The Flower Bar

The Flower Bar we provide creative solutions to all your floral need. fresh flowers, artificial flowers n pot plant

Love is in the air, and we’re here to make it bloom! ❤️🌹 This Valentine’s Day, we celebrate love in all its beautiful fo...
14/02/2025

Love is in the air, and we’re here to make it bloom! ❤️🌹 This Valentine’s Day, we celebrate love in all its beautiful forms romantic love, self-love, and the love we share with friends and family.

Whether you’re surprising that special someone, treating yourself to a little floral magic, or sharing the love with your closest people, let Flower Bar add a touch of beauty to your day!

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

✅️Don’t wait! Make this Valentine’s Day one to remember

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

Maua ni lugha ya upendo! Maua Yanasaidia kueleza hisia bila maneno, kuleta furaha, na kuongeza urembo wa siku ya Valenti...
13/02/2025

Maua ni lugha ya upendo! Maua Yanasaidia kueleza hisia bila maneno, kuleta furaha, na kuongeza urembo wa siku ya Valentine.

Harufu Maua yake huleta utulivu na kumbukumbu tamu zisizosahaulika. Je Utampa mpendwa wako maua gani mwaka huu? 💐✨

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

✅️Don’t wait! Make this Valentine’s Day one to remember

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

⏳ Siku Mbili Zimebaki! ❤️Valentine’s Day ni siku maalum ya kusherehekea upendo na mahaba kila mwaka tarehe 14 Februari. ...
12/02/2025

⏳ Siku Mbili Zimebaki! ❤️

Valentine’s Day ni siku maalum ya kusherehekea upendo na mahaba kila mwaka tarehe 14 Februari. Asili yake inahusiana na hadithi za Mtakatifu Valentine, aliyefahamika k**a balozi wa upendo. 💌✨

Katika siku hii, watu huonyesha upendo wao kwa kutoa zawadi za kipekee, maua mazuri, na kadi za mapenzi kwa wapendwa wao, kuonesha thamani yao katika maisha yao. ❤️

Usiache siku hii ipite bila kueleza hisia zako! 💐💕

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

✅️Don’t wait! Make this Valentine’s Day one to remember

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

Zimebaki siku Tatu za kumuonesha upendo Huba, Mpenzi, Swahiba, Kichuna au waweza muita Ini mkalia nyongo😊.Bado hujachele...
11/02/2025

Zimebaki siku Tatu za kumuonesha upendo Huba, Mpenzi, Swahiba, Kichuna au waweza muita Ini mkalia nyongo😊.

Bado hujachelewa kuweka oda ya maua kwa ajili ya mpendwa wako! Msimu huu wa Valentine, tumejiandaa kikamilifu kukuhudumia.

Tembelea The Flower Bar katika matawi yetu:
Kiembe Samaki (Zanzibar) na Bahari Beach (Dar es Salaam). Karibu upate maua yanayosema nakupenda kwa njia ya kipekee!

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

✅️Don’t wait! Make this Valentine’s Day one to remember

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

Love deserves to be celebrated in the most special way! Surprise your soulmate with the perfect combo—stunning fresh flo...
10/02/2025

Love deserves to be celebrated in the most special way! Surprise your soulmate with the perfect combo—stunning fresh flowers and a heartfelt gift that speaks volumes. 🌹🎁

Whether it’s a romantic dinner, a sweet gesture, or just a moment to cherish each other, The Flower Bar is here to add that extra touch of magic. Let’s make this celebration one to remember!

💌 Weka oda sasa ili Feb 14 iwe ya kipekee zaidi!

Call/WhatsApp:
☎️+255 758 728 728| +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 695 857 015/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

4 DAYS TO VALENTINE’S! JE, UMEJIANDAA? 💘Usimwache mpenzi wako apitie siku hii bila zawadi ya kipekee! 🎁 Maua yanaeleza h...
10/02/2025

4 DAYS TO VALENTINE’S! JE, UMEJIANDAA? 💘

Usimwache mpenzi wako apitie siku hii bila zawadi ya kipekee! 🎁 Maua yanaeleza hisia ambazo maneno hayawezi—upendo wa dhati, shukrani, na mapenzi yasiyo na kikomo. 🌹✨

😏 Usipopeleka maua… Usiulize kwanini status zake zina quotes za 'love yourself first' na ‘men are disappointing’ 😂💔

⏳ Dakika za mwisho sio mpango! Weka oda yako sasa!

