Officialteam Alikiba

Officialteam Alikiba UKURASA HUU NI KWAAJILI YA KUTOA SUPPORT KWA ALIKIBA NA LABER YAKE NA AFRIKA KIUJUMLA

20/06/2018

Maombi Ya Dhat Yanahitajika Kwaajili Ya Ommydimpoz

20/06/2018

Tuambie Hawa Ni Akina Nani???

20/06/2018

Leo Ni Mfanano Wa Tarehe Na Mwezi Aliozaliwa Mtoto Wa Alikiba Anaitwa Sameer Kiba Au Unaweza Muita Prince Sameer...Tusaidiane Kumtakia Kheri Kwenye Siku Yake Hii Muhimu

17/06/2018

Kwa habari nilizozipata kutoka chini ya uongozi wa Rockstarafrica kinywaji chetu pendwa kilitakiwa kuzinduliwa rasmi pamoja na kuuzwa moja kwa moja siku ya Eid el fitri.
Lakini kutokana na msanii wetu, mpendwa wetu Ommydimpoz kua mahutut hospitalini SA kwa Madiba kwa muda wa siku 15 kumesababisha kukosekana kwa tukio hilo la kihistoria kwa team kusherekea kwa kula Eid na Mofaya.
Kilichotokea ni kwamba Ommydimpoz alikua mahututi kwa muda wa siku 15 hivyo uongozi wa akiwemo meneja wetu Sevenmosha walikua bize hospital kuhakikisha Ommy Dimpoz anapona na anarud katika hali yake ya kawaida na kuendelea na majukumu yake ya kazi.
Isingependeza wakati mwenzetu anaumwa SA huku Kiba afanye uzinduz wa Mofaya kiukwel angeonekana mchawi👌
Ommydimpoz ni msanii wetu, yuko chini ya lebo yetu, na yy pia ni team kiba mwenzetu. Kwahy management imeona bola wanalize swala.la Ommydimpoz mana Op yake ni kubwa kidogo then itaendelea na ratiba zingine.
Team Kiba wenzangu tunachotakiwa kwa sasa ni kumshukuru mungu kwani afya ya Ommydimpoz inaendelea kuimarika. Kisha hivi karibuni tutasherekea tukiwa na Ommydimpoz wetu na tutakunywa Mofaya.
Tukumbuke tu wakati sisi tunapanga hili. Mungu nae anatupangia lake. Tunachotakiwa ni kumshurur mungu Kwa kumuwezesha mwenzetu kurud katika hali yake.
Itapangwa siku ambayo tutafurah kwa pamoja tukiwa na boss wetu, na tutagonga mvinyo wa Mofaya na kusherekea. Na Alikiba ndie atakaetuuzia siku hiyo. Kwa selfie zitahusika. Tupunguze munkar, yaliopita c ndwele tugange yajayo
Nawasilisha kwenu Team Kiba🙏

08/06/2018

Wadau Wetu Wa Nguvu Kesho Ndio Ile Terehe Ya Siku Ya Mpambano Wa Kupasua Kichwa...Sasa Tiketi Zinapatikana Kwa Mawakala Woote Wa Na Kwa Bei Nafuu Sana Yaani VIP Tsh.3,000 Na Kawaida Ni Tsh.2,000 Sasa Unakosaje???Hebu Mwambie Na Mwenzio Kesho TUMFUATE KIBA

SHARE SHARE SHARE SHARE SHARE SHARE

07/06/2018

Maneno Ya Alikiba Baada Ya Msiba Wa

07/06/2018

R.I.P SAM WA UKWELI 😥😥😥

06/06/2018

Unapenda Kinywaji Cha Alikiba Kiunzwe Bei Gani???Toa Maoni Yako Hapa

LIKE COMMENT SHARE

05/06/2018

Je Unaweza Tuambia Alikiba Alioa Tarehe Ngapi Na Mwezi Wa Ngapi???

