Dunstan VIDEO Production

Dunstan VIDEO Production Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dunstan VIDEO Production, Wedding planning service, Dar es Salaam.

Haya uliza lolote nikujibu sasa!
01/01/2025

Haya uliza lolote nikujibu sasa!

Haka kapicha nilikapiga tarehe k**a ya Leo ilikuwa tarehe 31/12/2022 Nje kidogo ya Jiji la D'salaam,   Ilikuwa ni shughu...
31/12/2023

Haka kapicha nilikapiga tarehe k**a ya Leo ilikuwa tarehe 31/12/2022 Nje kidogo ya Jiji la D'salaam,

Ilikuwa ni shughuli ya Wazaramo, ila Wazaramo nyieee 😂😂😂😂😂😂

Action! WhatsApp 0789 409 460
17/09/2023

Action!
WhatsApp 0789 409 460

Kila Hatua Dua 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
25/08/2023

Kila Hatua Dua 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Kwa HUDUMA ya Video shooting na still picture wasilianana nasi Kwa simu namba 0743222537
09/08/2023

Kwa HUDUMA ya Video shooting na still picture wasilianana nasi Kwa simu namba 0743222537

Kila kazi Ina changamoto zake, Leo naomba tupeane Uzoefu, tuambie unafanya kazi gani na changamoto yake ni ipi.  Kwetu S...
05/07/2023

Kila kazi Ina changamoto zake,
Leo naomba tupeane Uzoefu, tuambie unafanya kazi gani na changamoto yake ni ipi.

Kwetu Sisi changamoto yetu kubwa ni mtazamo wa Watu, Wengi wanaamini Kuwa Wapiga Picha wengi ni MALAYA SANA. Hili Jambo linatunyima AMANI hata kwenye Ndoa, utasikia tu hii KAZI baba Fulani Bora tu ubadirishe kazi baba maana sina IMANI NA WEWE KABISAAA.

Haya tuambie wewe Sasa unafanya KAZI Gani na Changamoto Yako ni ipi??

Iwe Jua ama Iwe Mvua, wakati wa furaha au wakati wa huzuni, Kwa nyakati zote uzipitiazo usimwache Mungu akupaye Pumzi.
27/06/2023

Iwe Jua ama Iwe Mvua, wakati wa furaha au wakati wa huzuni, Kwa nyakati zote uzipitiazo usimwache Mungu akupaye Pumzi.

Mungu ibariki kazi ya Mikono yangu!
11/07/2022

Mungu ibariki kazi ya Mikono yangu!

16/03/2022
Wale wakoma kumi walisema hivi tukibaki hapa tutakufa na tukitoka hapa tutakufa pia, wakaamua!
04/11/2021

Wale wakoma kumi walisema hivi tukibaki hapa tutakufa na tukitoka hapa tutakufa pia, wakaamua!

13/09/2021
Hiki ni kipindi muhimu kwa WATANZANIA, lakini pia ni kipindi hatarishi sana kwa nchi zetu za Africa zinapoingia katika U...
12/09/2020

Hiki ni kipindi muhimu kwa WATANZANIA, lakini pia ni kipindi hatarishi sana kwa nchi zetu za Africa zinapoingia katika UCHAGUZI MKUU. Kipindi k**a hiki ndicho kipindi muhimu sana kwa kila MTANZANIA kuonesha uzalendo wake kwa kuhakikisha anakuwa sababu ya kuidumisha AMANI ya NCHI, Neno hili la kuidumisha AMANI YA NCHI halina maana ya mtu asiwe huru kuchagua chama akipendacho HAPANA, kila mmoja wetu anayo haki ya kuchagua CHAMA akipendacho ila hapa nina maanisha kwamba kabla huja chukua hatua ya kuandamana au kuharibu mali za watu wengine na kusababisha umwagaji wa damu unapaswa kujiuliza Je, wewe ni MTANZANIA? na je, UZALENDO WAKO UKO WAPI?
kumbuka kuna maisha baada ya UCHAGUZI, Kila mmoja wetu na aombe kwa kadiri ya NEEMA YA MUNGU ILIYOKO NDANI YAKE!

Tunawapenda sanaaaaaaaah!
24/05/2020

Tunawapenda sanaaaaaaaah!

K**a leo nitaulizwa unapenda nini basi nita jibu hivi:-  Mimi Dunstan (Danny) Napenda kuwa na Amani na wewe unayesoma uj...
24/05/2020

K**a leo nitaulizwa unapenda nini basi nita jibu hivi:-
Mimi Dunstan (Danny) Napenda kuwa na Amani na wewe unayesoma ujumbe huu!

11/05/2020
26/04/2020

Muone mwenzako ni bora kuliko wewe!

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dunstan VIDEO Production posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dunstan VIDEO Production:

Videos

Share