Dj Clante

Dj Clante media personality,Dj,sound engineer,event organizer,promoter
(1)

Sio juju ni maombi
21/12/2023

Sio juju ni maombi

Tukifanikiwa mapema tusidhani wengine ni wazembe,wakati wao utafika. Wiki njema yenye mafanikio.
17/12/2023

Tukifanikiwa mapema tusidhani wengine ni wazembe,wakati wao utafika.
Wiki njema yenye mafanikio.

Hatujakuja duniani kuangalia waliofanikiwa na kutamani mafanikio yao,tumekuja kufanikiwa wenyewe. Unyenyekevu sio ujinga...
13/12/2023

Hatujakuja duniani kuangalia waliofanikiwa na kutamani mafanikio yao,tumekuja kufanikiwa wenyewe.
Unyenyekevu sio ujinga,jifunze kujishusha upandishwe.

Kila msee Humake blunders kwa life..Usiwache hio blunder umefanya ikuzuie kukua ule msee Mungu amekupangia.His Promises ...
10/12/2023

Kila msee Humake blunders kwa life..Usiwache hio blunder umefanya ikuzuie kukua ule msee Mungu amekupangia.His Promises are Yes and Amen
This week mtu wangu ni God kukujenga vile inafa

Kuna Wakristo wazuri tu wanapenda Mungu wanatoa sadaka vizuri kanisani,wakunywi pombe but wako na roho ingine chafu sana...
04/12/2023

Kuna Wakristo wazuri tu wanapenda Mungu wanatoa sadaka vizuri kanisani,wakunywi pombe but wako na roho ingine chafu sana kuliko ya walevi...Sijasema watu walewe.
Hawa ni watu kisura wanakuchekea ila rohoni wanakuroga,ishi nao.

Ewe mwenyezi Mungu,tuivishie deals zetu zote mwezi huu. Le boss Kiminini super MP Hon.Maurice Kakai Bisau "Bazuu"
01/12/2023

Ewe mwenyezi Mungu,tuivishie deals zetu zote mwezi huu.
Le boss Kiminini super MP Hon.Maurice Kakai Bisau "Bazuu"

Hapa ni kupanga kaziMy boss Kiminini super MP Hon Bisau "Bazuu"Speaker Weta Papa wa RomaKuna vile unadai kuna vile God a...
29/11/2023

Hapa ni kupanga kazi
My boss Kiminini super MP Hon Bisau "Bazuu"
Speaker Weta Papa wa Roma
Kuna vile unadai kuna vile God amepanga

Kuna yule akikosa chakula ama pesa anapigia mzazi simu anamsot kuna yule akikosa anapigia Mungu magoti,hatulingani.Tuzid...
27/11/2023

Kuna yule akikosa chakula ama pesa anapigia mzazi simu anamsot kuna yule akikosa anapigia Mungu magoti,hatulingani.
Tuzidi Kumshukuru Mungu kwa manyunyu iko siku mvua itanyesha kwetu wote🙏

*SATURDAY 25TH NOVEMBER 2023 SET FOR THE ISSUANCE OF BIRTH CERTIFICATES IN KIMININI CONSTITUENCY!!*This is to bring to y...
22/11/2023

*SATURDAY 25TH NOVEMBER 2023 SET FOR THE ISSUANCE OF BIRTH CERTIFICATES IN KIMININI CONSTITUENCY!!*
This is to bring to your attention that following successful registration of birth certificates in Kiminini Constituency which was initiated two months ago by Hon Maurice Kakai Bisau the Member of Parliament in collaboration with the DCC Kiminini, the applicants are asked to collect their birth certificates on Saturday in the venues outlined below 👇:
1.Kiminini, Baraton and Matunda Locations - Kiminini ACC Office.
2. Weonia and Sikhendu Locations - Sikhendu Chef's Office.
3. Waitaluk , Sirende and Mabonde locations - Sirende ACC office.
4. Kibomet and Milimani Location - Chief's office Showground.
Tell a friend to tell a friend.
Thank you Bazuu
KEEPING THE PROMISE

Mahali mwenzako amebarikiwa kupata pesa si lazima pia wewe utafute pesa hapo.Kila mtu ako na njia anapeta pesa;kuna watu...
20/11/2023

Mahali mwenzako amebarikiwa kupata pesa si lazima pia wewe utafute pesa hapo.
Kila mtu ako na njia anapeta pesa;kuna watu wa online business,mabroker,
Macartel,wengine wako employed,wengine walirithi mali ya wazazi yao,wengine adi waende Qatar uko ndo bahati yao iko,kuna wenye wanaamini Mungu wao uleta bila ata kufanya kazi ao walali njaa na bado wanava wanalipa bills zao.
Nasemaje ukianza kungangana na bahati ya wenzako utaumia,focus on your path Mungu ataleta.

