Johnson Magobela

Johnson Magobela Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Johnson Magobela, Performance & Event Venue, Kimara baruti, Dar es Salaam.

Ndugu yangu vifaa hivi ninaviuza karbu
23/08/2023

Ndugu yangu vifaa hivi ninaviuza karbu

15/08/2023

Kaa tayari kupokea hizi baraka kutoka kwa team yako pendwa THE DOXAZ ni ijumaa hii wimbo utakuwa hewani youtube. Usisahau kushare na ku subscribe. https://youtu.be/90CC5t0Zsks
πŸ₯³πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜ŠπŸ€—πŸ€—

Tujifunze Hapa.....Leo katika pitapita zangu nikasikia wadada wanawazungumzia wale wageni wetu kutoka sudani wakiwasifia...
21/06/2023

Tujifunze Hapa.....

Leo katika pitapita zangu nikasikia wadada wanawazungumzia wale wageni wetu kutoka sudani wakiwasifia sana kwa uzuri wao, Vijana mtandaoni wamefanya ndio story na kuna wengine tayari wanapitapita maeneo ya chuo cha Muhimbili , lakini tukumbuke katika wale mabinti hakuna aliyevaa wingi la uturuki, hakuna aliyevaa nusu uchi wala kope za bandia ila uzuri na Urembo walionao umewatamburisha na kutoa gumzo kwa watu wengi mchini

Nb: Ubora na uzuri ulionao utajitambulisha na kuonekana wenyewe

Address

Kimara Baruti
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Johnson Magobela posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Johnson Magobela:

Videos

Share

Nearby event planning services


Other Performance & Event Venues in Dar es Salaam

Show All