mcmdapo

mcmdapo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mcmdapo, Performance & Event Venue, .

11/11/2024
Ukiwa na  familia, kuna  kitu  kinaitwa "self-denial" kinakuja  "automatically". Ndio  maana  madereva wa  malori  wanaj...
06/11/2024

Ukiwa na familia, kuna kitu kinaitwa "self-denial" kinakuja "automatically". Ndio maana madereva wa malori wanajua kuwa Congo kuna wapiganaji wa "maimai" lakini bado wanaenda. Hata kuendesha UBER hujui uliyembeba ana akili timamu au chizi ni "kuikana nafsi". Hata kukopa Tsh. 10,000/= kwa riba ya 30% kwa mwezi ili ununue panadol ushushe homa ya mtoto aendelee kuishi ni "self denial". Hata kuamka "usiku wa manane" wakati wengine wanakoroma na kuanza kuwaza biashara itakuwaje au kuomba Mungu "usitumbuliwe" ili usomeshe watoto ni "self denial". Acha wengine wakucheke! Lakini juu moja tu! Ukiwa na familia, na ukiwa na akili timamu, "self denial" inakuja automatically"-Hassan .J.Mdapo

Jua lisingekuwa na mwanga,  lisingeweza  kuangaza  dunia.  Mungu  asingekuwa  ni  "pendo " asingeweza  kutupa  upendo.  ...
05/11/2024

Jua lisingekuwa na mwanga, lisingeweza kuangaza dunia. Mungu asingekuwa ni "pendo " asingeweza kutupa upendo. Hata "common sense" inasema; huwezi kutoa ambacho huna. Huwezi kutoka nyumbani bila kuoga na kupiga mswaki ati unaenda kumkumbatia mtu umpe upendo. Unachompa sio upendo ni harufu mbaya. Huwezi kupenda mwenzako k**a wewe mwenyewe hujipendi "self--love". Mungu alitupenda na akatuumba kwa mfano wake. Na sijawahi sikia mtu anajuta kuumbwa kwa mfano wa Mungu. Usipojipenda, hata watoto wako watakataa kuishi kwa mfano wako?Hassan .J. Mdapo

Call:0752100022
26/02/2024

Call:0752100022

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mcmdapo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Event Planning Service?

Share