Kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kutwaliwa kwa aliyekuwa waziri mkuu wa JMT Ndg Edward Ngoyai Lowasa. Hii Leo tumeungana na familia ya Mama Regina Lowasa na watoto wake Fredrick Lowasa (MB), Bob, Pamela na wengine tukienzi umoja, mshikamano na ushirikiano aliyotufunza nguli huyo wa siasa nchini Tanzania.
Hapa chini ni vibe la viongozi wa Mila (Malaigwanani) waburudika na wanafamilia na kuwapa faraja
Nawashukuru kamati na familia kwa kuniamini kuratibu shughuli hii kubwa na yenye kumbukumbu ya aina yake kwa nafasi ya MC
#georgesimbachawene
#FredrickLowasa
@George Simbachawene MB
Fredrick Lowassa
Congratulations Loma & Nosim for your special day. Thank you for an opportunity to host your event. Merry Chris mass and happy new year 2025 enjoy it fullest
Mc Ole-Best Mc to hire 0767586186
Kazini kwetu kuna kazi๐
Karibu Aim Mall- Arusha maeneo ya Tanapa (Send off party ya Kibabe)ni
Free entrance mapema Leo kuanzia saa moja usiku hadi saa tano usiku.
Zingatia neno "free entrance"
Hakuna kiingilio kabisa
Njoo tufurahi pamoja