Chemmysix_events

Chemmysix_events 🏡|We do decoration for all events
❤️|We plan for your dream occasion
📞|Call 0785400940
?

HAPPY EASTER TO YOU ALL 😊
17/04/2022

HAPPY EASTER TO YOU ALL 😊

Hello 👋🏼Tunawaletea tena kozi ya upambaji kwa mwezi wa 4. K**a ulikosa madarasa ya January, February na March aya wakati...
14/04/2022

Hello 👋🏼

Tunawaletea tena kozi ya upambaji kwa mwezi wa 4. K**a ulikosa madarasa ya January, February na March aya wakati wako ni sasa, nafasi zipo wazi kwa wewe kuwahi kujisajili mapema kwa ADA ya Tshs 250,000 tu.

Wapi utasoma kozi ya mapambo kwa hii ambayo chuo cha ujasiriamali Arizona Vocational College] imekupatia wewe fursa ya kuweza kujifunza jambo hili.

Nami mwalimu wako nitaendelea kuwepo hapo kukungoja wewe kujisajili ili tukutane darasani.

Tutakufundisha basics muhimu sana za mapambo ili zikuongoze ufanyapo kazi hio.

Practical pia ni sehemu zaidi ya darasa hili. Utajifunza kupanga maputo, kupamba backdrops, kuarrange maua, kupanga meza na na mahitaji yake n.k

Darasa lijalo litaanza tarehe 19/04/2022 wahi nafasi yako kwa kuwasiliana na Arizona Vocational College] namba 0742466965

Karibuni!

28/02/2022
Darasa  la mapambo kwa wale wanakosa muda katikati ya wiki, tumeanza kupokea bookings kwa darasa la Jumamosi na Jumapili...
28/02/2022

Darasa la mapambo kwa wale wanakosa muda katikati ya wiki, tumeanza kupokea bookings kwa darasa la Jumamosi na Jumapili ambalo litamaliziwa na online kwa siku chache.

Mwanafunzi wetu ameweza 👏🏻👏🏻 ametumia weekend yake vizuri kabisa.

Madarasa ya wiki nzima yanaendelea pale wahi kujisajili kwa Tshs 250,000
na kisha wewe na sisi tukutane darasani.

Kwa madarasa ya weekend tafadhali wasiliana nasi 0785400940

Hello 👋🏼Tunawaletea tena kozi ya upambaji kwa mwezi wa 3. K**a ulikosa madarasa ya January na February aya wakati wako n...
17/02/2022

Hello 👋🏼

Tunawaletea tena kozi ya upambaji kwa mwezi wa 3. K**a ulikosa madarasa ya January na February aya wakati wako ni sasa, nafasi zipo wazi kwa wewe kuwahi kujisajili mapema kwa ADA ya Tshs 250,000 tu.

Wapi utasoma kozi ya mapambo kwa hii ambayo chuo cha ujasiriamali Arizona Vocational Training] imekupatia wewe fursa ya kuweza kujifunza jambo hili.

Nami mwalimu wako CHEMMYSIX EVENTS] nitaendelea kuwepo hapo kukungoja wewe kujisajili ili tukutane darasani.

Tutakufundisha basics muhimu sana za mapambo ili zikuongoze ufanyapo kazi hio.

Practical pia ni sehemu zaidi ya darasa hili. Utajifunza kupanga maputo, kupamba backdrops, kuarrange maua, kupanga meza na na mahitaji yake n.k

Darasa lijalo litaanza tarehe 01/03/2022 wahi nafasi yako kwa kuwasiliana na Arizona Vocational Training] namba 0742466965 au sisi CHEMMYSIX EVENTS] kwa msaada zaidi.

Karibuni!

Hello 👋🏼Tunawaletea tena kozi ya upambaji kwa mwezi wa 3. K**a ulikosa madarasa ya January na February aya wakati wako n...
17/02/2022

Hello 👋🏼

Tunawaletea tena kozi ya upambaji kwa mwezi wa 3. K**a ulikosa madarasa ya January na February aya wakati wako ni sasa, nafasi zipo wazi kwa wewe kuwahi kujisajili mapema kwa ADA ya Tshs 250,000 tu.

Wapi utasoma kozi ya mapambo kwa hii ambayo chuo cha ujasiriamali imekupatia wewe fursa ya kuweza kujifunza jambo hili.

Nami mwalimu wako nitaendelea kuwepo hapo kukungoja wewe kujisajili ili tukutane darasani.

Tutakufundisha basics muhimu sana za mapambo ili zikuongoze ufanyapo kazi hio.

Practical pia ni sehemu zaidi ya darasa hili. Utajifunza kupanga maputo, kupamba backdrops, kuarrange maua, kupanga meza na na mahitaji yake n.k

Darasa lijalo litaanza tarehe 01/03/2022 wahi nafasi yako kwa kuwasiliana na namba 0742466965 au sisi kwa msaada zaidi.

Karibuni!

