KWAYA YA BMM Kwedboma

KWAYA YA BMM Kwedboma Kupeana habari mbali mbali

09/03/2022

Kweresma njema watu wa Mungu

Wao jumatano ya majivu ilikuwa hivi leo tarehe 2 /3/2022 hapa parokia ya familia takatifu kwedboma na wanakwaya wa Bikir...
02/03/2022

Wao jumatano ya majivu ilikuwa hivi leo tarehe 2 /3/2022 hapa parokia ya familia takatifu kwedboma na wanakwaya wa Bikira Maria Mama wa Mungu picha kwa hisani ya....

Ibaada njema wana wa Mungu naherini ya mwaka mpya2022
02/01/2022

Ibaada njema wana wa Mungu naherini ya mwaka mpya2022

25/11/2021

Tumsifu yesu kristo wapendwa

08/05/2021

Tunaelekea ukingoni mwa pasaka hongera baba kwautume

Kwaya ya bikira Maria Mama wa Mungu ( bmm) kwediboma pasaka ilikuwa hivi wadau wetu Mungu awabariki sana
07/04/2021

Kwaya ya bikira Maria Mama wa Mungu ( bmm) kwediboma pasaka ilikuwa hivi wadau wetu Mungu awabariki sana

19/03/2021

Hakika tutakukumbuka baba kapumnzike kwa amani

Tumsifu Yesu kristo minimwanakwaya was ( Bmm) sauti yapili karibuni katika utume wauimbaji
26/01/2021

Tumsifu Yesu kristo minimwanakwaya was ( Bmm) sauti yapili karibuni katika utume wauimbaji

26/01/2021
24/12/2020

Ilikuwa miez michache iliyopita nasasa hatuko nae tena Mungu aiweke roho ya marehemu baba askofu wetu Athon Matias Banzi mahali pema amina

Uzinduzi unakaribia nitarehe 30/8/2020 Sauti ya yesu itakuwa mlangoni kwako nyumbani kwako ndani mwako ni BIKIRA MARIA M...
23/06/2020

Uzinduzi unakaribia nitarehe 30/8/2020 Sauti ya yesu itakuwa mlangoni kwako nyumbani kwako ndani mwako ni BIKIRA MARIA MAMA WA MUNGU kutoka Parokia ya Familia takatifu kwendiboma kilindi Tamga Tz

BMM Miaka Miwili iliyopita tunatamani sana kufanya mazoezi yakwaya aseeeeeeee!
09/06/2020

BMM Miaka Miwili iliyopita tunatamani sana kufanya mazoezi yakwaya aseeeeeeee!

Corona tupishe tuendeleze pale tulipoishia maana kuna mambo mengi sana yamesimama ikiwemo uzinduzi wa albam yetu ya SAUT...
29/05/2020

Corona tupishe tuendeleze pale tulipoishia maana kuna mambo mengi sana yamesimama ikiwemo uzinduzi wa albam yetu ya SAUTI YA YESU ondoka shetani wewe

23/04/2020

Karibu na furahia

23/04/2020

Mambo k**a haya yanapatikana hapa BMM enjoy your self

PANIRAJO wakiwa kazini baada ya siku mbili wimbo maarumu wakifo cha baba etu mzee kayaya utakuwa hewani kaeni tayari
18/04/2020

PANIRAJO wakiwa kazini baada ya siku mbili wimbo maarumu wakifo cha baba etu mzee kayaya utakuwa hewani kaeni tayari

Captain wa BMM kwediboma anawakaribisha katika sherehe za kumlaki bwana tukiwa na matawi siku ya jpili ya matawi tarehe ...
04/04/2020

Captain wa BMM kwediboma anawakaribisha katika sherehe za kumlaki bwana tukiwa na matawi siku ya jpili ya matawi tarehe 5/4/2020

Hai mamen karibuni BMM naimba sauti ya 3
03/04/2020

Hai mamen karibuni BMM naimba sauti ya 3

E, Record kutoka Arusha kutana na wataalam wa kutengeneza nyimbo mbali mbali wakiwa pamoja na Bmm kwaya karibuni sana
29/03/2020

E, Record kutoka Arusha kutana na wataalam wa kutengeneza nyimbo mbali mbali wakiwa pamoja na Bmm kwaya karibuni sana

Bmm wakiwa kwenye maandalizi ya jpili na sikuku zilizoamliwa Matawi na pasaka zilizoko mbele yetu karibuni tuungane pamo...
27/03/2020

Bmm wakiwa kwenye maandalizi ya jpili na sikuku zilizoamliwa Matawi na pasaka zilizoko mbele yetu karibuni tuungane pamoja

21/03/2020

Mungu akabariki kazi yetu

Mdhamini wa kwaya akikagua kazi yetu ya kwanza ya DVD haijazinduliwa bado mpaka mwezi wa 6 / 2020
20/03/2020

Mdhamini wa kwaya akikagua kazi yetu ya kwanza ya DVD haijazinduliwa bado mpaka mwezi wa 6 / 2020

Naitwa Joyce Kandidi nimwanakwaya wa Kwaya ya BMM kwedboma sauti ya kwanza karibuni kwenye ukurasa wetu tujadili yahusuy...
14/03/2020

Naitwa Joyce Kandidi nimwanakwaya wa Kwaya ya BMM kwedboma sauti ya kwanza karibuni kwenye ukurasa wetu tujadili yahusuyo imani na maisha karibuni sana

Wapendwa karibuni katika ukurasa wetu mpya wa kwaya ya Bikira Maria mama wa Mungu Parokia ya Familia takatifu ili tuweze...
13/03/2020

Wapendwa karibuni katika ukurasa wetu mpya wa kwaya ya Bikira Maria mama wa Mungu Parokia ya Familia takatifu ili tuweze kujadili mambo mbali mbali ya kiutume popote ulipo iwe Viwawa, Ubawata, Wawata nk karibuni sana uliza chochote utapata msaada ya majibu kikamilifu Tumsifu YESU kristo

Address

46 Kilindi Handeni
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KWAYA YA BMM Kwedboma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Other Performance & Event Venues in Tanga

Show All

You may also like