Joex Events

Joex Events Event Planning
Events Management
Protocols
Liaisons
Ushers

Kuandaaa semina, washa ama mkutano inahitaji uelewa mkubwa sana, kwani inatakiwa iandaliwe ka kufuata kanuni za uandaaji...
03/05/2024

Kuandaaa semina, washa ama mkutano inahitaji uelewa mkubwa sana, kwani inatakiwa iandaliwe ka kufuata kanuni za uandaaji wa mikutano duniani.

Je una tukio lako lolote na unahitaji liweze kuandaliwa na kusimamiwa na sisi?

Fika ofsni kwetu na tuweze kuzugumza na kupanga utaratibu mzima

+255 (0) 719 263 074

Karibu sana kwa ajili ya kuandaliwa, kupangiwa na kusimamiwa tukio lako, tunawafanyakazi bora sana wa ngazi ya Itifaki w...
03/05/2024

Karibu sana kwa ajili ya kuandaliwa, kupangiwa na kusimamiwa tukio lako, tunawafanyakazi bora sana wa ngazi ya Itifaki wanaofanya kazi kwa ubora uliotukuka sana

Tupigie sasa +255 (0) 719 263 074

Hatua za kufuata unapopanga tukio lako Ili liweze kufanikiwa unatakiwa kwa ufupi japo sio kwa umuhimu ufuate hatua ziliz...
23/04/2024

Hatua za kufuata unapopanga tukio lako Ili liweze kufanikiwa unatakiwa kwa ufupi japo sio kwa umuhimu ufuate hatua zilizoorodheshwa hapo juu

K**a unatukio lolote (Event) iwe semina, mikutano, Washa, Matamasha mbali mbali, Harusi, birthday, sendoff ama kicheni party na unatafuta kampuni bora kabisa yenye uwezo wa kuandaa, kuratibu na kusimamia kwa ueledi wa hali ya juu, basi usisite kutufikia ili tuweze kufanya tukio lako liwe la kipekee sana

Kwani Joex Events Planning & Management Ltd tunao watu mashuhuri na wabobezi katika kuandaa matukio mbali mbali ya kitaifa na kimataifa kwa gharama nafuu sana, vile vile tunafanya kazi ndani na nje ya nchi pia

Tupo 2nd Floor Dora Tower, New bagamoyo Rd, Mwenge bamaga, Dar Es Salaam Tanzania (HQ)

Branches ni Arusha, Dodoma, Mbeya & Mwanza

Mawasiliano : +255 (0) 719 263 074

Kwa usiamizi na uandaaji wa tukio lolote usisite kutupigia +255 (0) 719 263 074 Tupo Bamaga, Mwenge Dar Es Salaam
16/04/2024

Kwa usiamizi na uandaaji wa tukio lolote usisite kutupigia

+255 (0) 719 263 074

Tupo Bamaga, Mwenge Dar Es Salaam

Katika dhifa yoyoye ya kitaifa ambayo mgeni rasmi anakua mkuu wa nchi, basi katika ukaaji yeye ndio anapaswa kukaa katik...
22/03/2024

Katika dhifa yoyoye ya kitaifa ambayo mgeni rasmi anakua mkuu wa nchi, basi katika ukaaji yeye ndio anapaswa kukaa katikati ya viongozi wote wakuu watakaokua High Table, then kiongozi anaemfuatia atakaa mkono wake wa kulia na wa tatu atakaa mkono wake wa kushoto, na mtirirko utakua hivyo hivyo hadi viongozi wote walioalikwa kuketi meza kuu watakapokaa

Kwa mafunzo mbali mbali kuhusu Diplomasia na Itifaki usisite kuwasiliana na sisi

Dora Tower, 2nd Floor, New bagamoyo Road, Mwenge Bamaga Dar Es Salaam Tanzania

+255 (0) 719 263 074

Leo naomba tueleweshane namna sahihi ya kuwatambulisha viongozi wa nchi, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu...
18/03/2024

Leo naomba tueleweshane namna sahihi ya kuwatambulisha viongozi wa nchi, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu (Rais)

Kumekua na utaratibu wa baadhi ya watu kutabulishwa kwa kuanza na neno Mheshimiwa Fulani, ili hali yeye hana sifa hiyo

Kuna aina kuu mbili za watu wanaotambulishwa kwa kuanza na neno mheshimiwa

01 Viongozi wote wanaochaguliwa na wananchi, ndio pekee wanapaswa kutambulishwa kwa kuanza na neno Mheshimiwa

Mfano Mh Joe Mkama, Mwenyekiti wa mtaa wa ubungo, Mh John M, mwenyekiti wa Kata ya makongo
Mh Joseph J Diwani wa kata ya makongo
Mh Hamis M Mbunge wa Jimbo la Muheza
Mh Philip Isdor Mipango Makamo Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Rais
Mh Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi mkuu.

02 Wateule wa Rais kwa maana ya Mawaziri, Wakuu wa Mkoa na wilaya tu, na wale wote waliobaki watatambulishwa kwa kutumia neno Ndugu/ Jina lake

Mfano, Halima Bulambo Mkuu wa wilaya ya kigamboni
Mh, Amos Makala Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Mh Doto Biteko Naibu Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh Kasim Majaliwa Majaliwa Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hapo ndio mwisho wa kutumia neno Mheshimiwa katiba utambulisho wengine wote waliobakia kuanzia katibu mkuu, Mkurugenzi, Madas na Maras wote watatambulishwa kwa majina yao.

Je una tukio lolote na ungependa tuliratibu na kulisimamia(Planning % Management) sisi ndio suluhisho

Piga +255 (0) 719 263 074

Tupo Dar Es Salaam Tanzania

The Event masterDo you have Offical Event, Seminar, Royal Wedding,  Meeting & Birthday, and you looks for company which ...
14/02/2024

The Event master

Do you have Offical Event, Seminar, Royal Wedding, Meeting & Birthday, and you looks for company which is going to make youre event un forgetable?

