Dj Manywele

Dj Manywele ×Local To PRO Gospel DJ Tour
×No God No Life |Unstoppable God|
×For Booking and Enquires
+255 719 080 895
(1)

Hello FAM🇹🇿🌍🎧Our very own Playlist •Remarkable Songs-Exclusive Playlist Ft Secular Artists• is already out and this is o...
30/10/2024

Hello FAM🇹🇿🌍🎧

Our very own Playlist •Remarkable Songs-Exclusive Playlist Ft Secular Artists• is already out and this is our songs list🎛️👇🏾

REMARKABLE SONGS (Exclusive Playlist Ft Secular Artists)

Songs List:

1. The Mafik-Tunaanza na Mungu
2. ⁠Phina-Sisi Ni Wale
3. ⁠Bright-Bila Mungu Sitoboi
4. ⁠Bando Mc Ft Daway-Sir God
5. ⁠Walter Chilambo Ft Jux-Success
6. ⁠Teni Ft Bien-Malaika
7. ⁠Barnaba Ft Joel Lwaga-Sayuni
8. ⁠Harmonize-Mwaka wangu
9. ⁠Ben Pol-Ebenezer
10. ⁠Justin Bieber Ft Pink Sweat$, Chandler Moore & Judah-Where You Go I Follow
11. ⁠Sauti Sol Ft RedFourth Chorus-Kuliko Jana
12. ⁠Rosa Ree-Blessed
13. ⁠Khaligraph Jones Ft Kusah-Asante
14. ⁠Professor Jay Ft Walter Chilambo-Siku 462
15. ⁠Nandy-Wanibariki
16. ⁠Sauti Sol Ft Soweto Gospel Choir-Brighter Days
17. ⁠King Kaka Ft Goodluck Gozbert-Umenibariki
18. ⁠Khaligraph Jones Ft Nyashinski-Sifu Bwana
19. ⁠Mr Eazi Ft Soweto Gospel Choir-Exit
20. ⁠Nyashinski-Mungu Pekee
21. ⁠Darasa Ft Abby Charms-Look At Us Now
22. ⁠Billnas Ft Jux-Maboss
23. ⁠The Ben Ft Tom Close-Thank You
24. ⁠Yemi Alade-Na Gode (Swahili Version)
25. ⁠Korede Bello-Godwin
26. ⁠Masterkraft Ft Chike-Hosanna
27. ⁠Mabantu-Tumetoboa
28. ⁠Ben Pol-Roho
29. ⁠Zuchu-Naringa
30. ⁠Patoranking-Higher

Manager:
Graphics:
Editor:

Happy Birthday to our finest jewel .a.l.s.h.a_ ❤️ More life to you FAM🫂😍🧢 and 👕 Brand:  💃🏾 Model: .a.l.s.h.a_ Manager:  ...
03/10/2024

Happy Birthday to our finest jewel .a.l.s.h.a_ ❤️ More life to you FAM🫂😍

🧢 and 👕 Brand:
💃🏾 Model: .a.l.s.h.a_
Manager:

Unashauriwa kuwa “KATIKA HII DUNIA USIJE KUBALI MTU AKUKATISHE TAMAA KATIKA MAMBO YAKO😱”Yani kimombo ni kuwa “PEOPLE CAN...
24/09/2024

Unashauriwa kuwa “KATIKA HII DUNIA USIJE KUBALI MTU AKUKATISHE TAMAA KATIKA MAMBO YAKO😱”

Yani kimombo ni kuwa “PEOPLE CAN QUIT ON YOU, BUT DONT EVER QUIT ON YOURSELF”✌🏾

Pambana ya hela yote 🫡💪🏾

Happy Birthday to ME🙏🏾Lord, thank you for everything since 1990s you’ve been so good to me🫂🙌🏾
21/07/2024

Happy Birthday to ME🙏🏾

Lord, thank you for everything since 1990s you’ve been so good to me🫂🙌🏾

After the long days of learning and learning huku bado nikiendelea kujifunza. Nakuomba ushauri kwa watu wengi kwenye Tas...
10/06/2024

After the long days of learning and learning huku bado nikiendelea kujifunza. Nakuomba ushauri kwa watu wengi kwenye Tasnia ya HABARI na MAWASILIANO + kujitathimini k**a naweza anza hii kitu chochote kuhusiana taaluma yangu ya JOURNALISM and PUBLIC RELATIONS.

Katika kujitafuta hii ni platform yangu mpya just for updates kwa yale yanayoendelea Duniani katika PEST & C (Political, Economic, Social, Technological and Cultural arena). Safari nayoanza ni ngumu ila natumai chini ya seniors nitafika pale napotaka. Thanks kwa wale ambao mmeshiriki katika kufanikisha hili. Mungu wa mbinguni awabariki. THE INSIDE let get started with this one👊🏾✍🏾

INAVYOSEMEKANA✍🏾👇🏾“Kwenye haya MAISHA hakikisha una hata mtu ambaye anakuonea HURUMA na KUKUBEMBELEZA  pale hali inapoku...
09/06/2024

INAVYOSEMEKANA✍🏾👇🏾

“Kwenye haya MAISHA hakikisha una hata mtu ambaye anakuonea HURUMA na KUKUBEMBELEZA pale hali inapokuwa hali”😂👊🏾

Hello FAMUjumbe wetu kutoka Audiomack umetufiki sasa. Kipekee kabisa nipende kukushukuru sana kwa kusupport kazi uko Mji...
29/04/2024

Hello FAM

Ujumbe wetu kutoka Audiomack umetufiki sasa. Kipekee kabisa nipende kukushukuru sana kwa kusupport kazi uko Mjini Audiomack. We just hit 10k Total Plays sichukulii poa hii stape nasema ahsante mnoo na endelea kubarikiwa na vigongo mbalimbali vilivyopo Audiomack na vitakavyokuja✊🏾.

