EXP Tanzania

EXP Tanzania We are a result driven strategic brand experience agency that engages consumers through creative and innovative LIVE+ Experiential Campaigns.

Tunawatakia kheri ya Christmas na Mwaka mpya. Tupo Moshi na Arusha kuhakikisha msimu huu wa sikukuu kila mtu anapata zaw...
12/12/2024

Tunawatakia kheri ya Christmas na Mwaka mpya. Tupo Moshi na Arusha kuhakikisha msimu huu wa sikukuu kila mtu anapata zawadi kutoka Coca-Cola.

Na Host wa Show yetu ni Muller na Diko by Monalisa.
19/11/2024

Na Host wa Show yetu ni Muller na Diko by Monalisa.

Ni Juma mosi ya wiki hii tarehe 23/11/2024 pale ST Laurent Kawe. Ni kula, kunywa na kucheka. Coca-Cola Food Festival..  ...
19/11/2024

Ni Juma mosi ya wiki hii tarehe 23/11/2024 pale ST Laurent Kawe. Ni kula, kunywa na kucheka. Coca-Cola Food Festival.. 🔥🔥

Exp Agency Latest Blog Post: Captivating Event MarketingIn the dynamic world of event marketing, the adage “seeing is be...
15/10/2024

Exp Agency Latest Blog Post: Captivating Event Marketing

In the dynamic world of event marketing, the adage “seeing is believing” has never been more relevant.

While themes are essential to driving events, they can sometimes fall flat, like uninspired branding.

Read More -

In the dynamic world of event marketing, the adage “seeing is believing” has never been more relevant. While themes are essential to driving events, they can sometimes fall flat, like uninspired branding.To truly captivate your audience, it’s crucial to understand the desired experience, the b...

Coke food fest ni Mwendo wa kula na kunywa Coca-Cola baridiiiii kabisa. Jana Mambo yalikuwa 🔥 Mbagala Zakhem.
07/10/2024

Coke food fest ni Mwendo wa kula na kunywa Coca-Cola baridiiiii kabisa. Jana Mambo yalikuwa 🔥 Mbagala Zakhem.

Tunawatafuta wataalamu wa mapishi Kinondoni! Unamfahamu mtaalam? Mtaje mpishi hodari unayemjua na tuambie ni chakula cha...
26/09/2024

Tunawatafuta wataalamu wa mapishi Kinondoni! Unamfahamu mtaalam? Mtaje mpishi hodari unayemjua na tuambie ni chakula chake gani kinakuvutia zaidi. Kumbuka, Jumamosi hii tarehe 28 Septemba, ladha zote za mjini zitakusanyika pale Mwananyamala uwanja wa CCM Mwinjuma.Karibu ujumuike na marafiki kufurahia muziki na misosi bure.



Rationale: Engagement

EXP Tanzania kicked off the 2024 Coca-Cola Food Fest, consisting of daily activations that lead to a mini festival at th...
23/09/2024

EXP Tanzania kicked off the 2024 Coca-Cola Food Fest, consisting of daily activations that lead to a mini festival at the end of each week, of the campaign. Running for a period of 5 weeks, we engage food vendors with cooking competitions on our Branded Coca-Cola Tuk-Tuk, where the Audience then taste and judge the food, while also being sampled with Coca-Cola - the recipe for magic, as you enjoy your favourite food while sipping a refreshing Coca-Cola. The winner from each daily activation goes through to the mini festival on Saturday, where they again compete to find a winner who will represent his/her region during the final Food Fest that will take place in November.

10/09/2024

EXP Tanzania officially launched Coca-Cola Food Fest on behalf of Coca-Cola Tanzania. In partnership with the media team from Clouds media,we hosted a memorable event at Seacliff Hotel, Dar es Salaam that celebrated delicious food, refreshing drinks, and unforgettable performances. The invited guests enjoyed mouthwatering dishes from the food vendors present with all the Tanzanian food varieties as well as the international dishes. We also had our Coke song performed live for the first time and other different entertainment like Saxophone, band and live DJ.

Get The Experience Blog: Which Generation Corporate Sponsor Are You?
27/06/2024

Get The Experience Blog: Which Generation Corporate Sponsor Are You?

Which Generation Corporate Sponsor Are You?

VUNA USHINDE NA BALIMI LAGER! 🍻Nunua Baketi ya Baridi ya Balimi Extra Lager, kila chupa ikiwa imejaa msisimko na nafasi ...
11/06/2024

VUNA USHINDE NA BALIMI LAGER! 🍻

Nunua Baketi ya Baridi ya Balimi Extra Lager, kila chupa ikiwa imejaa msisimko na nafasi ya kushinda zawadi za kushangaza!

🔍 Jinsi ya Kucheza:
1. Nunua (Baketi) ya Balimi Extra Lager yenye ujazo wa 375ml.
2. Fungua kifuniko cha chupa na utakuta namba chini ya kizibo.
3. Tuma nambari hizi kwa 15590 kupitia SMS kwa nafasi ya kushinda zawadi za papo hapo!
4. Pia, unaweza kuingia kwenye droo ya kushinda zawadi ya GUTA (PIKIPIKI YA MIZIGO YENYE MIGUU MITATU)🏍💨

Promosheni Hii ni Maalum kwa Wakazi wa Kanda ya Ziwa!

Usikose nafasi ya kushinda zawadi kubwa na Balimi Extra Lager - kinywaji kinachoadhimisha mavuno na kuleta furaha na zawadi moja kwa moja kwa mlango wako.

Tembelea promosheni za Balimi Extra Lager katika Bar ilio karibu na wewe na ushiriki katika michezo ya kufurahisha ya mavuno yako pia.!

12/03/2024

Video summary of Exp Tanzania's Fanta Snacking Activation - a colourful burst of snacking fun!

Exp Tanzania launched the fun, engaging and colourful 2024 Fanta Snack experience, this past Friday.Students are sampled...
04/03/2024

Exp Tanzania launched the fun, engaging and colourful 2024 Fanta Snack experience, this past Friday.
Students are sampled with Fanta Fruit Blast and Simba Snacks, and sales are done by motivating students to buy Fanta to personally experience the Fanta Truck with our Fanta Influencers.

Address

Chwaku Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:30
Tuesday 08:30 - 16:30
Wednesday 08:30 - 16:30
Thursday 08:30 - 16:30
Friday 08:30 - 16:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EXP Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EXP Tanzania:

Videos

Share