Deejay Patiz IslandozFinest

  • Home
  • Deejay Patiz IslandozFinest

Deejay Patiz IslandozFinest CATCH ME ON MON - FRI FROM 3 PM AND ON EVERY SUNDAY FROM 3PM
(4)

Wakienda Gym Kuunga πŸ’ͺ Mimi Nko Kisiagi Na Unga πŸšπŸ› πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚ Deejay Patiz IslandozFinest
04/01/2025

Wakienda Gym Kuunga πŸ’ͺ Mimi Nko Kisiagi Na Unga πŸšπŸ› πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚ Deejay Patiz IslandozFinest

Unaomba Jirani Gas halafu inaishia kwako na hii January yawa πŸ˜’πŸ€¨πŸ˜‚ Deejay Patiz IslandozFinest
03/01/2025

Unaomba Jirani Gas halafu inaishia kwako na hii January yawa πŸ˜’πŸ€¨πŸ˜‚ Deejay Patiz IslandozFinest

This Sunday Liverpool Vs Manchester United showing live inside Sema Lounge Ruiru hii nayo itakua bad baaaad, Halafu sasa...
03/01/2025

This Sunday Liverpool Vs Manchester United showing live inside Sema Lounge Ruiru hii nayo itakua bad baaaad, Halafu sasa tukule Reggae till a morning light k**a kawa k**a Dawa πŸ”₯πŸ”₯πŸ’―

Long awaited long anticipated mix Ndio ishatoka, Download, listen and share πŸ”₯πŸ’― Link hapo kwa comments πŸ”₯πŸ”₯πŸ’―
02/01/2025

Long awaited long anticipated mix Ndio ishatoka, Download, listen and share πŸ”₯πŸ’― Link hapo kwa comments πŸ”₯πŸ”₯πŸ’―

Mambo yetu ya kila Thursday NDANI ya  Tukianza na hii ya Kwanza ya 2025 tokelezea itubambe pamoja πŸ”₯πŸ”₯πŸ’―
01/01/2025

Mambo yetu ya kila Thursday NDANI ya Tukianza na hii ya Kwanza ya 2025 tokelezea itubambe pamoja πŸ”₯πŸ”₯πŸ’―

31/12/2024

RIGHT NOW MAGGIE BLUE LOUNGE KISUMU THEN TUNAMALIZIA GARDEN LOUNGE SABATIA KIALUTA STYLE Deejay Patiz IslandozFinest

Huku ocha nimesema sitaki Chai ya sukari nikasikia wakiwhisper "si nilikuambia Bangi na sukari hazipelekani" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwani S...
31/12/2024

Huku ocha nimesema sitaki Chai ya sukari nikasikia wakiwhisper "si nilikuambia Bangi na sukari hazipelekani" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwani Sura yangu inanipeana aje ama ni dreadi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Anyway HAPPY NEW YEAR From us Eunie Wambo πŸ”₯πŸ’―

Ok siku naekelea Manchester United kichwa Ndio inacheza vile inataka πŸ€”πŸ€”πŸ˜‘πŸ˜ƒ   IslandozFinest
31/12/2024

Ok siku naekelea Manchester United kichwa Ndio inacheza vile inataka πŸ€”πŸ€”πŸ˜‘πŸ˜ƒ IslandozFinest

Tukimalizia western tour KISUMU Kesho tupataneni MAGGIE BLUE - OTONGLO tukaribishe 2025 pamoja πŸ”₯πŸ’ͺ
30/12/2024

Tukimalizia western tour KISUMU Kesho tupataneni MAGGIE BLUE - OTONGLO tukaribishe 2025 pamoja πŸ”₯πŸ’ͺ

Sisi tuliona tent Tu tukaingia ala tukapata Tongola Mate Ndio chairman ye Ndio anasema Nani amekula na hajakula sema kur...
29/12/2024

Sisi tuliona tent Tu tukaingia ala tukapata Tongola Mate Ndio chairman ye Ndio anasema Nani amekula na hajakula sema kurudi round k**a tatu hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’― Anyway TRIPLE T LUANDA are you ready for tonight? If not then you better be πŸ”₯ Mate Tongola MC Spyboy πŸ”₯πŸ”₯πŸ’―

KISUMU lest we forget KISUMU JUMP OF PARTY itakua ndani ya MAGGIE BLUE - OTONGLO jipange vizuri ju nayo hii itakua Kubwa...
29/12/2024

KISUMU lest we forget KISUMU JUMP OF PARTY itakua ndani ya MAGGIE BLUE - OTONGLO jipange vizuri ju nayo hii itakua Kubwa msee MWAKA tunauvuka in a dis a style and fashion

28/12/2024
Ok tulisema ni fiti kuconfirmia watu mapema au sio 😜😜 Sasa Habari Ndio Io CLUB TRIPLE 7 KHAYEGA we dea, Tumeinjira πŸ”₯πŸ”₯ wa...
28/12/2024

Ok tulisema ni fiti kuconfirmia watu mapema au sio 😜😜 Sasa Habari Ndio Io CLUB TRIPLE 7 KHAYEGA we dea, Tumeinjira πŸ”₯πŸ”₯ wachanie mapema waambie Leo itakua maaaaad Deejay Patiz IslandozFinest MC Spyboy

MAMBO YA KESHO HII πŸ”₯ KHAYEGA PREPARE YOUR DANCING SHOES AND VEST πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ”₯
27/12/2024

MAMBO YA KESHO HII πŸ”₯ KHAYEGA PREPARE YOUR DANCING SHOES AND VEST πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ”₯

About last night ndani ya  Vihiga    Wacha mix niimalizie editing niwarushie link hapa πŸ”₯πŸ”₯VIHIGA hamjawai niangusha thank...
27/12/2024

About last night ndani ya Vihiga Wacha mix niimalizie editing niwarushie link hapa πŸ”₯πŸ”₯VIHIGA hamjawai niangusha thanks for showing πŸ‘Š

VIHIGA MAJENGO see you in a few, Tulisema SHEREHE zinaanza leo hadi NEXT YEAR πŸ˜ƒπŸ˜œ  TONIGHT we dea πŸ”₯πŸ”₯ Deejay Patiz Islando...
26/12/2024

VIHIGA MAJENGO see you in a few, Tulisema SHEREHE zinaanza leo hadi NEXT YEAR πŸ˜ƒπŸ˜œ TONIGHT we dea πŸ”₯πŸ”₯ Deejay Patiz IslandozFinest MC Spyboy

Na ukikaribishwa achana na tabia ya kuulizia price ya kila kitu kwa nyumba ya wenyewe Io tabia usivuke nayo mwaka tafadh...
25/12/2024

Na ukikaribishwa achana na tabia ya kuulizia price ya kila kitu kwa nyumba ya wenyewe Io tabia usivuke nayo mwaka tafadhali πŸ˜‘πŸ˜‚πŸ˜‚

Kabla mwaka iishe angusha Ngoma Moja Ile ukisikia hivi unakumbukanga hawa wazito πŸ˜ƒπŸ˜œ Big up to all my Fans Friends and fa...
24/12/2024

Kabla mwaka iishe angusha Ngoma Moja Ile ukisikia hivi unakumbukanga hawa wazito πŸ˜ƒπŸ˜œ Big up to all my Fans Friends and family for your support musiwai choka kunisupport siku zote IslandozFinest

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Deejay Patiz IslandozFinest posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Event Planning Service?

Share