DJ Puf DJ Puf

DJ Puf DJ Puf Like my
Fb page: Puf DJ Puf. Follow IG: . Twitter: . Call or text me:

28/02/2025

What you ordered Vs what you got😂😂 here is a low budget Kufai 🤣🤣

Zile two birds with one stone ni k**a zimehit our 'early bird'😂 if you know you know 😂😂 anyway early birds good morning ...
27/02/2025

Zile two birds with one stone ni k**a zimehit our 'early bird'😂 if you know you know 😂😂 anyway early birds good morning 🌞. May today be the day our almighty God will answer all your prayers 🙏

The only shopping we are going for this January ni ya kuinvest😊 our investment store is full of prime properties just fo...
10/01/2025

The only shopping we are going for this January ni ya kuinvest😊 our investment store is full of prime properties just for you 🙂. What do you wish to add to your shopping cart?☺️

Nmevunja kafoolish(Karimu) Ka savings za 2024☺️, ni k**a huo mwaka haukuwa mbaya sana ngais🤣🤣 on that note nani anajua d...
02/01/2025

Nmevunja kafoolish(Karimu) Ka savings za 2024☺️, ni k**a huo mwaka haukuwa mbaya sana ngais🤣🤣 on that note nani anajua dealer mzuri anaweza nifanyia importation ya Mercedes-Benz GLE colour iwe sky-blue na iwe zero mileage 😂😂 nalipa cash btw 😆😆

I know this photo won't make sense saa hii😂😂 but come next month it will 🤣🤣 Btw am a farmer guys you should support my h...
26/12/2024

I know this photo won't make sense saa hii😂😂 but come next month it will 🤣🤣 Btw am a farmer guys you should support my hustle 😜 I will deliver to your location ☺️

Guys tuombeeni ju naona kwetu kumeshikana kindogo😂😂 ni k**a Christmas imeenda hivo🤣🤣. Kitu ata inauma mathe si nyama k**...
25/12/2024

Guys tuombeeni ju naona kwetu kumeshikana kindogo😂😂 ni k**a Christmas imeenda hivo🤣🤣. Kitu ata inauma mathe si nyama k**a supu😆

Watu wangu ndo kuingia kijijini🤣🤣 Siri ni kuingia usiku, wakiamka wanashangaa ulifika saa ngapi. Merry Christmas guys ku...
24/12/2024

Watu wangu ndo kuingia kijijini🤣🤣 Siri ni kuingia usiku, wakiamka wanashangaa ulifika saa ngapi. Merry Christmas guys kuleni nyama kabisa na msisahau Njaa-Nuary kabej zinawangoja😂😂

Nmepitia base ya mtu wa mutura nkaingia huko ndani kucharge simu 🤣 kumbavu zangu, sitai kula nyama tena. Am officially a...
23/12/2024

Nmepitia base ya mtu wa mutura nkaingia huko ndani kucharge simu 🤣 kumbavu zangu, sitai kula nyama tena. Am officially a vegetarian 😂 hii moja inakaa familiar though 😂😂

Tukipatana na wewe locals pale gishagi usijaribu kuniita Puff tutakosana. Puff ni jina ya taon🤣🤣. Huko tukipatana niite ...
23/12/2024

Tukipatana na wewe locals pale gishagi usijaribu kuniita Puff tutakosana. Puff ni jina ya taon🤣🤣. Huko tukipatana niite Mhesh, Mkubwa, Kiongos, Budesko, Tajiri wangu, Mdosi, Yani hizo majina tamu tamu😂😂

Ni k**a kila mtu ako upcountry 😂 Thika road naona nj gari za Miraa na ambulance pekee🤣 ata polisi hakuna😆 wueeeee
22/12/2024

Ni k**a kila mtu ako upcountry 😂 Thika road naona nj gari za Miraa na ambulance pekee🤣 ata polisi hakuna😆 wueeeee

Lakini kwani watu ya Nyeri, Nanyuki, Murang'a, na Kirinyaga, Mwea, Embu, Meru like my good friend Royal Derick   kwani n...
20/12/2024

Lakini kwani watu ya Nyeri, Nanyuki, Murang'a, na Kirinyaga, Mwea, Embu, Meru like my good friend Royal Derick kwani nyi huenda home lini😂😂😂 barabara huku ni safi adi tunacheza soccer.😂😂 Nyinyi hutumana salamu Kwa gari za miraa na za Mchele 😂😂😂

Picha za Wednesday mnatoa wapi wadauz😂😂😂  tukiingia locals pale baze.
20/12/2024

Picha za Wednesday mnatoa wapi wadauz😂😂😂 tukiingia locals pale baze.

Kutoka kesho ndo text za charger imespoil then uncle wa mbali aende atembelewe na huko si unajua hakunanga network 🤣🤣🤣🤣 ...
19/12/2024

Kutoka kesho ndo text za charger imespoil then uncle wa mbali aende atembelewe na huko si unajua hakunanga network 🤣🤣🤣🤣 Ngai!! Wacha tujitulize na hii mupya ya Samidoh😂😂

Kuna mtu amenitext ati niharakishe wamewekelea nyama kilo tano na mizinga saba then anasema ni wrong number. Ndo nampigi...
19/12/2024

Kuna mtu amenitext ati niharakishe wamewekelea nyama kilo tano na mizinga saba then anasema ni wrong number. Ndo nampigia aniambie wako wapi siko busy sana. Hawezi nitext iyo text alafu asema ni wrong number acha aniambie hivo face to face.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

At least 2024 nmeachieve kitu ya maana na imeshida wengi k**a akina DJ RIQUE WAYNE , Dèèjay Rique Wayne . Kulea ndevu si...
18/12/2024

At least 2024 nmeachieve kitu ya maana na imeshida wengi k**a akina DJ RIQUE WAYNE , Dèèjay Rique Wayne . Kulea ndevu sio mchezo bana na pia nimecut cost ya kinyozi, 2025 ayam ready for yah baby🤣🤣🤣🤣 Wewe umeachieve nini?

Coming Saturday where will you be? Let's make a date 📅. Join us on our FREE site visit to Joska, Malaa Along kangundo ro...
10/01/2024

Coming Saturday where will you be? Let's make a date 📅. Join us on our FREE site visit to Joska, Malaa Along kangundo road. Plots are very much affordable and ready for immediate settlement.
For reservations call/SMS/WhatsApp 0728 119291

Address

Nairobi
47

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DJ Puf DJ Puf posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DJ Puf DJ Puf:

Videos

Share