Mama Ntikha Catering and Decoration Services

Mama Ntikha Catering and Decoration Services Official FbPage for Mama Ntikha Catering and Decoration Company limited where we can meet with our c

Kampuni hii imesajiliwa na mawakala wa usajili wa biashara na leseni (BRELA), inatambulika na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) na hulipa kodi kupitia TIN # 113-133-155 katika mamlaka ya mapato Tanzania (TRA). Kampuni hii inauzoefu wa miaka isiyopungua 10 ya uchapakazi wake, hivyo basi kwa huduma za Mapambo na mapishi usisite kuwasiliana nasi, kwani tunakuahidi kukuhudumia vyema bila kujuta kwa ushirikiano mzuri na kamati husika.

Work on progress, tupe kazi tufanye kazi,Loc: christ the king, Tabata. -6.83410 39.21745With Preciouslove Cakes for cake...
01/11/2022

Work on progress, tupe kazi tufanye kazi,

Loc: christ the king, Tabata. -6.83410 39.21745

With Preciouslove Cakes for cakes

26/09/2020

Sendoff vibe k**a lote pamoja nasi, hakuna kupuyanga, full shangwe
24/09/2020

Sendoff vibe k**a lote pamoja nasi, hakuna kupuyanga, full shangwe

Mapambo kwa shughuli mbalimbali, tunakupambia na kukubadilishia muonekano wa eneo lako(ukumbi wako) kwa shughuli yako mp...
25/07/2020

Mapambo kwa shughuli mbalimbali, tunakupambia na kukubadilishia muonekano wa eneo lako(ukumbi wako) kwa shughuli yako mpaka ushangae. n.k

Tunaendelea kutoa huduma Bora kwa Afya ya mwili yako na kukuacha pasipo kujuta. Karibuni tuendelee kuwahudumia/ kukuhudu...
25/07/2020

Tunaendelea kutoa huduma Bora kwa Afya ya mwili yako na kukuacha pasipo kujuta. Karibuni tuendelee kuwahudumia/ kukuhudumia

Tunaendelea kuhudumia wateja wetu, wasiliana nasi kwa mapambo, mapishi na keki zikiwemo pamoja na ushauri wa uendeshaji ...
15/06/2020

Tunaendelea kuhudumia wateja wetu, wasiliana nasi kwa mapambo, mapishi na keki zikiwemo pamoja na ushauri wa uendeshaji wa shughuli yako tukiwa na uhusiano mzuri wa makampuni na wadau mbalimbali katika kukusaidia kuedesha shughuli yako Tanzania nzima.

03/02/2019

Sw: Tukihudumia wateja wetu kwa huduma ya chakula na mapambo katika hafla ya uzinduzi wa nyumba, karibuni muendelee kuhudumiwa nasi.
En: Providing Catering and Decoration service to our customers when celebrating a party for launching their new house, welcome to continue being served by us.
with Precious love Cakes

24/01/2019

Kuelekea msimu wa sikukuu ya wapendanao (Valentine season) tumejidhatiti kukuhudumia wewe mteja wetu katika kutimiza furaha yako ya kuonyesha upendo kwa mwenzi wako, mtu wako, jamaa yako, rafiki yako, wafanyakazi wenzako kuwaonesha upenzo kupitia bidhaa zetu tuzitoazo msimu huu kupitia kampuni yetu iliyosajiriwa kuhudumu kwa utoaji wa vyakula na madawa na mamlaka husika . Karibu tukuhudumie

02/01/2019

Mama Ntikha Catering and Decoration Services Company and our affiliated member Precious Love wishing you joyful life with a lot of success in this new year 2019, keep staying with us for better catering, decoration, cakes, pastries and other services... Happy new year to you who sees this post.

18/12/2018
18/12/2018
Forget Nsanze Marriage Ceremony at National Museum of Tanzania near by Institute of finance management(IFM) Dar es salaa...
18/12/2018

Forget Nsanze Marriage Ceremony at National Museum of Tanzania near by Institute of finance management(IFM) Dar es salaam

Home based catering service, event: marriage committee meeting. Date: 18 nov 2018. Check us for better service like this...
18/11/2018

Home based catering service, event: marriage committee meeting. Date: 18 nov 2018. Check us for better service like this for any occasion from registered catering and decoration service provider, taxpayer for our country development...

Happy birthday mchungani wangu, Suma Mwakisyala.KKKT Usharika wa Yombo kuu
13/08/2017

Happy birthday mchungani wangu, Suma Mwakisyala.KKKT Usharika wa Yombo kuu

Hongera mkata keki kwa tukio la ndoa yako 12/08/2017
13/08/2017

Hongera mkata keki kwa tukio la ndoa yako 12/08/2017

Karibu tukuhudumie chakula kwa shughuli mbalimbali...  # 29april 2017@Louis Montifort Day #
19/05/2017

Karibu tukuhudumie chakula kwa shughuli mbalimbali... # 29april 2017@Louis Montifort Day #

19/05/2017

Ni kipindi cha kuzaliwa maqueen "QUEENS ARE BORN IN JUNE" wasiliana nasi tukupatie keki itakayokufanya ujisikie karibu na mama yako. weka order mapema. kwa namba zetu 0655677828, 0767677828 au 0784677828 kwa keki za birthday, send-off, wedding, kitchen party, bag party, graduation, commissioning ceremony na ceremony nyingine za aina mbalimbali, pia kwa huduma za mapishi na mapambo usisite kuwasiliana nasi kwa bei nafuu

Address

Dar Es Salaam
9192

Telephone

+255655677828

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama Ntikha Catering and Decoration Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mama Ntikha Catering and Decoration Services:

Videos

Share