13/12/2021
Caption: msimu huu team ya ONJA ONJA FESTIVAL inawaletea Funga mwaka kali hapa nchini ya ONJA ONJA FESTIVAL MOSHI 2021. Kwa wale food and music lovers this is the place to be children are offered games and activities kibao. Karibu upate kujionjea chakula halisia cha watu wa MOSHI. So let us RELAX, PARTY and ENJOY together. Tutakuwepo viwanja vya UHURU PARK MOSHI tarehe ni 18 December 2021. Tickets zitakuwa 10,000 kwa adults na 3,000 for children