Connect with us today 0745015421
Mpendwa Mteja karibu Unipromotech wauzaji wa Printer, Photocopier, Router, Money Counter, Safe box nk
Sisi pia ni Washirika Rasmi wa Biashara wa Vodacom, tupo kukusaidia kwa huduma zifuatazo;
1. Vifurushi vya Simu/Data
2. Internet Bila kikomo(FWA 5G Shared Hapa unaweza kupata router kwa mkataba, ukanunua au ukaunganishwa kwa router yako malipo ya mwezi yanaanzia 120,000 30Mbps)
3. Cloud na Hosting
4. Dedicated Internet (Kupitia Microwave au Fiber)
5. Akaunti ya Biashara ya M-Pesa (B2C & C2B)
Tupigie 0745015421 au 022 270 0001
Fanikisha biashara, shughuli zako na mapumziko nyumbani ukiwa na Intaneti ya Vodacom yenye kasi ukiwa na router za 4G/5G.
Unganishwa popote ukiwa na router yako, au nunua router kwetu au jipatie Router kwa mkataba
Tembelea dukani kwetu Mwenge Jirani na Kituo cha daladala cha kwenda tegeta au tupigie 0745015421 kuhudumiwa popote. #biasharapamoja #homeinternet #gaming #online #shopping #streaming #netflix #showmax #holiday
#MachineryExpo2024 #SabaSabaGrounds #Tanzania #Innovation #Manufacturing #Networking #BusinessOpportunities.
Yaani wakala unapata hasara na wakati sisi tupo? Jipatie Machine za kuhesabia hela kwa bei nafuu. Tupigie tu 0745015421 au tutembelee tupo Mwenge Mataa jirani na kituo cha daladala cha kwenda Tegeta na mikoani tunatuma
Mtandao kwako bado unalodii? tupigie 0745015421 kupata suluhisho. Tupo Mwenge Mataa jirani na Kituo cha Daladala cha kwenda Tegeta @unipromotech @unlimitedinternet_
Karibu tukuhudumie. Tutembelee Mabibo Hostel Ubungo au tupigie 0745015421
Hesabu chap chap bila wasi na Al 1600 Counting Machine. Tupo Ubungo Mabibo Hostel tupigie 0745015421. Mikoani tunatuma
Karibu ulimwengu wa technolojia. Unapofanya utafiti wako kabla ya kuamua nini ununue tupigie 0745015421
*Expression of Interest for participation in the YouthTeamUp Program 2024*
Hello UDSM Students! Welcome to the YouthTeamUp Project! We are thrilled to have you on board!
In this program, you'll have the chance to develop your own Global Impact Project (GIP) within the SDG areas of Food Security/Agriculture, Health, Climate Change, and Gender Equality. You'll collaborate with international teams to craft innovative concept ideas.
The program kicks off on March 4th, 2024, and is entirely virtual! We offer a diverse range of learning content covering various topics:
Soft skills (e.g., project management, intercultural communication, time management)
Societal challenges, focusing on the United Nations' Social Development Goals (SDGs)
Introduction to Idea Generation methods (e.g., Design Thinking) and Entrepreneurial Models (e.g., Lean Model Canvas)
Insights into Commercialization of Innovations (e.g., Intellectual Property Rights)
Introduction to Internet of Things (IoT), Artificial Intelligence (AI), and Machine Learning
Practical examples, Success Stories, and Inspirations
*_Exciting news for UDSM-students ONLY: We will prepare a venue for you at the College of ICT where you can dive deeper into the YTU-program with extra info and support._*
To join us, simply register here https://forms.gle/P1FP3gMBnhSr6Bm88
For more info call 0764015421
Our Partener in India @insoftsolution