVENT* *PLANNER* Sasa kuna *TUZO* zimeandaliwa,Kwa vipengele ...
13/02/2024

Naombeni kura zenu:Wapendwa Mimi ni miongoni mwa *TANZANIA EVENT* *PLANNER*
Sasa kuna *TUZO* zimeandaliwa,Kwa vipengele mbalimbali.
Mimi nimechaguliwa kuwania *Tuzo*ya mpambaji Bora wa mikoani .bonyeza hii link kunipigia kura

https://forms.gle/WY2hvfqn3fEPrDaG9
Niko namba *16*
Jina *Sinyatidecor* ( *Moshi* )
Naomba Kura yako.
Ukifungua hiyo link scroll mpaka namba 16.
Kisha bonyeza jina la *sinyatidecor* hakikisha unabonyeza *submit* mwishoni kabisa ukiscroll utaona neno submit
Asante

Waandaaji wa matukio Tanzania wameamua kuwaletea Tuzo kwaajili ya kutambua mchango wa waandaaji bora wa matukio kwa kipindi chote hadi mwaka 2024. tafadhali piga kura yako kuchagua muandaaji bora katika vipengele tofauti.

Asante mnaonipigia kura naziona,Kuvote tumia link hiyo hapo juu Kwa bio
05/02/2024

Asante mnaonipigia kura naziona,Kuvote tumia link hiyo hapo juu Kwa bio

Kura nyingi ndiyo ushindi wetu link Iko hapo juu kwenye Bio please vote! vote!  vote !for me.Thabk you
04/02/2024

Kura nyingi ndiyo ushindi wetu link Iko hapo juu kwenye Bio please vote! vote! vote !for me.Thabk you

06/01/2024
Kupata rangi ya mwaka ni mchakato ambao huongozwa na wataalamu wa mitindo, wabunifu, na wataalamu wa tasnia ya rangi. Ra...
02/01/2024

Kupata rangi ya mwaka ni mchakato ambao huongozwa na wataalamu wa mitindo, wabunifu, na wataalamu wa tasnia ya rangi. Rangi ya mwaka mara nyingi huashiria mwelekeo wa mitindo, ubunifu, na hata hisia za kijamii. Zingine za mambo yanayozingatiwa ni:

1.Mitindo na Ubunifu wa Kimataifa:

Wabunifu na wataalamu wa rangi huchunguza mitindo na ubunifu wa kimataifa kutambua rangi zinazovuma na kutafuta rangi iliyotumika sana.

2.Vitendo vya Jamii:

Rangi ya mwaka mara nyingine inaweza kuchaguliwa kwa kuzingatia hali na matukio ya kijamii.

3. Mwelekeo wa Mitindo na Urembo:

Rangi inaweza kutafutwa kulingana na mwenendo wa mitindo, urembo, na hata ubunifu katika sekta mbalimbali k**a vile mavazi, mapambo, na mambo mengine ya ubunifu.

4.Maoni ya Wataalamu wa Rangi:

Makampuni na taasisi za rangi mara nyingi huwa na wataalamu wa rangi wanaofuatilia mwenendo wa rangi zinazotumika sana na kutoa maoni yao kuhusu rangi inayofaa kuwa rangi ya mwaka.

5.Mguso wa Kisanii:

Rangi ya mwaka mara nyingine inaweza kutafutwa kwa kuzingatia ubunifu wa kisanii. Sanaa inaweza kuwa na athari kubwa kwa mwelekeo wa rangi.

6.Rangi Inayotafsiri Hisia na Hali ya Akili:

Rangi inaweza kutumika kutoa taswira ya hisia na hali ya akili. Kwa mfano, rangi inayotuliza inaweza kuchaguliwa wakati wa mazingira ya msukosuko, wakati rangi yenye nguvu inaweza kutumika kuleta matumaini.

7.Udhamini wa Kampuni na Matumizi ya Matangazo:

Baadhi ya rangi ya mwaka hutangazwa na makampuni makubwa au taasisi za rangi. Rangi hizi zinaweza kujitokeza katika matangazo, bidhaa, na hata mitindo ya matumizi.

8.Mwelekeo wa Teknolojia na Design:

Rangi za mwaka pia zinaweza kufuatilia mwelekeo wa teknolojia na design. Kwa mfano, rangi zinazofanya vizuri kwenye skrini za dijitali zinaweza kuwa na ushawishi mkubwa.

