05/03/2024
ASSALAMU ALAYKUM! TUNAELEKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADWAAN! BINAFSI SINA NDUGU AU JAMAA NILIYEKATA NAYE MAWASILIANO. HATA HIVYO, KATIKA MAZINGIRA YA KIUTU, INAWEZEKANA YUPO AU WAPO NILIOWAKWAZA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE! JAMANI WOOOOTE NAWAOMBA MNISAMEHE ILI TUINGIE KATIKA MFUNGO WA RAMADHWAAN TUKIWA WAMOJA. NAWASHUKURU SANA!