Spekta KE the undisputed poet

Spekta KE the undisputed poet Use literature n own composition to teach n heal the world

24/04/2023

Don't gain the world and loose your soul..blessed is the man who humbles himself unto the most..


Corruption is the mother of poverty,,,. jellousy,hate,propaganda and racism are the family members..but tribalism is the...
22/05/2022

Corruption is the mother of poverty,,,. jellousy,hate,propaganda and racism are the family members..but tribalism is the grandmother and father that bored it... living in peace is the only key that unlocks the hidden agendas of factors accelerating this corruption..let's mantain brother and sisterhood as we prepare for our forthcoming elections....


Miaka tano ikipita ndo mi naskia wananiita..washaanisendia friend request na wananifollow sana twitter..eti shida ya maj...
26/01/2022

Miaka tano ikipita ndo mi naskia wananiita..washaanisendia friend request na wananifollow sana twitter..eti shida ya maji kijiji mzima ataeka metre na kila mtoto atasoma na atapita..ataleta pamoja omondi ata na pita na atatupa chakula cha bure bla kusita..sjasema Sita za ahadi zake visa eti shuleni cha upili bwenini tutakula pizza.siezi mlenga na skatai zake pesa ni kuogopa ndo naogopa Inspekta anaeza nitesa..

Nipe maji,,myc na mafutašŸ˜Žkibiriti nipate kuwachemsha,,am Bak to biz as usual
08/06/2021

Nipe maji,,myc na mafutašŸ˜Žkibiriti nipate kuwachemsha,,am Bak to biz as usual

Tulikua ka wafew bfo ii gethaa ya curfew,,kejani na madem kathaa Tukishkanashkana tukicheka sana huku tukinyegezana,ā¤,bt...
28/04/2021

Tulikua ka wafew bfo ii gethaa ya curfew,,kejani na madem kathaa Tukishkanashkana tukicheka sana huku tukinyegezana,ā¤,bt tukakosana afta nimshow Vle nakazana na ii lyf Nampenda sana na sioni nkikaa sana kabla sjafika kwa Hanscana..skumoja mchana,adirect ile collabo ya Swadakta na Anna..kumbe wanajuana na Anna na jana waliambiana vle Watakatana kumwingiza scanner ikikataana..ama kweli ii life ni movie..na mwenyewe acha nibaki direkta..


Am not the best ofkoz one of the best,,sjachoka doing ma best most High will do the rest...Ndo wakicopy mi napaste,,waki...
10/04/2021

Am not the best ofkoz one of the best,,sjachoka doing ma best most High will do the rest...Ndo wakicopy mi napaste,,wakivaa makoti mi na vest,wakichosha wametoka East Washow monster ni wa West..

Nacheki vle unakata hio keki..na nacheki vle umebleki n it seems lyk I can't jus take it ju Nika umenimisteki na wale wa...
20/02/2021

Nacheki vle unakata hio keki..na nacheki vle umebleki n it seems lyk I can't jus take it ju Nika umenimisteki na wale wasee fekifeki kudedadeki..i can't mek it,,kukam to your place coz siezi keti karibu yako husinipe kiti,ulinionyesha unafiki,nikachukia marafiki acha niishi ndani ya dhiki olewa na faraja but hanifiki,hurithiki,naishia siaibiki,ka snare umenpiga makiki design ya pikipiki jikate tonight pea Dickie mwisho wa wiki ntakam kuconfirm ka bdo ni sticky but staki na skutaki acha nibaki na justice plus sheria zangu nadai haki na niamini aki nakucheki n i jus can't take it.

I can't believe wat am hearing..where is the love for one another where is the caring..i love u so much BT i think I lov...
17/02/2021

I can't believe wat am hearing..where is the love for one another where is the caring..i love u so much BT i think I love myself too..am reading between the lines..

Cna homa ni vile spekta mi hubonga na cko ready kuumiza mtu au kugonga,ila nimenotiz vijana nika wanabonga na chosha za ...
18/01/2021

Cna homa ni vile spekta mi hubonga na cko ready kuumiza mtu au kugonga,ila nimenotiz vijana nika wanabonga na chosha za mtandao za Moshi nikiwa Tanga.wanasahau diary zao napanga wanasahau tangu kitambo dada zao ndo namanga,ambia warani wavae mashuka nadai kupanda na wabonge kieleweke twenty ni tangatanga..

Skulangi mori mi nakulanga mapizza naburningi but siezi choma picha..gotea Kay,Da,Madah na Fritcher washow holiday ndo i...
26/12/2020

Skulangi mori mi nakulanga mapizza naburningi but siezi choma picha..gotea Kay,Da,Madah na Fritcher washow holiday ndo inakwisha nakam kuwachangamsha..

Address

025
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Spekta KE the undisputed poet posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share