Evsom Company Limited

Evsom Company Limited Ukurasa Maalum wa Kampuni ya Events Solution and Management

```CORPORATE EVENTS WITH DIPLOMATIC PROTOCOL AND ETIQUETTE We have managed various corporate events successfully such as...
14/12/2022

```CORPORATE EVENTS WITH DIPLOMATIC PROTOCOL AND ETIQUETTE

We have managed various corporate events successfully such as:

👉Business Events, Fundraising
👉Trade Exhibitions Events,
👉Entertainment and Festive Events,
👉Government Events
👉Meetings, Seminars and Workshops
👉Conferences and Conventions
👉Social, Sporting and Cultural Events
👉Marketing Events and Promotional Events
👉Brand and Product Launches
👉Award Ceremonies and
👉Private Personal Events such as Weddings

📍Zanzibar Tanzania
📞Call/WhatsApp: +255777016630
```

Mkusanyiko huu wa picha unaonesha matukio mbali mbali katika Tamasha la Harusi  lililoandiliwa na Taasisi ya Hamasa . Ev...
17/06/2022

Mkusanyiko huu wa picha unaonesha matukio mbali mbali katika Tamasha la Harusi lililoandiliwa na Taasisi ya Hamasa .
Evsom Group tunahakikisha ufanisi wa Shuhuli yako. Tunatoa huduma za kuaandaa na kusimamia shuhuli mbali mbali k**a vile Matamasha, Harusi, Mikutano, Makongamano.

Tunatoa Huduma za:-

Site surveying

Client Service

Brief clarification

Budget drafting

Cash flow management

Supply chain identification

Procurement

Scheduling

Site design

Technical design

Health & Safety

Tunakuhakikishia ufanisi na kuifanya shuhuli yako kuwa ya kipekee sana

Wasiliana nasi sasa kwa namba zifuatazo

Call/WhatsApp: +255777016630 au +255678216630

Bei zetu ni nafuu sana,

WOTE MNAKARIBISHWA

16/10/2021
```Assalaam AleikoumThe Management of Evsom Company Ltd extends our warmest wishes to you and your family as we celebrat...
14/05/2021

```Assalaam Aleikoum

The Management of Evsom Company Ltd extends our warmest wishes to you and your family as we celebrate Eid-el-Fitr 1442 H (2021 AD).

May Allah make all your wishes come true and fulfil all the desires you have.

Here’s wishing your family and you happiness now and always. Remember us in your prayers.
_____________________________

Uongozi wa Evsom Company Ltd tunapenda kuchukua fursa hii kukutakia wewe na familia yako sikukuu njema ya Eid-el-Fitr mwaka 1442 Hijria (2021 AD)

Sinni baada sinni wa awwamu baada awwamu wa Kullu amm wa antum bikhaiyr..

Taqaballahu minna waminkum..

Eid Mubarak Alaina Waalaykum

Barakat-La-Eid!
______________________________
Your,
Khamis, S. Omar
Director - Evsom Group
14/05/2021```

Tunawatakia Waislamu wote Duniani Ramadhan Kareem
16/04/2021

Tunawatakia Waislamu wote Duniani Ramadhan Kareem

Work with HumanityLive, Love
13/04/2021

Work with Humanity
Live, Love

Asanteni  kwa kutambua thamani ya mchango wetu kwenu katika kufanikiwa shuhuli adhimu ya Zanzibar Wedding Festival
03/02/2021

Asanteni kwa kutambua thamani ya mchango wetu kwenu katika kufanikiwa shuhuli adhimu ya Zanzibar Wedding Festival




Happy Commemoration of Zanzibar Revolution Day of 12th January 1964.
12/01/2021

Happy Commemoration of Zanzibar Revolution Day of 12th January 1964.




Tunatanguliza pongezi na shukrani zetu za dhati kabisa kwa taasisi ya  kwa kutambua mchango na umuhimu wetu kwa kutupa m...
11/01/2021

Tunatanguliza pongezi na shukrani zetu za dhati kabisa kwa taasisi ya kwa kutambua mchango na umuhimu wetu kwa kutupa mualiko mahsusi wa kuhudhuria katika Hafla ya Shukran iliyofanyika usiku wa jana Antonio Garden Hotel, Hamamni Zanzibar.

Kazi kubwa tuliyoifanya sambamba na mashirikiano yao waliyotupa katika kusimamia itifaki katika Shuhuli yao ya Zanzibar Wedding Festival.

Naombea mashirikiano haya, umoja na undugu huu udumu milele daima.

Aaamin.


Tunatanguliza pongezi na shukrani zetu za dhati kabisa kwa taasisi ya  kwa kutambua mchango na umuhimu wetu kwa kutupa m...