LIKE COMMENT SHARE

05/06/2018

Habari Za Asubuhi

04/06/2018

9/6/2018 Uwanja Wa Taifa.Tshirt & Jezi Zipo Tayari Vaa Upendeze Kwa Bei Poa.. Toa Oda Yako Sasa. Number: 0674843200 & 0692727136 & 0656034107. Instagram FACEBOOK .....

29/05/2018

Haya sasa bado kikosi hakijakamilika

25/05/2018

Dancer Aliewahi Kucheza Kwenye Video za Wasanii Ally Kiba, Matonya, Timbulo Na Wengine Amefariki Dunia Jana Saa Mbili Ucku Akiwa Kwenye Matibabu Hospitali, Msiba Upo Nyumbani Kwao Tandale, Baba Yake Mzazi anawashkuru Watanzania wote waliojitolea Kwa Hali Na Mali Kuchangia Ktk Matibabu Yake, Pamoja na Wasanii Wote Waliomchangia K**a Msami Matonya Timbulo Ally Kiba na wengine
familia pia inawaomba nyote msichoke mjitoe kwa hali na mali kuchangia Safari ya mwisho ya Marehem, Mwili utapumzishwa kesho Chalinze
Namba Ya Baba Kwa ajili ya Kupata Updates za Msiba na Kuchangia Tigo Pesa Ni 065 542 2099‬
Rip Imma -

22/05/2018

Je Unaweza Kuandikia Maneno Picha Hii???Hilo Tabasamu Lina Maana Kubwa Lakini Pia Ni Fumbo Kubwa Sana,,,Hii Ni Team Makini Ni Team Ambayo Alikiba Anaipenda Sana Na Hii Team Ndio Itafanikisha Mambo Mengi Hapo Baadae...Sasa Tuendelee Ku-View Link Hii Hapa👉👉https://youtu.be/4bsckGGbGs0

22/05/2018

Ipi Kwa Upande Wako Inakubamba???

LIKE COMMENT SHARE

21/05/2018

Jana Kupitia Ukurasa Huu Tulipost Jambo Linalomhusu Kijana Anae Tafuta Mke Kupitia Mitandao Ya Kijamii...Lengo Kuu Nikutaka Kuona Tunauwezo Gani Kwenye Kupokea Jambo Na Kulitenda Jambo!!!Ila Tuu Inaonekana Bado Hatupo Vizuri Kwenye Kupokea Na Kulitenda Jambo Husika Na Ndio Maana Mmeahindwa Kuipa Support...Naomba Kujuwa Kwanini Mmeshindwa Kumpa Support Alikiba????

LIKE COMMENT SHARE

20/05/2018

Leo Ukurasa Wetu Unakijana Wa Umri Wa Miaka 27 Kijana Huyu Anamaisha Ya Wastani,,,Kipato Chake Cha Siku Ni Wastani Wa Elfu 10 Na Mwezi Ni Wastani Wa Laki 350...Kupitia Ukurasa Huu Anatafuta Mwanamke Wa Kumuoa Na Dini Awe Mkristo Na Umri ChinibYa Miaka 25 Awe Mwenye Tabia Njema Na Pia Mwenye Akili Ya Kimaisha...Ikiwa Umeona Unafaa Njoo Inbox Na Utaungwanishwa Nae.HII NI UKWELI SI UTANI

LIKE COMMENT SHARE

20/05/2018

Je Unaweza Kuhisi Ni Msanii Gani Ambaye Alikiba Hawezi Kushirikiana Nae Kwenye Mziki???

LIKE COMMENT SHARE

19/05/2018

AMEN 🙏🙏🙏

LIKE COMMENT SHARE

19/05/2018

TABASAMU MWANANA

LIKE COMMENT SHARE

14/05/2018

Leo Alikiba Kapewa Tuzo Ya Pale Timesfm Na Mtangazaji Wa Kipindi Cha Anaitwa ...Comment Neno HONGERA KINGKIBA Hapo Chini Kisha Share Na Washkaji..