For celebrating 10k total plays ni msimu mpya wa screen printing & embroidery kwa brand ya DJ MANYWELE kuanzia 🧢 na 👕 utazipata kwa punguzo la 30% katika zile bei elekezi. Malipo na details za hii offer mwisho wa kupokea ni tarehe 18/05/2024. Karibu sana nipo 24hrs kukusikiliza na kukuhudumia hadi hiyo tarehe.🎧🙏🏾

Bei ya offer hadi tarehe 18/05/2024
Caps awali ni 18k sasa ni 14k
T-shirts (short sleeves awali ni 16k sasa ni 13k, Longsleeve awali ni 22k sasa ni 19k, Hoodies/Pullover awali ni 25k/35k sasa ni 20k/30k)

NB: kumbuka hizi bidhaaa zimedariziwa ngoma ni mkataba huu 💯

Karibu sana ndugu zangu. Mawasiliano ni (+255 719 080 895/+255 744 344 857) wahi sasa✊🏾

DJ MANYWELE
2024

cc:

Happy birthday to my beautiful young sister De Emiroe Thank you for always supporting and loving me! May the almighty Go...
20/04/2024

Happy birthday to my beautiful young sister De Emiroe Thank you for always supporting and loving me! May the almighty God continue to bless your life very abundantly. Your bros loves you so much.❤️🥂

UKIPATA MUDA WA KUFURAHI FURAHIA. TUNAISHI MARA MOJA TU😂💪🏾
29/03/2024

UKIPATA MUDA WA KUFURAHI FURAHIA. TUNAISHI MARA MOJA TU😂💪🏾

Baraka Mpenja anasema✍🏾👇🏾"HAKUNA USHINDI bila Mapambano, hakuna shujaa bila uwepo wa Maadui. Ishi uzomewe, kufa usifiwe"...
25/03/2024

Baraka Mpenja anasema✍🏾👇🏾

"HAKUNA USHINDI bila Mapambano, hakuna shujaa bila uwepo wa Maadui. Ishi uzomewe, kufa usifiwe"💪🏾

Hii ni kwa wote ninao wadai maokoto. Leo hadi kesho ukituma maokoto jina litakuja BONIPHAS ESOMBA ONANA DJ MANYWELE-7😂👋🏾...
09/03/2024

Hii ni kwa wote ninao wadai maokoto. Leo hadi kesho ukituma maokoto jina litakuja BONIPHAS ESOMBA ONANA DJ MANYWELE-7😂👋🏾

TO THE QUARTERS😂Ndio nimezinduka wakuu, nilikuwa nimezimia 6 goals sio mchezo. Yan mtu kakandwa hajafungwa. Ukibisha wew...
02/03/2024

TO THE QUARTERS😂

Ndio nimezinduka wakuu, nilikuwa nimezimia 6 goals sio mchezo. Yan mtu kakandwa hajafungwa. Ukibisha wewe mchawi😎. This is SIMBA brother. Sisi ndio wataalam wa hizi kazi.🦁🇹🇿💪🏾

Inavyosemekana "KUNA MUDA, NI BORA UPWEKE, KULIKO FURAHA YA KUJIPENDEKEZA"🤔😎Lonely at the top🤗💪🏾
28/02/2024

Inavyosemekana "KUNA MUDA, NI BORA UPWEKE, KULIKO FURAHA YA KUJIPENDEKEZA"🤔😎

Lonely at the top🤗💪🏾

Hii team nimeipenda mwenyewe wacha iniue tu😂🏃🏾‍♂️K**a Boss Mohammed Dewji kaingia Forbes subir na mimi jina langu mtalik...
24/01/2024

Hii team nimeipenda mwenyewe wacha iniue tu😂🏃🏾‍♂️

K**a Boss Mohammed Dewji kaingia Forbes subir na mimi jina langu mtalikuta uko. This is SIMBA brother🤓🇹🇿

Ubaya ni kwamba tunaishi katika Dunia ambayo urafiki ukiisha tu. Siri zako zote unazikuta kwa maadui zako💔🤔
20/01/2024

Ubaya ni kwamba tunaishi katika Dunia ambayo urafiki ukiisha tu. Siri zako zote unazikuta kwa maadui zako💔🤔

"Lakini Mimi nimekupenda though, i don't why you treat me like criminal"📻 Sho Madjozi-John CenaRemember nothing is impos...
13/01/2024

"Lakini Mimi nimekupenda though, i don't why you treat me like criminal"📻 Sho Madjozi-John Cena

Remember nothing is impossible, when we work together.💪🏾🇹🇿

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255719080895

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dj Manywele posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dj Manywele:

Videos

Share


Other Dar es Salaam event planning services

Show All