Arusha International Conference Centre

Arusha International Conference Centre Looking for a meeting venue? Welcome to AICC located at the heart of Africa, midway between Cairo and Capetown.

The perfect venue for your meetings with abundant natural attractions around, the Centre accommodates up to 1,350 delegates.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mapema leo tarehe 15 Januari, 2025 amekagua maandalizi ya ...
15/01/2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mapema leo tarehe 15 Januari, 2025 amekagua maandalizi ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

12/01/2025
Count down to the big day, the big event has just begun
28/12/2024

Count down to the big day, the big event has just begun



WACHEKESHAJI VINARA ZAIDI YA 10 WA THE CHURCHIL KUWASILI ARUSHA MCHANA HUU.Waigizaji zaidi ya Kumi wa Sanaa za Majukwaan...
27/12/2024

WACHEKESHAJI VINARA ZAIDI YA 10 WA THE CHURCHIL KUWASILI ARUSHA MCHANA HUU.

Waigizaji zaidi ya Kumi wa Sanaa za Majukwaani kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Churchil Show wanatarajiwa kuwasili Mkoani Arusha mapema hii leo kupitia Mpaka wa Namanga, tayari kwaajili ya Usiku wa Kuvunjwa mbavu unaotarajiwa kufanyika Kesho Jumamosi Disemba 28, 2024 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Jijini Arusha AICC.

Kulingana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, Muandaaji na mratibu wa Onesho hilo, wakati akimpokea Muanzilishi na Kiongozi Kinara wa Kundi hilo Bw. Daniel Wambua maarufu k**a Churchil, amesema Waigizaji hao wataungana na Washiriki wengine zaidi ya 30 waliopatikana kupitia usahili unaoendelea Jijini Arusha chini ya Majaji kutoka kwa kundi la Churchil.

Onesho la Kuvunja mbavu kutoka kwa kundi la The Churchil kutoka nchini Kenya wanaofanya Tamasha lao la kwanza nchini Tanzania linafanyika Jumamosi hii huku kiingilio kikiwa ni Shilingi 50,000 kwa viti vya kawaida, 100,000 kwa VIP na Tsh.500,000 kwa VVIP ambapo tiketi zinapatikana kupitia tovuti ya WWW.ArushaNow.Co.Tz

HAPPY HOLIDAYS
25/12/2024

HAPPY HOLIDAYS

OFFICE SPACE FOR RENT
20/12/2024

OFFICE SPACE FOR RENT

Naibu Waziri Mkuu  na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua rasmi Kongamano la 15 la Wataalamu wa Ununuzi na...
17/12/2024

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua rasmi Kongamano la 15 la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi AICC katika Ukumbi wa Simba leo Disemba 17.2024

Minister of  Natural Resources and Tourism Hon.Dunstan Kitandula officiated the opening of  the 3rd International Tanzan...
11/12/2024

Minister of Natural Resources and Tourism Hon.Dunstan Kitandula officiated the opening of the 3rd International Tanzania Forest Research Institute (TAFORI) Scientific Conference at AICC today December 11,2024.


The Director of Corporate Services (DCS) at AICC, Dr. Veronica Nyahende  bids farewell to the team of Jakaya Kikwete Car...
07/12/2024

The Director of Corporate Services (DCS) at AICC, Dr. Veronica Nyahende bids farewell to the team of Jakaya Kikwete Cardiac Institute(JKCI) staff who participated in the joint AICC/JKCI clinic in Arusha.


Prime Minister Hon. Kassim Majaliwa today officiated the closing of The 14th Institution of Engineers Tanzania Internati...
06/12/2024

Prime Minister Hon. Kassim Majaliwa today officiated the closing of The 14th Institution of Engineers Tanzania International Conference and Exhibitions.

The closing ceremony was held at Arusha International Conference Centre (AICC), Simba plenary hall in Arusha, today 6,December 2024

Matukio katika picha mahafali ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es Salaam yaliyofanyika leo tarehe 05, Desemba 2024 kwen...
05/12/2024

Matukio katika picha mahafali ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es Salaam yaliyofanyika leo tarehe 05, Desemba 2024 kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC).


Kliniki Maalum ya magonjwa ya moyo na madaktari bingwa wabobezi kutoka Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inaendel...
04/12/2024

Kliniki Maalum ya magonjwa ya moyo na madaktari bingwa wabobezi kutoka Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inaendelea katika Hospitali ya AICC, Jijini Arusha.

Kliniki hiyo iliyoanza Disemba 2,204 imelenga kuwasaidia Wagonjwa wenye Matatizo ya Kuziba kwa mirija ya moyo, Magonjwa ya moyo, Shinikizo la damu (Hypertension), Moyo kushindwa kufanya kazi na Shinikizo la moyo.

Hivyo, AICC inapenda kuwakaribisha wakazi wa Arusha na Mikoa ya jirani kushiriki katika Kliniki hiyo ambayo itadumu kwa muda wa siku tano.

Matukio katika picha Ufunguzi wa Kongamano la Tisa la Wanasayansi, Watafiti na Wabunifu la   Kongamano hilo la siku tatu...
03/12/2024

Matukio katika picha Ufunguzi wa Kongamano la Tisa la Wanasayansi, Watafiti na Wabunifu la Kongamano hilo la siku tatu linalofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam limezinduliwa na Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Doto Biteko.

Mkutano wa pili wa Wahasibu Barani Afrika unaofanyika kwa siku tatu kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (...
02/12/2024

Mkutano wa pili wa Wahasibu Barani Afrika unaofanyika kwa siku tatu kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), umefunguliwa rasmi leo Desemba 2, 2024 na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa.

Matukio katika picha Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki leo Novemba 30,2024  katika Kit...
30/11/2024

Matukio katika picha Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki leo Novemba 30,2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

Address

East African Community Bvd
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 22:00
Wednesday 08:00 - 22:00
Thursday 08:00 - 22:00
Friday 08:00 - 22:00
Saturday 08:00 - 22:00
Sunday 08:00 - 22:00

Telephone

+255272050181

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arusha International Conference Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Arusha International Conference Centre:

Videos

Share