Call/WhatsApp:
☎️+255 758 728 728| +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 695 857 015/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

Sip, Savor, and Celebrate Love! 🍷🌹Introducing The Love Affair Set – a gift that speaks the language of love in the most ...
09/02/2025

Sip, Savor, and Celebrate Love! 🍷🌹

Introducing The Love Affair Set – a gift that speaks the language of love in the most enchanting way! ❤️

🍷 Exquisite Wine – Raise a glass to your love story
🍫 Decadent Chocolate – Indulge in sweet moments together
🌹 Luxurious Fresh Flowers – Say "I love you" without a single word
🎈 Romantic Valentine Balloons – Because love should be celebrated in style

💌 Weka oda sasa ili Feb 14 iwe ya kipekee zaidi!

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

Ni Siku Tano zimebaki kufika siku ya Valentine, Je kuna zawadi gani ungependa kumpatia mpenzi wako ?📌Flower Bar tupo sam...
09/02/2025

Ni Siku Tano zimebaki kufika siku ya Valentine, Je kuna zawadi gani ungependa kumpatia mpenzi wako ?

📌Flower Bar tupo sambamba nawe katika kukamilisha jukumu lako la kuandaa zawadi kwa Mpenzi wako.

💌 Weka oda sasa ili Feb 14 iwe ya kipekee zaidi!

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

Looking for the perfect way to spoil your loved one? DRUNK IN LOVE is the ultimate romantic surprise, combining luxury, ...
08/02/2025

Looking for the perfect way to spoil your loved one? DRUNK IN LOVE is the ultimate romantic surprise, combining luxury, elegance, and heartfelt emotions in one package!

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

✅️Don’t wait! Make this Valentine’s Day one to remember

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

6 Days to Go! Love Knows No Distance.No matter where you are, let your love be felt with a stunning floral surprise from...
08/02/2025

6 Days to Go! Love Knows No Distance.

No matter where you are, let your love be felt with a stunning floral surprise from The Flower Bar. Show them they’re always close to your heart.

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

Go Big on Love! 💘This Valentine’s, take romance to new heights with Love Elevation—a breathtaking combo of 3 heart-shape...
07/02/2025

Go Big on Love! 💘

This Valentine’s, take romance to new heights with Love Elevation—a breathtaking combo of 3 heart-shaped balloons and a grand, luxurious bouquet of red roses 🎈🌹

📌Because love isn’t ordinary—so why should your gift be? Spark emotions, leave a lasting impression, and make this Valentine’s one to remember!

💌 Weka oda sasa ili Feb 14 iwe ya kipekee zaidi!

Call/WhatsApp:
☎️+255 758 728 728| +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 695 857 015/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

🌹 7 Days to Valentine’s! ❤️ Zawadi sahihi kwa mpendwa wako? Maua! Na tupo tayari kuhakikisha yanawafikia kwa wakati! 💌 W...
07/02/2025

🌹 7 Days to Valentine’s! ❤️ Zawadi sahihi kwa mpendwa wako? Maua! Na tupo tayari kuhakikisha yanawafikia kwa wakati!

💌 Weka oda sasa ili Feb 14 iwe ya kipekee zaidi!

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

Make this Valentine's Day unforgettable with The Love Nest. This beautiful arrangement of fresh red roses, paired with d...
06/02/2025

Make this Valentine's Day unforgettable with The Love Nest. This beautiful arrangement of fresh red roses, paired with delightful treats, is nestled in a heart-shaped holder.

📌To top it off, the package includes a scented candle, creating the perfect romantic atmosphere

✅️Show your love in the most thoughtful way and make this Valentine’s Day extra special! 💖✨

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit us at Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Place order online: www.theflowerbartz.com

🚨 ALERT: 08 Days to Go! 08 Zimebaki! ❤️ Tunakaribia siku ya kuonesha upendo wa dhati kwa wale tunaowapenda. The Flower B...
06/02/2025

🚨 ALERT: 08 Days to Go!
08 Zimebaki! ❤️ Tunakaribia siku ya kuonesha upendo wa dhati kwa wale tunaowapenda.

