Bongo Music Awards-BMA

Bongo Music Awards-BMA Bongo Music Awards is the Entertainment Award especially in Music Industry that aim to recognize goo

28/02/2024
07/12/2023

Kwa Wadau wote wa Tuzo za Bongo Music Awards (BMA) tunaomba mjiunge kwenye channel yetu ya WhatsApp:

TAARIFA KWA UMMAKUHUSU MATUMIZI YA JINA VISIT BONGO KAMA JINA LA ALBUM MPYA YA MSANII HARMONIZE. Kampuni ya Millennium S...
18/11/2023

TAARIFA KWA UMMA

KUHUSU MATUMIZI YA JINA VISIT BONGO KAMA JINA LA ALBUM MPYA YA MSANII HARMONIZE.

 Kampuni ya Millennium Stars Entertainment ambayo ndiyo inaratibu Tuzo za Music za Bongo Music Awards na pia waasisi wa Wazo na Jina la Vist Bongo tumepokea simu kutoka kwa wadau mbalimbali wakitaka kujua Msimamo wetu kuhusu Matumizi ya Jina “Visit Bongo” kwenye Album Mpya ya Msanii (Harmonize) inayotarajiwa kutoka hivi Karibuni.

Baada ya Tafakuri ya Kina tumeona ni Vema tukaweka wazi kuwa Ubunifu wa Jina hilo ni wa kwetu na tulianza kuutumia Kuanzia Tarehe 1, October, 2022 (Angalia Machapisho ya Instagram ya Ukurasa wa ) wakati tukihamasisha Upigaji kura kwa wasani waliokuwa wakishiriki Tuzo za Bongo Music Awards.

Pamoja na hayo, Tunampongeza msanii Harmonize kwa kuupenda ubunifu huu na kuupa heshima ya Kuutumia k**a Jina la Album yake Mpya. Kampuni ya Millennium Stars haitarajii kuchukua hatua zozote kuhusu jambo hili kwani Kampuni yetu inaamini katika Ustawi wa Sanaa.

Lakini pia tunapenda kuweka wazi kuwa Kampuni ya Millennium Stars Entertainment ndiyo haswa waasisi wa Jina hilo na ina haki ya kutumia jina hilo kuendana na malengo yake ya Uasisi.

Tunawashukuru wadau wetu wote aambao wameendelea kusimama nasi katika harakati za kukuza Sanaa ya Tanzania.  

Josias Charles Isaya - CEO M.S.E Company Ltd 

 Founder Bongo Music Awards. 

tanzania

mwanafa

@

Hongera sana Judge wa Tuzo za Bongo Music Awards Dr.  kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Ta...
06/10/2023

Hongera sana Judge wa Tuzo za Bongo Music Awards Dr. kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Taaluma yako, Mchango wako kwenye Sanaa, na Uzoefu wako ninaamini vinakuja kuleta mapinduzi ya Kweli kwenye Tasnia ya Sanaa Nchini

We wish You Happy New Year 2023.
31/12/2022

We wish You Happy New Year 2023.

Bongo International Music Awards Winners 1st Season
25/12/2022

Bongo International Music Awards Winners 1st Season

Pongezi & Shukrani
24/12/2022

Pongezi & Shukrani

The Wait is almost Over💪💪Event:- Announcing Bongo Music Awards winners.Time:- 19:00pmVenue: Instagram
23/12/2022

The Wait is almost Over💪💪

Event:- Announcing Bongo Music Awards winners.

Time:- 19:00pm

Venue: Instagram

Bongo Music Awards Upates
17/12/2022

Bongo Music Awards Upates

Ahsante Kwa Kushiriki Kupiga Kura.Taarifa zaidi kuhusu Utolewaji wa Tuzo za Bongo Music Awards zitakuijia Kupitia Ukuras...
05/12/2022

Ahsante Kwa Kushiriki Kupiga Kura.

