01/09/2023
Taarifa zilizotufikia hivi sasa msanii wa k**e wa amefariki dunia hospitali ya rufaa Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu.
Katika mahojiano na Ayo Tv siku kadhaa zilizopita, Bryson ambaye ni Mume wa Marehemu alisema hali ya Haitham ilibadilika ghafla siku saba zilizopita akisumbuliwa na upumuaji ambapo ilianza k**a homa ya kawaida lakini baadaye akawa anakosa pumzi hadi kupelekea kuwekewa mashine na kuchomwa sindano za kila siku zinazogharimu shilingi laki 7 kwa siku.