Hadithi Za Kusisimua

Hadithi Za Kusisimua Mimi ni MTUNZI,mchoraji,mwaandhishi ----- DJ
andikka na utupe kwani sanaa ni ajira
TUNGA NA ANDIKA
(1)

11/10/2023
Boy ..boy..bwooy .😎😎😎😎
05/03/2023

Boy ..boy..bwooy .😎😎😎😎

--Riwaya  Series   NILIISALITI NCHI YA KURITHI Kazi iliwakuta kaka zangu wawili.Wao walidamshwa na mama yetu Melivana kw...
22/11/2021

--Riwaya Series NILIISALITI NCHI YA KURITHI

Kazi iliwakuta kaka zangu wawili.Wao walidamshwa na mama yetu Melivana kwa ukali -kwani Shule ilikuwa umbali wa  kilometre 64 kutoka Makunduchi. Kisha akawapeleka kwa miguu,bila viatu.Njia yenye majani na miba kwa siku mbili.Wakiwa na mizigo  kwenye majamvi. Hatimae baba akachonga  sanduku refu la mbao na kuwapa.
      
    -Melivana- wamissionary k**a  walivyomuita, baadae wakamsaliti  na kumuita Mevana. Jina la mpishi kwenye ikalu zao huko ulaya. Jina likatanuka, akawa mpishi alie pika na kuwalea watoto zake misheni  hapo. Hakujua kusoma k**a mwanae Makanda na seremi.Ila hakuacha kuwasisitiza kila alipo waona. Sifa ya ujasiri na uhodari ikazidi kufika mbali. Kwani maisha yake yalistawi kanisani kuliko kitandani kwa Olambino Pawena.

KARANI MWENDA POLE.
24/05/2021

KARANI MWENDA POLE.

Address

Jambiani Mwenda Wima
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hadithi Za Kusisimua posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hadithi Za Kusisimua:

Videos

Share

Category