05/04/2024
PART 1 : RADIO JAMBO PATANISHOππππβπΌ
GHOST: Akinyi umesema mliulizana nini na wafula π
AKINYI: Nilimpata na mpango wa kando kwa nyumba ile hasira nilikuwa nayo nikachukua nguo zangu nikaendaπ.
GIDI: ππππ.
GHOST: oooh saa after kumpata na mwana dada mwingine ukajitoa ?π€
AKINYI: Yah nilijitoa nikakaa 1week hivi nika time saile alienda kazi nikarudi kwa nyumba nikachukua kila kitu, nilimuachia sufuria na vikombe pekeyakeππ !
GIDI: Salale!!! Yani ukachukua kila kituπ π€£.
GHOST: Akinyi unamaanisha nini ukisema ulichukua kila kitu ? πππππππππππππππ
AKINYI: Nilibeba vitu ambazo nilinunua na pesa zangu π.
GHOST: Ooh na saa mbona unataka kurudiana na wafula ? π€
Gidi:π»π»π»πππ
AKINYI: Juu nampendaa sanaaa napia nataka asaidie mtoto wake ππ.
GHOST: Ooooh shikilia hapo tumpigie wafula...
ππππ.
[Wafula anapigiwa simu, anachukua]
GIDI: Hello wafula, hapa ni radio jamboπ, mke wako Akinyi ametuarifu alikuacha baada ya kukupata na mpango wa kando.....sasa...anatakaaaaπ―...[kabla amalize kuongea wafula anamkatiza]
WAFULA: Gidi skia..... Nlikuw tuned kwa radio jamboπͺ. Huyo mke amewadanganyaπ. Ni mm nilimfukuza baada ya kumpata akireduce maji ya kusonga ugaliππ¬.
GHOST: πππππππππππππππππ continue in comment section