Your downfall ndio mbogi yako inategea pia relatives,kaa rada wasiseme walisema
18/11/2023

Your downfall ndio mbogi yako inategea pia relatives,kaa rada wasiseme walisema

Kaburi zimeja ndoto nyingi ambazo hazikuweza kutimia,Kwa hivyo unaposali usiombe tu mafanikio.Omba pia Mwenyezi Mungu ak...
13/11/2023

Kaburi zimeja ndoto nyingi ambazo hazikuweza kutimia,Kwa hivyo unaposali usiombe tu mafanikio.Omba pia Mwenyezi Mungu akujalie Maisha Marefu 🙏🏾

Sisi ni wale tulisaidiwa. Forever Grateful
12/11/2023

Sisi ni wale tulisaidiwa.
Forever Grateful

Kuna watu waeleweki they are your friends or family members wanakutakia mema maishani but moment umepost kitu mzuri hao ...
10/11/2023

Kuna watu waeleweki they are your friends or family members wanakutakia mema maishani but moment umepost kitu mzuri hao zao ni acha aringe ataisha tu oh miaka tano si mingi,mbona hukuwai count miaka nilikua nateseka?mtu akibarikiwa mbele yako kidogo relax acha wivu si mi niliamua ni sadaka nilipea Mungu na kujituma.
Hakuna mtu alikuja kwa dunia kukua referee aone wenzake wakifanikiwa.
Amka fanya kitu mtu wangu isiwe tu ukimpigia rafiki simu asipofanya vile wataka io taarifa unaipeleka viral k**a covid

09/11/2023
Ewe mwenyezi Mungu,tuivishie deals zetu zote. Wanataka tuteseke waseme walisema,God wetu usikubali tuteseke.
08/11/2023

Ewe mwenyezi Mungu,tuivishie deals zetu zote.
Wanataka tuteseke waseme walisema,God wetu usikubali tuteseke.

30/10/2023
"To all 2023 Grade 6 (KEPSEA) KCPE  and KCSE Candidates, Success in your exams.Trust in almighty God and you will prospe...
26/10/2023

"To all 2023 Grade 6 (KEPSEA) KCPE and KCSE Candidates, Success in your exams.
Trust in almighty God and you will prosper.
All the very best!``
~ Hon Maurice Kakai Bisau ,MP- Kiminini Constituency.
THE PROMISE

25/10/2023

Catch up with Hon Maurice Kakai Bisau the Member of Parliament Kiminini Constituency addressing on Disaster Management!!
https://fb.watch/nUnHze_Df9/

Mbona wanawake wanakuanga sure wanaume watakufa wa kwanza?yaani akika salon ama kwa kibanda na rafiki zake anasema vile ...
23/10/2023

Mbona wanawake wanakuanga sure wanaume watakufa wa kwanza?yaani akika salon ama kwa kibanda na rafiki zake anasema vile ukikufa utamwacha na shamba,gari na maplot..kwa matanga ya jamaa tunadhani unaomboleza kumbe ni mahesabu kwa kichwa vile utakua unasanya rent kwa tenants kila mwezi
Yaani Bwana vile tunajituma mjengo,tunangangana uko garage yaani io yote unatafutia mtu ukufe umwachie mali😰
Wanawake it's time pia nyi sasa useme ukienda utaniachia nini Mambo ya ooh sijui nilimpea vyote na ata kuniombea ulikua uniombei io hapana.

Happy mashujaa day boss🇰🇪Kiminini super MP Hon Maurice Kakai Bisau "Bazuu"
20/10/2023

Happy mashujaa day boss🇰🇪
Kiminini super MP Hon Maurice Kakai Bisau "Bazuu"

Ukitaka mume wako akupende zaidi;1.Usiguze simu yake2.Akichelewa kuja nyumbani mtumie message mpombeleze areje nyumbani3...
16/10/2023

Ukitaka mume wako akupende zaidi;
1.Usiguze simu yake
2.Akichelewa kuja nyumbani mtumie message mpombeleze areje nyumbani
3.Ukimpata na msichana yeyote usiwe wa haraka kukasirika waketishe chini kisha waombe msamaha umewapata pahali ujaalikwa kufika
4.Sala muimu

Utaona mnanikemea🤣🤣

Le boss Kiminini super MP Hon.Maurice Kakai BisauMbele iko sawa ni hayo tu kwa sasa.
05/10/2023

Le boss Kiminini super MP Hon.Maurice Kakai Bisau
Mbele iko sawa ni hayo tu kwa sasa.

