Leo nimekutana na ndugu yangu baada ya miaka mingi hatimae nime drive from toronto to Quebec kumuona ndugu yangu Joel Kilozo ilikua wasaa mzuri saana kumuona ndugu yangu......
N.B: Ndugu yangu ambae upo africa 🌍 usikubali kushauriwa kuja Canada maana hayo unayo yaona sio mvua ila ni barafu zinazotunyeshea hivyo bora ugali na dagaa kwenye joto kuliko ugali nyama kwenye snow ❄️
Matty amissi kaka snow ❄️ huiwezi Tulia zako Dar ndugu yangu
Dah!!!! Aisee huyu mtoto hua ananiliza kila siku so pls kama kuna binadam ambae kahusika kwakumpa adhabu hiii basi tuseme hiii imetosha jamani
Kuweni na huruma pia mjue kuna mungu na kihama this is to much......
Why binadam tumekua kama wanyama???
PALE PROMOTER ANAPO GIEUKA KUA SHABIKI YA ARTIST ALOFANYA NAE KAZI🤣🤣🤣🤣🤣
HUYO NI BRUCE MELODIE KUTOKA RWANDA 🇷🇼 PAMOJA NA KUA TULIKUA KAZINI LAKINI ALIPOKUA ANAIMBA NILIJIKUTA NINA MOTION KUBWA NIKAAMUA KUMZAWADIA ZAWADI YA SAA YANGU AINA YA ROLEX YENYE THAMANI YA 15000 USD YOOTE KWA AJILI YA UPENDO NA VIBE YA SHOW......
BAADA YA KAZI NI MAHESABU....... ASIE FANYA KAZI ASILE.......
THIS VANCOUVER JAMANI NARUDIA SHOW NI BUREEEEE UNAKOSA AJE KWENYE SHOW YA @rayvanny @mbosso_ @romyjons KIINGILIO NI MIGUU YAKO TU…….
..
CANADA CANADA 🇨🇦🇨🇦🇨🇦 VANCOUVER TAREH 7 MWEZI WA7 NAWALETEA BURUDANI KUBWA HAIJAWAI KUTOKEA
HUKU @rayvanny PALE @mbosso_ HUKU @romyjons
ALAFU SASA HAKUNA KIINGILIO YANI SHOW NI BUREEEEEEE BUREEEEEEEEEEE KIIINGILIO NI MIGUU YAKO TU……
Asaante saana Burundi..... sina cha kuwalipa zaidi ya neno asante
Hiii ilikua ndo ufunguzi Rasmi wa @rayvanny na kweli mapenzi yenu kwa @rayvanny nimeyaona.....
@rayvanny Concert inaendelea kwenye mikoa na nchi zifuatazo
1. Mbeya
2. Sumbawanga
3. Dodoma
4. Rwanda 🇷🇼
5. Malawi 🇲🇼
6. Dar-es-salaam yani @rayvanny Concert tutaimalizia Dar-es-salaam mji wenye stareh na Raha zaidi