11/01/2021

Tunatanguliza pongezi na shukrani zetu za dhati kabisa kwa taasisi ya kwa kutambua mchango na umuhimu wetu kwa kutupa mualiko mahsusi wa kuhudhuria katika Hafla ya Shukran

Kazi kubwa tuliyoifanya sambamba na mashirikiano yao waliyotupa katika kusimamia itifaki katika Shuhuli yao ya Zanzibar Wedding Festival.

Naombea mashirikiano haya, umoja na undugu huu udumu milele daima.

Aaamin.


ASSALAM ALAYKUMNapenda kuwajulisha na kuwakumbusha wale wote walio booking nafasi ya kuenda PRISON ISLAND TOUR TRIP kuwa...
09/01/2021

ASSALAM ALAYKUM

Napenda kuwajulisha na kuwakumbusha wale wote walio booking nafasi ya kuenda PRISON ISLAND TOUR TRIP kuwa safari itakuwa tarehe 23/01/2021 ambayo itakuwa JUMAMOSI BADALA YA *20/01/2021* ambayo ni JUMATANO.

Hivyo wanatakiwa kuthibitisha uwepo wao kwa kufanya malipo ambapo DEADLINE ya malipo ni tarehe 17/01/2021

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0777016630

ASANTE

Team ya Itifaki kutoka kampuni ya Evsom Company Limited () ilikuwepo kusimamia Shuhuli ya Usiku wa Harusi katika Tamasha...
28/12/2020

Team ya Itifaki kutoka kampuni ya Evsom Company Limited () ilikuwepo kusimamia Shuhuli ya Usiku wa Harusi katika Tamasha la Zanzibar Wedding Festival lililohitimishwa jana katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdul-wakil, Kikwajuni Zanzibar.

Waandaji wa Tamadha hilo ni Taasisi ya Hamasa .

Wasiliana nasi sasa kwa huduma za uratibu, uandaaji na usimamizi wa shuhuli yako.

Bei zetu ni nafuu sana

Kwa mawasiliano piga: 0777016630

27/12/2020

Matayarisho ya Sherehe ya Usiku wa Harusi katika Tamasha la Harusi Zanzibar linalofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idris Adbul Wakil, (Baraza la Wawakilishi la Zamani).

Waandaji ni

27/12/2020

Tamasha la Zanzibar Wedding Festival

Katika Shamra Shamra za Usiku wa Harusi Tamasha la Zanzibar Wedding Festival lilioandaliwa na Hamasa Group iliyofanyika ...
27/12/2020

Katika Shamra Shamra za Usiku wa Harusi Tamasha la Zanzibar Wedding Festival lilioandaliwa na Hamasa Group iliyofanyika jana katika Hotel ya Serena Zanzibar.

Team ya ilifika kusimamia na kuhakikisha shuhuli hiyo inafanyika kwa usimamizi na ufanisi mkubwa sana.

Hujachelewa wasiliana nasi kwa usimamizi wa shuhuli yako sasa kwa namba zifuatazo 0777016630

Tunasimamia na kupanga shuhuli na sherehe aina mbali mbali k**a vile mahafali, festival, birthday party wedding ceremony, nk.

EVSOM CO. LTD inakuletea FULL DAY TOUR TRIP itakayofanyika TAREHE 20 JANUARY 2021 ndani ya PRISON ISLAND kwa garama za S...
20/12/2020

EVSOM CO. LTD inakuletea FULL DAY TOUR TRIP itakayofanyika TAREHE 20 JANUARY 2021 ndani ya PRISON ISLAND kwa garama za Shillings 20,000/- TU za kitanzania.

GARAMA ZITAHUSISHA:

1. Usafiri wa Kwenda na Kurudi Kisiwani
2. Vyakula na Vinywaji
3. Ada ya Kuingia na Huduma za Tour
4. Picha (Free Photoshoot)

Wasiliana nasi sasa kwa namba 0777016630

Lipia MAPEMA kuondosha usumbufu kwani nafasi ni chache.

, .

Kwa mahitaji ya kupata huduma ya kuandaliwa, kupangiwa na kusimamiwa shuhuli yako wasiliana na  kwa huduma bora na garam...
19/12/2020

Kwa mahitaji ya kupata huduma ya kuandaliwa, kupangiwa na kusimamiwa shuhuli yako wasiliana na kwa huduma bora na garama nafuu.

Evsom Group ni suluhisho kwa shuhuli na sherehe yako k**a : WEDDING | EVENTS | PARTY

TUNAFANYA:

Decorations | Styling | Planning | Coordinating
Floral | Accessories | Lighting | Events Management

WASILIANA NASI SASA:

☎️ Phone: +255 777 016 630

🚩 Zanzibar | Tanzania

Address

Zanzibar
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evsom Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Evsom Company Limited:

Videos

Share

Category