It's good to have sister's &  friends
01/01/2024

It's good to have sister's & friends

Ushaenda kwenye sherehe ukakosa kiti au chakula hahahahha hatari Sasa Kuna vitu waandaajibwa sherehe Huwa wanakosea.Ende...
31/12/2023

Ushaenda kwenye sherehe ukakosa kiti au chakula hahahahha hatari Sasa Kuna vitu waandaajibwa sherehe Huwa wanakosea.Endelea kutembelea ukurasa huu Kwa elimi zaidi.

😂😂😂😂😂Kukosa chakula kwenye sherehe ni shughuli au unakuta watu wamepata sana vinywaji kuliko msosi.Muhimu kuzingatia idadi ya wageni wako na kuweka makisio ya ziada.

Tupigie 0747821576 Kwa ushauri na kazi pia tunaendelea kupokea booking za 2024.

Bajeti ndiyo msingi wa shughuli Yako,sherehe inaweza kupendeza au kuchukukiza upande mmoja kutoka na bajeti yako.kuna vi...
28/12/2023

Bajeti ndiyo msingi wa shughuli Yako,sherehe inaweza kupendeza au kuchukukiza upande mmoja kutoka na bajeti yako.kuna vitu unapaswa kuvizingatia katika suala zima la bajeti:

1.Panga wageni kulingana na bajeti Yako,Kila mgeni huongeza gharama mf.chakula,mapambo n vinywaji

2.Ukubwa wa ukumbi:angalia ukubwa wa ukumbi na idadi ya watu wako.

3.Aina ya harusi unayotaka je ni ya watu wengi au wachache iendane na bajeti yako

4.Andika majukumu ya wageni kulingana na bajeti yako.

5.Mpishi,mtu wa vinywaji na mapambo hakikisha anaweza kuhudumia idadi ya wageni wako

Kwa kuzingatia hayo unaweza kufanya event Yako ipendeze bila stress.

Tupigie 0747821576 Kwa kazi na ushauri.Karibu sana

Yapo mambo mengi ya kuzingatia unapotaka kufanya shughuli yoyote lkn Leo nitazungumzia harusi.Kama umependa share na raf...
28/12/2023

Yapo mambo mengi ya kuzingatia unapotaka kufanya shughuli yoyote lkn Leo nitazungumzia harusi.Kama umependa share na rafiki Yako.

Tunapamba event za aina zote karibu tukuhudumie.Tupigie au chati nasi what's App 0757821576

Today project "Wedding"Event planner: sinyatidecorGod be with us
27/12/2023

Today project "Wedding"

Event planner: sinyatidecor

God be with us

"G"bridal shower let's celebrate  📸 🎤
25/11/2023

"G"bridal shower let's celebrate
📸
🎤

Tomorrow project Straton & Sesilia weddingEvent Planner
24/11/2023

Tomorrow project Straton & Sesilia wedding
Event Planner

Best for bridal shower,baby shower, confirmation 😍 💕
13/11/2023

Best for bridal shower,baby shower, confirmation 😍 💕

Happy Birthday to our amazing CEO!  We truly appreciate your hard work, love, support, creativity, and passion. Your ded...
05/11/2023

Happy Birthday to our amazing CEO! We truly appreciate your hard work, love, support, creativity, and passion. Your dedication doesn't go unnoticed. Wishing you a fantastic day!" 🎂🎉🎈

Next project Dr.Lucy Send-off Party
10/07/2023

Next project Dr.Lucy Send-off Party

Nimefiwa na mdogo wangu wa damu  mpendwa (Leah Abnery)hivyo kampuni ya Sinyatidecor tupo katika kipindi Cha majonzi na m...
24/05/2023

Nimefiwa na mdogo wangu wa damu mpendwa (Leah Abnery)hivyo kampuni ya Sinyatidecor tupo katika kipindi Cha majonzi na maombolezo. hivyo tunatoa taarifa Kwa wateja wetu kuwa hatutaweza kufanya kazi mwezi huu wa tano.Tutaanza rasmi mwezi june wiki ya pili .Tunapenda kuomba radhi Kwa usumbufu uliojitokeza.

Address

Mjohoroni
Moshi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255747821576

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sinyatidecor posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other Event Planners in Moshi

Show All

You may also like