14/05/2018

KUTOKA INSTAGRAM ACCOUNT


• • •
I LoVe ThIs GuY Ni Hit Song Kubwa Na Yenye Mahadhi Haswaa Ya Kiafrika K**a Ilivyo ...Ukitaka Kufananisha Nyimbo Basi Inapaswa Pia Ujuwe Unafananisha Nyimbo Je Zinafaa Kufananishwa🤔Maana Isije Ukawa Unafananisha Na Utachekwa😂...Music Ni Melody,Mashahili,Mkito Na Msanii Mwenyewe (Navyo Jua Mimi)...Mahadhi Ya Ni K**a Sebene Flani (Mziki Kutoka Congo) Na Sio Kuwa Ni Mara Ya Kwanza Kwa Kutoa Nyimbo Za Miondoka Hii Na First Aliweka Wazi Wimbo Umetoka Kwaajili Ya Kukitangaza Kinywaji Chake Ambacho Ni Na Target🎯 Kubwa Ni Soko La East Africa Na Kweli Imewezekana Tena Imevuka Mipaka...Maajabu Makubwa Ni Huko Ambapo Wimbo Ulionekana Kufanya Vizuri Na Kwa Mda Mfupi Ukawa Na Baadhi Ya Nchi (Siwezi Kuziorodhesha Zote) Ila Baadae Ikawa Freeze Kwa Takribani Masaa Karibuni 8 Au 10 Kwa Makadilio Yangu...Hii Inaonesha Ni Kiasi Gani Watu Walikuwa na Kiu Na Bidhaa Kutoka Kwa Na Ndio Maana Views Walikuwa Wanakimbia K**a Wamekunywa 😂😂😂...Mimi Ni Shabiki Wa Ila Siwezi Kusema Siskilizi Nyimbo Zingine Hapana Naskiliza Nyimbo Za Wasanii Wote Tanzania Ila Nilivutiwa Na Zaidi Ya Woote Na Daima Napendaga Mziki Mzuri Sio Muumini Wa Uongo



🔔

14/05/2018

Usikose Interview Hii Mdau

LIKE COMMENT SHARE

14/05/2018

Kitu Gani Kimekuvutia Kwenye Wimbo Huu Mpya ??? K**a Bado Hauja Utazama Ingia Kwenye Hii Link👉👉👉
https://youtu.be/4bsckGGbGs0

SHARE KWA WATU 100 NA UJISHINDIE TSH 10,000

11/05/2018

Je Tayari Umeuskiliza Au Kuangalia Wimbo Mpya Wa Alikiba???Wimbo Unaitwa Na Tayari Video Ipo You Tube📺....Ingia Hapa Kuutazama👉👉👉https://youtu.be/4bsckGGbGs0

LIKE COMMENT & SHARE NA WASHAJI WAKO WAIPATE HII LINK

11/05/2018
Alikiba - Mvumo Wa Radi (Official Video)

New Song From Alikiba Ipo Tayari Ingia Kwenye Hiyo Link Kuitazama

RockstarAfrica and RCA Records proudly presents Mvumo Wa Radi. This is KingKiba's song to introduce his first product "Mofaya Energy Drink" which will be in ...

11/05/2018

Kweli leo Sikukuu proud to be Rockstar team mwanakulitaka mwanakulipewa 😃 hicho kichupa sasa 😭😭🔥🔥🔥 Exclusiveeee on XXL

09/05/2018

Mchizi Kutoka Kariakoo Alikiba,,,Ana Majina Mengi Sana Je Na Wewe Unampa Jina Gani???

