
01/01/2025
1 Timotheo 6:6-20
6. Bali kumcha Mungu na kuridhika ni faida kubwa. 7 Kwa maana hatukuja na kitu cho chote hapa duniani, wala hatuwezi kutoka na kitu. 8 Lakini k**a tuna chakula na mavazi, basi tutaridhika.
Happy New Year friends and family 🙏🏽