Taarifa zaidi kuhusu Utolewaji wa Tuzo za Bongo Music Awards zitakuijia Kupitia Ukurasa huu huu

Endelea Kupiga Kura Kwa Washiriki wa Bongo Music Awards
16/11/2022

Keep Voting
16/11/2022

Keep Voting

Vote for  - Vitu Vingi - Yeeh@ Fid Q- Shujaa- Blue Print - Future WifeAs Best Song of the Year- Hip Hop
16/11/2022

Vote for
- Vitu Vingi
- Yeeh
@ Fid Q- Shujaa
- Blue Print
- Future Wife

As Best Song of the Year- Hip Hop

Salamu za Pole.🙏🙏
08/11/2022

Salamu za Pole.🙏🙏

Leo tulipata Fursa ya Kutembelewa na Afisa Kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) .tanzania Mr. Mrisho Mtumwa. Pamoja ...
31/10/2022

Leo tulipata Fursa ya Kutembelewa na Afisa Kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) .tanzania Mr. Mrisho Mtumwa. Pamoja na mambo mengine amefikisha Salamu na Pongezi kutoka Kwa Katibu Mtendaji wa BASATA Dr ambaye amekuwa mstari wa Mbele Kuunga Mkono Jitihada za Wakuza Sanaa Mbalimbali Nchini Tanzania.

Pamoja na mambo mengine Mr. Mrisho aliweza kuona Mchakato wa Upigaji Kura Kwa Tuzo za Bongo Music Awards unavyoendelea. Pamoja na mambo mengine Baraza la Sanaa la Taifa limeahidi kuendelea kutoa ushirikiano Mkubwa kuhakikisha Mchakato huu unafanyika Kwa mafanikio makubwa.

Endelea Kupiga Kura Kwa Washiriki wa Bongo Music Awards.Tuzo za Bongo Music Awards zinatolewa Kwa kufuata Kura za Mashab...
31/10/2022

Endelea Kupiga Kura Kwa Washiriki wa Bongo Music Awards.
Tuzo za Bongo Music Awards zinatolewa Kwa kufuata Kura za Mashabiki Kwa 100%.

Bongo Music Awards, Tuzo za Mashabiki💪

Endelea Kupiga Kura Kwa Washiriki wa Tuzo za Bongo Music Awards. Unaweza kupiga Kura Kwa kubofya Link iliyoko kwenye Bio...
30/10/2022

Endelea Kupiga Kura Kwa Washiriki wa Tuzo za Bongo Music Awards. Unaweza kupiga Kura Kwa kubofya Link iliyoko kwenye Bio.

Endelea Kupiga Kura Kwa Washiriki wa Tuzo za Bongo Music Awards Kwa kubofya Link iliyoko kwenye Bio.

Ni Nyerere Day, Lets Vote !!!!!!Mwalimu Nyerere alikuwa mdau mkubwa wa Sanaa hapa Nchini. Tumuenzi leo kwa kuwapigia Kur...
14/10/2022

Ni Nyerere Day, Lets Vote !!!!!!
Mwalimu Nyerere alikuwa mdau mkubwa wa Sanaa hapa Nchini. Tumuenzi leo kwa kuwapigia Kura washiriki wa Tuzo za Bongo Music Awards. K**a Kuna Category ulisahau kuzipigia Kura, basi Login kwenye Account yako, kisha Bofya Vote ili uweze kupiga Kura kwenye Category zilizobakia. Pia k**a umepiga kura kwa Category zote, watumie Ndugu, jamaa na marafiki Link https://bongomusicaward.co.tz/
Wajisajili na kuwapigia Kura wasanii wanaoamini wana Stahili kupata Tuzo kwa mwaka huu. K**a unapata changamoto yoyote ku Login tafadhali wasiliana nasi kwa Whatsapp _255766935721.

Bongo Music Awards, Tunakipa Thamani Kipaji chako.

Mchakato wa Upigaji Kura kwa Tuzo za Bongo Music Awards umefunguliwa rasmi leo Tarehe 21/09/2022 hadi Tarehe 25/11/2022. Jinsi ya Kupiga Kura k**a tayari una Account ya Bongo Music Awards: ✅Login kwenye Account yako (Ingiza Username na Password) ✅Bofya Vote ✅ Bofya Vote kupiga kura kwa mtu / W...

Zoezi la Kupiga Kura linaendelea Kwa Washiriki wa Tuzo za Bongo Music Awards. Unaweza kumpigia Kura  Kwa kubofya Link kw...
12/10/2022

Zoezi la Kupiga Kura linaendelea Kwa Washiriki wa Tuzo za Bongo Music Awards. Unaweza kumpigia Kura Kwa kubofya Link kwenye Bio, Kujisajili Kisha kupiga Kura

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255766935721

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Music Awards-BMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bongo Music Awards-BMA:

Videos

Share

Category

Other Event Planners in Dar es Salaam

Show All