LIKE COMMENT SHARE

08/05/2018

Umemtambua Huyu Ni Nani??? Nimetoa Fulsa Nyingi Ila Bado Hamja Zichangamkia Juzi Watu 20 Walipata Elfu 5000 Kila Mtu...Sasa Leo Naotoa Elfu 10,000 Kwa Watu 20...KIGEZO Ni Watu Hawa 20 Wa Share Hii Picha Na Ukurasa Mara 20 Kila Mmoja....Yaani Picha Una Share Mara 20 Na Ukurasa Una Share Mara 20 Bila Kusahau Kujibu Swali Kuwa Huyu Kwenye Picha Ni Nani!!!

NIPO ACTIVE KWA WENYE MASWALI WEKA HAPA NA SIO INBOX

08/05/2018

Huu Ndio Wimbo Mpya Wa Ommydimpoz Furahia Mziki Mzuri Kutoka Kwake...Lakini Pia Hivi Karibuni Alikiba Atatoa Wimbo Mpya Endapo Tuu Huu Utafikisha Views Milion Tatu...Ili Kuutazama Vema Ingia Kwenye Hii Link https://youtu.be/XoWa-k3fhlA

UKISHARE HII POST MARA 50 NJOO INBOX UWEKE NAMBA YAKO NAKUTUMIA TSH 5,000 SASAHIVI...OFA HII INAISHA LEO SAA MBILI USIKU

07/05/2018

Jana Mtu Alijishindia Tsh.5000,,,Leo Ninatoa Tsh.10,000...Hii Picha Ikifikisha Like Elfu 1,000 Comments Elfu 1,000 Na Share Elfu 1,000 Nitawaambia Vigezo Vya Kuipata Tsh.10,000 K**a Ilivyo Kawaida Nitakuwa Active Kujibu Text Zenu Na Ili Kukufanya Ujishindie Leo.

LIKE COMMENTS SHARE

07/05/2018

Mofaya beverage supplier Ndio Kinywaji Halisi Cha Mwafrika Na Kinatengenezwa Na Waafrika....K**a Unataka Kujaribu Kukitumia Jaribu Ila Ninaimani Utakipenda Na Kuendelea Kukutumia Siku Zote,,,Najuwa Unajiululiza Kwanini Na Sio Vile Vingine!!!Jibu Ni Kuwa Hivi Vina Radha,Ubora Na Ujazo Tofaut Na Tulivyo Vizoea Wewe Fanya Kugusa Ili Unase.

06/05/2018

Umemtambua Nani Katika Picha Hii,,,Na K**a Umemtambu Kavaaje??Atakae Pata Now Nampa Vocha Ya Elfu 5000 Na Uki Like Hakikisha Una Share Hii Post Mara 10 Ndio Utaipata Elfu Tano Yako...NIPO ONLINE NOW NITAJIBU COMMENTS ZENU

06/05/2018

Wimbo Wa Ommydimpoz Unahitaji Views Milion 3 Ila Alikiba Nae Atoe Wimbo Wake So Ukiwa Kwenye Group Fanya Kile Group Linataka Na Sio Wewe Utakavyo

LIKE COMMENT SHARE

05/05/2018

KingKiba Alikiba Alipokuwa Akitumbuiza Usiku Wa Jana Kenya

05/05/2018

Alikiba Mofayaaaa

02/05/2018
Ommy Dimpoz featuring Seyi Shay - Yanje (Official Music Video)

Ingia Now Hapa 👇👇👇Kuutazama Wimbo Moya Wa Ommydimpoz,,,,Ikubukwe Alikiba Kasema Wimbo Ukifika Views Milioni Tatu Na Yeye Anatoa Wa Kwake

‘Yanje’ is a sensational ballad by Ommy Dimpoz's featuring Nigeria sensational Seyi Shay. This is Ommy Dimpoz second official release under his worldwide rec...

01/05/2018

Umemtambua Huyu Ni Nani??? Weka Comment Yako Hapa K**a Umemtambua..

Address

Ukonga
Dar Es Salaam
+255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Officialteam Alikiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Nearby event planning services


Other Performance & Event Venues in Dar es Salaam

Show All

You may also like