DECCO

DECCO DECCO provides Events Decorations, Catering Services and Consultancy on events planning.
(1)

Marashi muruwa kwa kufukizia nguo na mwili wako pia. Hutojuta ukinunua kutoka kwetu. Tupo Michenzani tobo la pili......
12/06/2024

Marashi muruwa kwa kufukizia nguo na mwili wako pia. Hutojuta ukinunua kutoka kwetu. Tupo Michenzani tobo la pili......

Kula chakula kitamu cha ki Zanzibari kwenye mikutano na maharusi. Pata utamu wa ladha ya chakula uishi maisha matamu.Exp...
10/12/2023

Kula chakula kitamu cha ki Zanzibari kwenye mikutano na maharusi. Pata utamu wa ladha ya chakula uishi maisha matamu.

Experience our Zanzibar cuisine in meetings and weddings. Life is good with tasty food.

Tunafungasha dhifa kwa kutumia kifungashio rafiki wa mazingira 🍀🍀🍀 Our snacks are packed in environmental friendly conta...
29/05/2023

Tunafungasha dhifa kwa kutumia kifungashio rafiki wa mazingira 🍀🍀🍀 Our snacks are packed in environmental friendly container

DECCO ina unga mkono Zanzibar ya kijani
29/05/2023

DECCO ina unga mkono
Zanzibar ya kijani

Tunapenda kutanguliza salamu za sikukuu ya Eid el Fitr kwa ndugu, jamaa, marafiki na wateja wetu wote.
20/04/2023

Tunapenda kutanguliza salamu za sikukuu ya Eid el Fitr kwa ndugu, jamaa, marafiki na wateja wetu wote.

Marhabban Ya Ramadhan! Tunawaombea kheri na  barka za Ramadhan. Mwenyezi Mungu atujaalie mfungo wa rehma, toba na kusame...
19/03/2023

Marhabban Ya Ramadhan! Tunawaombea kheri na barka za Ramadhan. Mwenyezi Mungu atujaalie mfungo wa rehma, toba na kusamehewa madhambi yetu.

08/03/2023
14/01/2023

Kufana kwa sherehe ama shughuli ni chakula kuwa kitamu na chenye ladha.

ALHAMDULILLAH! Mungu alichoturuzuku tunagawana na jamii. Karibu PinkHijab InitiativeTanzania uchangie kufanikisha ftari ...
13/12/2022

ALHAMDULILLAH! Mungu alichoturuzuku tunagawana na jamii. Karibu PinkHijab InitiativeTanzania uchangie kufanikisha ftari kwa wenye hali duni za maisha

Tunatoa huduma za  Chakula kwenye mikutano ya Ofisi.
09/12/2022

Tunatoa huduma za Chakula kwenye mikutano ya Ofisi.

Tunazingatia matakwa ya mteja. Karibu tukupambie, bei zetu ni nafuu na utaridhika nafsi yako
15/10/2022

Tunazingatia matakwa ya mteja. Karibu tukupambie, bei zetu ni nafuu na utaridhika nafsi yako

Ladha ya nyama choma yetu (barbecue) una mchanganyiko wa kipekee, viungo fresh unaokoleza utamu.... Una hafla/tafrija wa...
20/09/2022

Ladha ya nyama choma yetu (barbecue) una mchanganyiko wa kipekee, viungo fresh unaokoleza utamu.... Una hafla/tafrija wasiliana nasi.

05/07/2022

Tupo kwenye maonesho ya Saba Saba, banda la ZANZIBAR.
Karibuni nyote

Kwa huduma za vyakula aina mbali mbali vya mikutano, Karibuni nyote!
26/05/2022

Kwa huduma za vyakula aina mbali mbali vya mikutano, Karibuni nyote!

Tunawaombea kheri na baraka za sikukuu ya Eid
03/05/2022

Tunawaombea kheri na baraka za sikukuu ya Eid

Ni faraja kutembelewa na kupata support kutoka kwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mheshimiwa  Said ...
15/01/2022

Ni faraja kutembelewa na kupata support kutoka kwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mheshimiwa Said Shaaban. Tamasha la 8 la Biashara tukiwa ukingoni

Vanilla Cup Cakes
21/12/2021

Vanilla Cup Cakes

Kazi ya mikono yetu, Mungu azidi kuibariki, tuendelee kuwapendezesha.
05/12/2021

Kazi ya mikono yetu, Mungu azidi kuibariki, tuendelee kuwapendezesha.

Ushajaribu kutumia udi na marashi yetu? Ni marashi halisi kweli..... jaribu sasa!
25/11/2021

Ushajaribu kutumia udi na marashi yetu? Ni marashi halisi kweli..... jaribu sasa!

22/11/2021

Tunamsikiliza mteja kwenye mipangilio yake
16/11/2021

Tunamsikiliza mteja kwenye mipangilio yake

04/11/2021

Tunatoa huduma za chakula kwenye mikutano ya aina zote.

Miongoni mwa zawadi za ushirikiano baina ya Serikali na Wadau wa Maendeleo. Karibu kwa ushauri na tukupe huduma ya uhaki...
08/10/2021

Miongoni mwa zawadi za ushirikiano baina ya Serikali na Wadau wa Maendeleo. Karibu kwa ushauri na tukupe huduma ya uhakika.

Mahari. Tunawaombea kila la kheri wanaotaraji kufunga ndoa.
27/09/2021

Mahari. Tunawaombea kila la kheri wanaotaraji kufunga ndoa.

Jiburudishe na vitafunio fresh (snacks) kutoka DECCO. Weka order
26/08/2021

Jiburudishe na vitafunio fresh (snacks) kutoka DECCO. Weka order

Order chocolate cake rasmi kwa tafrija yeyote.
22/08/2021

Order chocolate cake rasmi kwa tafrija yeyote.

 ikiendelea kujenga na kuimarisha mahusiano na wanawake kwenye nyanja tofauti za maendeleo.
14/08/2021

ikiendelea kujenga na kuimarisha mahusiano na wanawake kwenye nyanja tofauti za maendeleo.

Kheir na Barka ya Eid iwafikie pamoja na familia zenu.
20/07/2021

Kheir na Barka ya Eid iwafikie pamoja na familia zenu.

14/07/2021

Tunawashukuru wote kufanya biashara nasi ndani ya Maonesho ya 45 ya Saba Saba

Address

Kiswandui, P. O. Box 158, , Opposite Michenzani Block 7
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DECCO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category

Other Caterers in Zanzibar

Show All