Dj Lenny254

Dj Lenny254 https://www.youtube.com/
Instagram:
𝕏:

17/10/2024

Ushawahi copy exam ya chemistry ukapata 91% halafu mwalimu akakuambia uende hapo mbele uonyeshe the whole class how to do it? That’s honorable Mutuse right now😂🤦🏾‍♂️🙆🏿‍♀️

Ati hawa ndio walifika finals za miss kakamega 2024🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ Tawe!🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️Vuteni stool tucheke😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
08/06/2024

Ati hawa ndio walifika finals za miss kakamega 2024🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

Tawe!🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️

Vuteni stool tucheke😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Niko na swali...mlisema watu wako na tattoo wataenda mbinguni ama wataenda wapi??🤔🤔🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️
07/06/2024

Niko na swali...mlisema watu wako na tattoo wataenda mbinguni ama wataenda wapi??🤔🤔🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️

31/05/2024

Men, delete one forever 🙆🏾‍♂️

- Football
- Music
- Women
- Water
- Money

Wacha tuone maajabu 🤦🏾‍♂️

Hizi millions ni k**a ata hazitafika Kenya...nahurumia Eddie Butita ni k**a atarudi akiwa kwa scandal😂
24/05/2024

Hizi millions ni k**a ata hazitafika Kenya...nahurumia Eddie Butita ni k**a atarudi akiwa kwa scandal😂

13/05/2024

K**a Bado unatumia charger 🔌 kucharge simu you still have a long way to go🤦🏾‍♂️

Wacha tuone wenye walipita shule na wenye walipita shule...😅Wacha tujionee maajabu kwa comments😂😂😂Leteni hizo answers ni...
13/05/2024

Wacha tuone wenye walipita shule na wenye walipita shule...😅

Wacha tujionee maajabu kwa comments😂😂😂

Leteni hizo answers niwapee marks...🥱

Ni nini hio ushawai pata kwa keja ya beste yako ukashtuka??😳😳Mimi nilipata traffic lights🚦kwa keja ya Dem yangu akanisho...
10/05/2024

Ni nini hio ushawai pata kwa keja ya beste yako ukashtuka??😳😳

Mimi nilipata traffic lights🚦kwa keja ya Dem yangu akanishow ni za kutumia time stima imepotea🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

Weuh! Finally! 😩😬Heri hivyo shule zinafunguliwa sasa, haka kajeshi kamesumbua sana kwa clubs na hawanaga pesa kazi nikui...
28/04/2024

Weuh! Finally! 😩😬
Heri hivyo shule zinafunguliwa sasa, haka kajeshi kamesumbua sana kwa clubs na hawanaga pesa kazi nikuitisha tu dj miondoko na saa hio wamejaza maji kwa meza utadhani wamekuja delegates conference🤣🤣🤣

27/04/2024

K**a Bado kwenyu mnatumia sufuria kupika you still have a long way to go😩

Ama niseme mimi ni mtoto wa Karangu Muraya ndio nipate followers🥺🥺🥺🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️😂😂😂
26/04/2024

Ama niseme mimi ni mtoto wa Karangu Muraya ndio nipate followers🥺🥺🥺🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
😂😂😂

Absolutely no one 😅Kenyan ladies at 35..."I'm now ready to settle down and have a family"🤣🤣🤣🤭🤭🤭
21/04/2024

Absolutely no one 😅

Kenyan ladies at 35...

"I'm now ready to settle down and have a family"🤣🤣🤣🤭🤭🤭

Wakuu nisaidieni tafadhali, hapa unafaa kuita Plumber ama Electrician😟😥😢  ama caretaker🤔🤔🤔 Nimekwama hapa kwa bafu nango...
19/04/2024

Wakuu nisaidieni tafadhali, hapa unafaa kuita Plumber ama Electrician😟😥😢 ama caretaker🤔🤔🤔 Nimekwama hapa kwa bafu nangoja usaidizi wenyu, 🤦🏾‍♂️

KDF wakiskia Zakayo ana advertise position ya Chief of Defense Forces (CDF)😢😢😩😩
19/04/2024

KDF wakiskia Zakayo ana advertise position ya Chief of Defense Forces (CDF)😢😢😩😩

Tulisema mapenzi ikifika hapa mtu anafaa kufanya nini??🤔🤔
18/04/2024

Tulisema mapenzi ikifika hapa mtu anafaa kufanya nini??🤔🤔

Ata k**a ni wivu hii imezidi😅😅😅 sasa mafans wa Arsenal hatutakaa kwa amani😎😎😎 Aki wakenya mnakuanga idle sana😏
14/04/2024

Ata k**a ni wivu hii imezidi😅😅😅 sasa mafans wa Arsenal hatutakaa kwa amani😎😎😎

Aki wakenya mnakuanga idle sana😏

Ndio kutokea church 🤗...Wanaume ukipewa k**a huyu nini ingine unataka😎
14/04/2024

Ndio kutokea church 🤗...

Wanaume ukipewa k**a huyu nini ingine unataka😎

Unadhani Uhuru alikua anaambia nini Ruto...leteni hizo captions 😅 Best caption wins🤗
13/04/2024

Unadhani Uhuru alikua anaambia nini Ruto...leteni hizo captions 😅

Best caption wins🤗

Address

Nairobi

Website

http://www.hearthis.at/dj-lenny254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dj Lenny254 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dj Lenny254:

Videos

Share

Category