. Leo kila mtu aombe beshte yake,ombea ata hater wako pia. Ombea wase doors ziopen,watu wapate job,connections zikam,wat...
01/10/2023

. Leo kila mtu aombe beshte yake,ombea ata hater wako pia.
Ombea wase doors ziopen,watu wapate job,connections zikam,watu wako na macerty zinaozea mtaa wengine wamekua magondi wengine wanatei day and night si kupenda kwao mambo haisongi mtu wangu.
Connections zingine ziko but wenye connection satan amefunga akili zikikam through anasahau kila mtu,cheki tunaeza kua na maganji but bado mambo isongi hii day I'm sure kila mse akiombea arif yake mambo itasonga..kuna zingine ni lahana zakifala za familia ati hakuna msee ashawai drive kwa hii familia so pia we adi nduthi hutawai kua nayo,cheki baraka haipiti kwa mtu ndo ikufikie
Isn't all about fame or money;prayers mtu wangu,kwa magoti apo ndo solution ya everything iko ninja.

Tomorrow all roads lead to St Teresa's Primary Sikhendu and Wehoya Primary School where Hon Maurice Kakai Bisau the Memb...
28/09/2023

Tomorrow all roads lead to St Teresa's Primary Sikhendu and Wehoya Primary School where Hon Maurice Kakai Bisau the Member of Parliament Kiminini Constituency is scheduled to commission an administration block and Five classrooms respectively.
This is a great step taken by the Super MP to ensure all learning institutions in Kiminini Constituency have conducive environment for all learners to excel in their studies.
Tell a friend to tell a friend.
Kiminini ni kazi tu.

K**a mwanamme wako ajainuka kimaisha we ni bure kabisa,kijana ya mtu anakufanyia kila kitu wewe kazi nikusema oh kila mt...
27/09/2023

K**a mwanamme wako ajainuka kimaisha we ni bure kabisa,kijana ya mtu anakufanyia kila kitu wewe kazi nikusema oh kila mtu na majukumu yake kwani uliskia ngono ndo majukumu?kando na ngono we mwanamme wako umemsaidia aje ju ata maombi peke umeshindwa kumpea.we kazi nikusema oh leo babe nafeel kula choma oh babe beshte yangu amepelekwa salon Zanzibar nipeleke uko pia,oh babe chama sijalipa kwera bure kabisa jama anakufanyia kila kitu na ata mamake io nyama choma unalilia sijui alimnunulia mwisho lini,kijana anateseka kwa mjengo wewe unataka akue na mali na pesa yenye ata babako akiwa io umri hakua na io pesa unataka akue nayo

Mbona walevi after wametoka club usiku uwa wanamake sure kila mtu amefika safe but wakristo after church mkristo haezi p...
14/09/2023

Mbona walevi after wametoka club usiku uwa wanamake sure kila mtu amefika safe but wakristo after church mkristo haezi pea mkristo mwenzake lift
Walevi wanaeza share glass ya pombe Wakristo waezi share glass ya maji
Yaani hii ni dunia mtu kisura anakuchekea but kwa roho ashakuroga

Ukilala wanasema ni umaskini,ukitembea ukitafuta kazi watasema unaranda randa,ukiwa online sana wanasema auna job,uki wa...
28/08/2023

Ukilala wanasema ni umaskini,ukitembea ukitafuta kazi watasema unaranda randa,ukiwa online sana wanasema auna job,uki wakubali sana wanasema wewe ni mcheap,ukiwakata wanasema uko na madharau,uki wa reply haraka wanasema uko depressed,Uki post motivational quotes wanasema umeachwa,uki post mtu wako wanasema muta achana tu,ukinona watasema unakula peke yako,ukikonda uko na ukimwi.
Mtu wangu penda Mungu na familia yako wengine achana nao.
Blessed week

Kuna vile unadai na kuna vile God amepanga Kiminink supper MP Hon.Maurice Kakai Bisau
19/07/2023

Kuna vile unadai na kuna vile God amepanga
Kiminink supper MP Hon.Maurice Kakai Bisau

Ukiwa kijijini usipowasaidia wenzako wawe matajiri pia utazidi kuletewa bahasha za harambee we peke yakoUsipowasaidia we...
10/07/2023

Ukiwa kijijini usipowasaidia wenzako wawe matajiri pia utazidi kuletewa bahasha za harambee we peke yako
Usipowasaidia wenzako wanunue gari io gari yako itakua ambulance kwa kijiji
Usipowasaidia wenzako wawe na kazi wewe jipange na noti za mia Mia kila siku ukirudi kwa kijiji,ukikosa kuwapea watasema unaringa skuizi,mtu wangu,akili!
Usipowasaidia wenzako wapunguze tembo we jipange kutumiwa till number ya club kila weekend huna otherwise😀
I must give back👊

Washerati,wakora,macartel na watu ya anasa wote wameenda Naivasha sai vijana wachache wazuri ndo tumebaki hii town. Iko ...
23/06/2023

Washerati,wakora,macartel na watu ya anasa wote wameenda Naivasha sai vijana wachache wazuri ndo tumebaki hii town.
Iko ngulusumu yangu fulani alidanganya mkewe eti anaenda ushago kuona mathe kumbe anaenda Naivasha alifika naivasha akapata mke amejisot na dzaddy wa subaru hapo kando yake...utaambia watu nini.
Tumwogope Mungu.