The Flower Bar tupo tayari kuhakikisha unamfurahisha mpendwa wako kwa zawadi yenye maana. 🌹

Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 758 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Tembelea: Bahari Beach, Oryx Petrol Station

🌐 Nunua mtandaoni: www.theflowerbartz.com

Siku 9 za kusubiri, sekunde chache za kuweka oda! Je, umeshaandaa zawadi ya mpenzi wako? 🌹✨ Box ya waridi nyekundu yenye...
05/02/2025

Siku 9 za kusubiri, sekunde chache za kuweka oda!
Je, umeshaandaa zawadi ya mpenzi wako? 🌹✨ Box ya waridi nyekundu yenye ‘I LOVE YOU’ ni njia ya kipekee kusema unampenda bila kusema neno lolote! 😍

⏳ HII NI DAKIKA ZA MWISHO! Ofa ya 10% INAKWISHA LEO 5TH! Usikose nafasi hii ya kupata punguzo la kipekee kwa zawadi inayosema Ninakupenda milele! ❤️🌹

BONUS:
The first 20 orders include a free handwritten love note card!

📍 Visit us: Bahari Beach, Oryx Petrol Station

💐 Weka oda online sasa: www.theflowerbartz.com

📲 Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 758 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

FlowerDelivery

⏳ SIKU 9 ZIMEBAKI tu kufika kwa Sikukuu ya Wapenda Nao—Valentine Day, Februari 14! 🌹💖 Hii ni siku ya kipekee, na Flower ...
05/02/2025

⏳ SIKU 9 ZIMEBAKI tu kufika kwa Sikukuu ya Wapenda Nao—Valentine Day, Februari 14! 🌹💖

Hii ni siku ya kipekee, na Flower Bar tumejipanga kufanya uwepo wa mapenzi yako udumu milele kwa maua ya kipekee!

📞 Piga simu, tuma WhatsApp, au weka oda kupitia Instagram —na ndani ya muda mfupi, zawadi yako itafika!

✨ LIMITED TIME OFFER: Pata 10% DISCOUNT unapoweka oda sasa! ✨

BONUS:
The first 20 orders include a free handwritten love note card!

📍 Visit us: Bahari Beach, Oryx Petrol Station

💐 Weka oda online sasa: www.theflowerbartz.com

📲 Call/WhatsApp:
☎️+255 710 621 621 | +255 758 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

FlowerDelivery

A Gift of Love, Faith & Protection! 💙✨This Valentine’s, express your love with a gift that carries meaning. Our Faithful...
04/02/2025

A Gift of Love, Faith & Protection! 💙✨

This Valentine’s, express your love with a gift that carries meaning. Our Faithful Love Box is more than just a present—it’s a symbol of devotion. 💝

Inside, you’ll find:
🔵 Evil Eye Bracelet – Wishing your love protection & positive vibes.

📖 Read Me Faithful Gift – A heartfelt reminder of your faith in love.

🌹 A Stem of Rose – Because love deserves to bloom beautifully.

📌10% OFF pre-orders before 5th February!

BONUS:
The first 20 orders include a free handwritten love note card!

Call/Whatsapp to pre-order:
☎️+255 758 728 728 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit: Bahari Beach, Oryx Petrol Station

👉Visit www.theflowerbartz.com to explore our stunning Valentine’s arrangements.

❤️

Mawasiliano mazuri huleta ukaribu, lakini maua huweka alama ya upendo isiyofutika.Maua ni njia bora ya kusema "nakupenda...
04/02/2025

Mawasiliano mazuri huleta ukaribu, lakini maua huweka alama ya upendo isiyofutika.

Maua ni njia bora ya kusema "nakupenda" na kutunza uhusiano. Ni zawadi yenye nguvu ya kuonyesha hisia zako na kuleta furaha. 💐

📌10% OFF pre-orders before 5th February!

BONUS:
The first 20 orders include a free handwritten love note card!

Call/Whatsapp to pre-order:
☎️+255 758 728 728 | +255 658 728 728 Dar es salaam
☎️+255 777 751 624/+255 777 751 757 Kiembe samaki Zanzibar

📍 Visit: Bahari Beach, Oryx Petrol Station

👉Visit www.theflowerbartz.com to explore our stunning Valentine’s arrangements.

Address

Bahari Beach
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00
Sunday 09:00 - 19:00

Telephone

+255658728728

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Flower Bar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to The Flower Bar:

Videos

Share

Category