Sahara Sparks

Sahara Sparks The corporate events management company, the company is behind East Africa's largest Innovation and T

"Theam ya mwaka huu ya Sahara Sparks 2024 "PEOPLE, SKILLS, FUTURE, inaendana na moja ya agenda yetu ya kuzidi kuwapa maa...
14/06/2024

"Theam ya mwaka huu ya Sahara Sparks 2024 "PEOPLE, SKILLS, FUTURE, inaendana na moja ya agenda yetu ya kuzidi kuwapa maarifa wamiliki wa startups nchini, hivyo hii ni sehemu ya startups zote kushiriki ili kuonesha bunifu zao, kuongeza maarifa hali kadhalika kuongeza watu muhimu, vyote hivi viwasaidie katika kuboresha na kukuza kampuni zao hapo baadae."

Fatuma Kweka
Communications and Membership Lead at Tanzania Startup Association (TSA)

 "Ningewashauri wadau wote katika sekta za kiserikali na sekta binafsi, washiriki katika Sahara Sparks 2024, kwani kupit...
14/06/2024


"Ningewashauri wadau wote katika sekta za kiserikali na sekta binafsi, washiriki katika Sahara Sparks 2024, kwani kupitia Sahara Sparks si tu watu watajifunza juu ya bunifu mpya na solutions mpya za kutatua changamoto zetu, ila pia uwepo wa wadau kunasaidia kujua changamoto zinazo wakabili wabunifu wenyewe pia hata sisi serikali kujua changamoto zetu na kupitia Sahara Sparks tukapata bunifu za kutusaidia.

Hivyo natoa wito kwa makampuni binafsi, taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali, raia na woote kwa ujumla tyhudhurie katika mtiririko wote wa events za Sahara Sparks mpaka kilele tarehe 27 na 28 mwezi wa 9/2024.

Eng. Samson John Mwela
Directorate of Knowledge Management
Tanzania Commission for Science and Technology

Today, we officially launched Sahara Sparks, beginning an exciting journey into the world of innovation and technology. ...
14/06/2024

Today, we officially launched Sahara Sparks, beginning an exciting journey into the world of innovation and technology. This week is dedicated to celebrating and showcasing groundbreaking ideas, transformative technologies, and inspiring entrepreneurs shaping the future. As we look forward to the grand finale on September 27-28, we invite everyone to join us in exploring the latest advancements, networking with industry leaders, and being part of a vibrant community of innovators. Stay tuned for a series of engaging events, insightful discussions, and unparalleled opportunities to learn and grow.

Address

Sahara Ventures
Dar Es Salaam
P.O.BOX110199

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sahara Sparks posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sahara Sparks:

Videos

Share

Category