Mc Fute Entertainment live events.

  • Home
  • Mc Fute Entertainment live events.

Mc Fute Entertainment live events. Mc Fute Entertainment Live Events. Deals with various works in celebration.

Mc, as shown in page name
Music full system
Shoes shop where you can get any kind of shoes for all gender Hall ornaments
we are available 24 Hours

Make your oder Early

09/09/2024

HATA IWEJE ASIKUDANGANYE MTU KWA HABARI ZA HUYU YESU, YESU NI KILA KITU MAISHANI.
INGIA KWENYE MFUMO WAKE.

01/08/2024

"UKIANZA KUMPIGA VITA MTU, MUNGU HUGEUKA NA KUWA UPANDE WA YULE ANAEPIGWA VITA".
NENO NI UZIMA MINISTRY
MWAL. Edger Fute.

Kutoka 17:11[11]Ikawa, Musa alipouinua mkono wake, Israeli walishinda; na alipoushusha mkono wake, Amaleki walishinda. A...
25/07/2024

Kutoka 17:11
[11]Ikawa, Musa alipouinua mkono wake, Israeli walishinda; na alipoushusha mkono wake, Amaleki walishinda.

And it came to pass, when Moses held up his hand, that Israel prevailed: and when he let down his hand, Amalek prevailed.

👇🔥✝️☕☕☕☕☕☕☕☕☕NENO NI UZIMA👇Isaya 12:2-4[2]Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHO...
19/07/2024

👇🔥✝️☕☕☕☕☕☕☕☕☕

NENO NI UZIMA
👇
Isaya 12:2-4
[2]Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu;
Nitatumaini wala sitaogopa;
Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu;
Naye amekuwa wokovu wangu.
Behold, God is my salvation; I will trust, and not be afraid: for the LORD JEHOVAH is my strength and my song; he also is become my salvation.

[3]Basi, kwa furaha mtateka maji katika visima vya wokovu.
Therefore with joy shall ye draw water out of the wells of salvation.

[4]Na katika siku hiyo mtasema,
Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake;
Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa,
Litajeni jina lake kuwa limetukuka.
And in that day shall ye say, Praise the LORD, call upon his name, declare his doings among the people, make mention that his name is exalted.

YESU AKUBARIKI
UWE NA SIKU NJEMA.

16/07/2024

GOOD MORNING.
NENO NI UZIMA - Mwal. Edger Fute
👇
Kumbukumbu la Torati 8:11
[11]Jihadhari, usije ukamsahau BWANA, Mungu wako, kwa kutozishika amri zake, na hukumu zake, na sheria zake, ninazokuamuru leo.

Beware that thou forget not the LORD thy God, in not keeping his commandments, and his judgments, and his statutes, which I command thee this day:

👇Hofu ni ugonjwa mbaya Sana, huyu jamaa angefanya KAZI angefika mahali kiuchumi. Usiogope kutenda JAMBO likupalo manufaa...
13/07/2024

👇
Hofu ni ugonjwa mbaya Sana, huyu jamaa angefanya KAZI angefika mahali kiuchumi. Usiogope kutenda JAMBO likupalo manufaa.
Mwenye nacho huongezewa, kinachomfanya apate ni bidii aliyonayo katika UTHUBUTU.
Huyu jamaa kilichomtawala ni hofu.
Usiogope hata k**a uliwahi kupata hasara.
-KATIKA HASARA KUNA MAFANIKIO YAKO.
👇
Mathayo 25:24-25
[24]Akaja na yule aliyepokea talanta moja, akasema, Bwana, nalitambua ya kuwa wewe u mtu mgumu, wavuna usipopanda, wakusanya usipotawanya;

[25]basi nikaogopa, nikaenda nikaificha talanta yako katika ardhi; tazama, unayo iliyo yako.

Mwal. Edger Fute Mc.

Mithali 12:1-2[1]Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni k**a mnyama. Take it see you...
06/07/2024

Mithali 12:1-2
[1]Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa;
Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni k**a mnyama.

Take it see you, use it.

Mwal. Edger Fute

NI MAOMBI YANGU UTUKUFU WA MUNGU UKUTANGULIE SIKU YA LEO Na ni hakika palipo na utukufu wa Mungu KILA JAMBO linafanikiwa...
20/06/2024

NI MAOMBI YANGU UTUKUFU WA MUNGU UKUTANGULIE SIKU YA LEO Na ni hakika palipo na utukufu wa Mungu KILA JAMBO linafanikiwa.
👇
-Iwe ofisini kwako uende UKUTANGULIE
-Safarini UKUTANGULIE.
-Kwenye Huduma UKUTANGULIE.
-Iwe Shambani utukufu UKUTANGULIE.
-Uwe kwenye bodaboda utukufu UKUTANGULIE
-Kwenye gari Yako au basi ndege, treni, meli. Usafiri wote Utukufu wa Mungu UKUTANGULIE.
Ameeni 🖐️🖐️

Karibu UJIPATIE Tranca - Sanduku za shule bora kabisa KWa Mc Fute VIFAA Vya shule. - Wale wa kidato Cha tank wahi punguz...
19/06/2024

Karibu UJIPATIE Tranca - Sanduku za shule bora kabisa KWa Mc Fute VIFAA Vya shule.
- Wale wa kidato Cha tank wahi punguzo lipo kubwaa kabisa.
Mtarifu na mwenzako KWa upendo
For one love.
👇
Mithali 4:13
[13]Mk**ate sana elimu, usimwache aende zake;
Mshike, maana yeye ni uzima wako.

Take fast hold of instruction; let her not go: keep her; for she is thy life.

SONGEA MJINI.
SIMU: 0768941220.

BARABARA YA KWENDA POLISI.
TUNAPATIKANA HAPO TOKA RC JIMBONI MKONO WA KUSHOTO KWENDA POLISI.

UTAPATA VIFAA VYOTE VYA SHULE.
ULIYE MKOANI SIMU 👆

Kutoka 14:13-14[13]Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana ha...
09/06/2024

Kutoka 14:13-14
[13]Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.

[14]BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

NAKUSALIMU KWA JINA LA YESU.

Wafilipi 1:27[27]Lakini mwenendo wenu na uwe k**a inavyoipasa Injili ya Kristo, ili, nikija na kuwaona ninyi, au nisipok...
30/05/2024

Wafilipi 1:27
[27]Lakini mwenendo wenu na uwe k**a inavyoipasa Injili ya Kristo, ili, nikija na kuwaona ninyi, au nisipokuwapo, niyasikie mambo yenu, k**a mnasimama imara katika roho moja, kwa moyo mmoja mkiishindania imani ya Injili;

11/05/2024

Usipange kukosa ni Pale Anglican a Songea MJINI Mkoa wa Ruvuma.

21/05/2022
08/04/2022
Punguzo kubwa msimu huu wa sikukuu. Pendeza KWA Mc Fute Shop.0768941220
18/12/2021

Punguzo kubwa msimu huu wa sikukuu.
Pendeza KWA
Mc Fute Shop.
0768941220

Loafing..................
05/08/2021

Loafing..................

Ninawasalimu mashabiki wangu woooote. Ninawapenda Sana Sana.
15/05/2021

Ninawasalimu mashabiki wangu woooote.
Ninawapenda Sana Sana.

03/05/2021

Hapa
Mc Fute Entertainment.
Hapa.
Pengo

New Season Now. For booking, nombers below. Book early
31/03/2021

New Season Now.
For booking, nombers below.

Book early

17/03/2021

Address


Telephone

+255768941220

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc Fute Entertainment live events. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mc Fute Entertainment live events.:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Event Planning Service?

Share