Tabasamu la ushindi kutoka kwa mwanafunzi wetu wa darasa la upambaji. Darasa la upambaji limeandaliwa na Arizona Vocatio...
22/01/2022

Tabasamu la ushindi kutoka kwa mwanafunzi wetu wa darasa la upambaji.

Darasa la upambaji limeandaliwa na Arizona Vocational Training]]] na kufundishwa na sisi CHEMMYSIX EVENTS]] …. Tumekuwa na muda mzuri sana pamoja kuanzia siku ya kwanza mpaka ya 5.

Tumejifunza kwa nadharia na vitendo. Hakika tume enjoy sana.

Karibu darasani mwezi ujao kujifunza kupamba sherehe mbalimbali. Darasa linafanyikia chuoni Arizona Vocational Training]]] Chama, Mikocheni A-Opposite Tanesco ama karibu kabisa na TMJ hospital.

Darasa linalofwata ni tarehe 7/02/2022 mpaka tarehe 11/02/2022. Jisajili na kulipia mapema!

Kisha relax sisi CHEMMYSIX EVENTS]] na wewe tutakutana hapo Arizona Vocational Training]]] siku ya tarehe tajwa!

Karibuni Arizona Vocational Training]]] na CHEMMYSIX EVENTS]]

Jisajili kwa namba 0742466965

K**a bado hujajisajili, fanya kujisajili kwa kupoga namba 0742 466965 kujiwekea nafasi yako. Darasa Jumatatu linaanza, t...
13/01/2022

K**a bado hujajisajili, fanya kujisajili kwa kupoga namba 0742 466965 kujiwekea nafasi yako. Darasa Jumatatu linaanza, tukutane hapo
Karibuni!

  from  Heri ya Mwaka mpya! kutokana na maombi mengi kozi hii tulisogeza mbele.Hivyo itaanza tarehe 17-31/01/2022KOZI YA...
10/01/2022

from

Heri ya Mwaka mpya! kutokana na maombi mengi kozi hii tulisogeza mbele.Hivyo itaanza tarehe 17-31/01/2022

KOZI YA UPAMBAJI KUMBI & SHEREHE MBALIMBALI

Ada: Tsh 250,000

Muda: 9:30 Asubuhi

MASOMO NI
📌Back Drop set up
📌Table Set up
📌Baloon garland
📌Stage decoration
📌Flower arrangements (Bouquet

Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 15. wahi nafasi chache tu.

Piga simu: 0742466965

📌MKUFUNZI WETU NI CHEMMYSIX EVENTS] CHEMMYSIX EVENTS]

Baby Praise Her first birthday 🥰😍😇
07/01/2022

Baby Praise

Her first birthday 🥰😍😇

Little details for baby Praise’s birthday ✨01.01.2022 new year celebration with baby Praise’s birthday
07/01/2022

Little details for baby Praise’s birthday ✨

01.01.2022 new year celebration with baby Praise’s birthday

Little details for baby Praise’s birthday
07/01/2022

Little details for baby Praise’s birthday

07/01/2022
Beautiful table setup for adults 🥂 It was little miss  birthday
07/01/2022

Beautiful table setup for adults 🥂

It was little miss birthday

Our royal customer toka day one of  kuanza Thank you so much  mama  tunawapenda sana sana
07/01/2022

Our royal customer toka day one of kuanza

Thank you so much mama tunawapenda sana sana

Our first boss for the year 2022…. Our little miss  daughter of our Royal customer  🥰🥰🥰 we love you
07/01/2022

Our first boss for the year 2022…. Our little miss daughter of our Royal customer

🥰🥰🥰 we love you

Our royal customer toka day one of  kuanza Thank you so much  mama  tunawapenda sana sana
07/01/2022

Our royal customer toka day one of kuanza

Thank you so much mama tunawapenda sana sana

🥰🥰
07/01/2022

🥰🥰

Thanks gift from Praise to her guests 🥰Happy 1st Birthday our little boss
07/01/2022

Thanks gift from Praise to her guests 🥰

Happy 1st Birthday our little boss

Birthday party on 1st of January, 2022 😊😊We celebrated baby Praise’s birthday on a New Year 2022Cake and cupcakes by  😋😋...
07/01/2022

Birthday party on 1st of January, 2022 😊😊

We celebrated baby Praise’s birthday on a New Year 2022

Cake and cupcakes by 😋😋😋

Details for a baby boy Batism ✨
05/01/2022

Details for a baby boy Batism ✨

Simple decor for a baby boy Batism ✨
05/01/2022

Simple decor for a baby boy Batism ✨

Christening/Baptism ✨🥂
28/12/2021

Christening/Baptism ✨🥂

The flowers 🥰✨🥂
28/12/2021

The flowers 🥰✨🥂

✨👌🏼
28/12/2021

✨👌🏼

Address

Mbezi Beach Tank Bovu
Dar Es Salaam
355

Telephone

+255785400940

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chemmysix_events posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chemmysix_events:

Videos

Share

Category


Other Event Planners in Dar es Salaam

Show All

You may also like