Happy fathers day to le boss,my leader,supper MPKiminini 001 Bazuu Hon.Maurice Kakai Bisau Huku nikupanga kazi tu. Mtu w...
18/06/2023

Happy fathers day to le boss,my leader,supper MP
Kiminini 001 Bazuu Hon.Maurice Kakai Bisau
Huku nikupanga kazi tu.
Mtu wangu Kuna vile unadai na kuna vile God amepanga,relax.

Mbona mse akikam kwako advice mwishowe mnamalizia kwa wines and spirits?Alafu kuna kasumba fulani apa nje yaani mpenzi w...
04/06/2023

Mbona mse akikam kwako advice mwishowe mnamalizia kwa wines and spirits?
Alafu kuna kasumba fulani apa nje yaani mpenzi wako adi ajifanye mgonjwa ndiposa ata apate kuku na chips?

Sports was one of Hon.Maurice Kakai Bisau agendas.Kiminini Constituency ni kazi tu.
03/06/2023

Sports was one of Hon.Maurice Kakai Bisau agendas.
Kiminini Constituency ni kazi tu.

Msichana wa Mtu uko na kijana mzuri sana,kijana polite ajui anasa yeye party anaenda ni kesha Friday kwa kanisa akipiga ...
26/05/2023

Msichana wa Mtu uko na kijana mzuri sana,kijana polite ajui anasa yeye party anaenda ni kesha Friday kwa kanisa akipiga keyboard ila wewe sasa subaru boyz wamekuchanganya msichana..unapiga vumbi na jamaa yako alafu jama ya subaru anakufinyia macho pepo inakuingia kesho utembei na jamaa yako ndo upatane na jamaa ya subaru upeane number.
Jamaa yako trip anaeza kupeleka mbali sana ni seminar ya youths yaani io ni date polite but wewe msichana pepo imekuingia unashinda DM ya wanaume unataka tu kupelekwa coast.
Jamaa yako ni jamaa ajawai kuomba io vitu nyi uona ukipea mwanamme umempea kila kitu jamaa yako anajua tu kitu moja pastor alisema 'Kitanda iheshimiwe' ako 30 years but ata hamlali kitanda moja jamaa heshima inamaliza yeye
Jichunguze

Kuna msee ustrugle ndo ata akule mara moja kwa siku but kuna mse adi chapo nyama kwake ni snacks anakula mara tano kwa s...
11/05/2023

Kuna msee ustrugle ndo ata akule mara moja kwa siku but kuna mse adi chapo nyama kwake ni snacks anakula mara tano kwa siku.
Kuna wase wakuendelea na masomo alipass na grade fiti 4th but sasa penye inafa ajoin ata fare tu ya nduthi yakumpeleka stage apande gari hana but kuna wasee walienda uni but ngulusumu ikipewa schools fees cool kid anakula na wanawake wakipiga anasa
Kuna mse amemarry but kuna mse bado ako streets kuwatafuna ka njugu na mwingine adi aliamua aingie rainbow,ushawai bonga na awa wase?ama wewe nikuwajudge

Kuna vile unadai na kuna vile God amepanga.Si uchawi ni;maombi,uaminifu na kujituma.My boss,my leader Kiminini 001 Hon.M...
09/05/2023

Kuna vile unadai na kuna vile God amepanga.
Si uchawi ni;maombi,uaminifu na kujituma.
My boss,my leader Kiminini 001 Hon.Maurice Kakai Bisau

Tulisema huu ni mwaka wakupanuliwa,zile vitu mzuri mzuri lazima God atujenge;job,wife mpolite si karubandika,shamba ujen...
07/05/2023

Tulisema huu ni mwaka wakupanuliwa,zile vitu mzuri mzuri lazima God atujenge;job,wife mpolite si karubandika,shamba ujenge,maparo wako uwaeke fiti,piga luku,alafu loan zote umelipa,umeswaga vumbi kwa i dunia buy ata kavitz mtu wangu,sadaka unatoa vile inafaa aah mtu wangu apa wewe sasa waeza soma gazeti bila stress

Address

Kitale

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dj Clante posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category



You may also like