Call us +255 (0) 719 263 074

Je una mkutano, semina, harusi, washa au sherehe ya aina yoyote ile na ungependa upate kampuni bora ya usimamizi na uand...
01/02/2024

Je una mkutano, semina, harusi, washa au sherehe ya aina yoyote ile na ungependa upate kampuni bora ya usimamizi na uandaaji wa shughuli yako na iweze kufaana bila stress zozote zile? Basi suluhisho hilo limepatikana nao ni Joex Events wakali wa hizi kazi, tutaifanya sherehe yako ionekane bora na yenye thamani kubwa kuliko kawaida na kwa gharama nafuu sana

Tupigie sasa tukupe huduma hii kwa ubora mkubwa sana

Tunapatikana Mikocheni Dar Es Salaam Tanzania

+255 (0) 719 263 074

Call +255 (0) 719 263 074
09/12/2023

Call +255 (0) 719 263 074

Kiitifaki kiongozi wa kitaifa au mgeni rasmi kwenye tukio lolote ndie hua mtu wa mwisho kuingia, na endapo ataingia haku...
21/11/2023

Kiitifaki kiongozi wa kitaifa au mgeni rasmi kwenye tukio lolote ndie hua mtu wa mwisho kuingia, na endapo ataingia hakuna mtu yoyote ataruhusiwa kutoka, na mara baada ya tafrija kuisha yeye ndie huwa wa kwanza kutoka uwanjani/ ukumbini na wengine kufuatia

Unahitaji huduma za kiitifaki(Protocol & Ushers) kwenye Shughuli zako?

Tupigie +255 (0) 719 263 074

Hivi unafahamu kwamba ukiwa kwenye tukio, mkutano, au dhifa yoyote iliyouhdhuliwa na viongozi, halafu katika wakati wa k...
21/11/2023

Hivi unafahamu kwamba ukiwa kwenye tukio, mkutano, au dhifa yoyote iliyouhdhuliwa na viongozi, halafu katika wakati wa kitambulisha viongozi, mwishoni ukasema Itifaki imezingatiwa hapo unakua haujaizingatia? Badala yake baada ya kuwataja viongozi unapaswa uende kwenye salamu moja kwa moja na hatimae kuzungumza kile unachopaswa kusema

Je una Mkutano, Washa, Harusi, Matamasha na unahitaji huduma ya Protocol & Ushers? Usisite kutuamini tupo kwa ajili ya kuifanya Event yako iwe mara 100 zaidi ya ulivyokua unaifikilia

Tupigie sasa +255 (0) 719 263 074

Tupo Mwai Kibaki Rd, Mikocheni Dar Es Salaam Tanzania

Protocol & Etiguette ( Itifaki & Adabu) ni moja ya kiungo muhimu sana kwenye kila shughuli za kiserikali, kijamii na hat...
21/11/2023

Protocol & Etiguette ( Itifaki & Adabu) ni moja ya kiungo muhimu sana kwenye kila shughuli za kiserikali, kijamii na hata kifamilia? Sasa leo nikufahamishe tu jambo moja kuhusu Protocol & Etiquette katika sherehe, tukio, dhima na kazi yoyote katika nchi ya Uingereza ambapo malkia au mfalme anapokuwepo hapo

Kwanza, Mfalme/ Malkia ndio mtu wa Mwisho kuingia kwenye tafrija na ndio mtu wa kwanza kutoka baada ya tafrija, na akishaingia hakutakua na mtu yoyote anaeruhusiwa tena kuingia

Wakati wa chakula, Malkia / Mfalme ndie atakua wa kwanza kupewa chakula na wageni wengine watafuatiwa, na watu wote mlioko kwenye hiyo sherehe mtasitisha mara moja kula ikiwa tu Malkia au Mfalme amesitisha kula/ ameshiba

Je unahitaji kuendelea kujifunza? Una sherehe, mahafali, Sendoff, Ndoa, Washa, Tamasha na unahitaji watu wa kupanga na kusimamia tukio zima? Basi tuone kwa usaidizi na kuifanya siku yako iwe ya kipekeee sana

Tupigie +255 (0) 719 263 074

Tupo Mikocheni Shoppez Plaza

Je una sherehe, washa, mahafari, Ndoa, Mikutano na matukio yoyote yanayohitaji huduma ya usimamizi? Basi ondoa shaka Joe...
14/11/2023

Je una sherehe, washa, mahafari, Ndoa, Mikutano na matukio yoyote yanayohitaji huduma ya usimamizi? Basi ondoa shaka Joex Event Tanzania wapo kuhakikisha huduma za kushughulikia sherehe yako inafanana na ambavyo wewe unapenda iwe, tunao watu wa itifaki na wenye ueledi mkubwa wa kusimamia tukio lako na likafaana

Tupo Mwai Kibaki Rd, Mikocheni Dar es salaam Tanzania

+255 (0) 719 263 074

Je una Harusi, Semina, Washa au dhima ya kitaifa na kimataifa? Na unajiuliza wapi utapata huduma bora ya Itifaki, Ushers...
08/11/2023

Je una Harusi, Semina, Washa au dhima ya kitaifa na kimataifa? Na unajiuliza wapi utapata huduma bora ya Itifaki, Ushers? Basi tumekuna kufanya Event yako iwe ya kitofauti kwa kukuletea huduma za kushughulika na tukio lako kwa gharama nafuu sana

Tupigie sasa +255 (0) 719 263 074

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
77087

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00

Telephone

+255719263074

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joex Events posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Joex Events:

Share

Category


Other Event Planners in Dar es Salaam

Show All