Grakea HALL

Grakea HALL For Wedding /Send-off /Kitchen party /Graduation /Seminars /Conferences /Meetings.

Ulikuwa Usiku mzuri sana wa Harusi ya Bwana Hassan Ally Hizza na Bi Rehema Asini Mziray
02/11/2024

Ulikuwa Usiku mzuri sana wa Harusi ya Bwana Hassan Ally Hizza na Bi Rehema Asini Mziray

Ulikuwa usiku mzuri wa Ni Flora Leonard Mwanya 25 October Grakea HALL
26/10/2024

Ulikuwa usiku mzuri wa Ni Flora Leonard Mwanya 25 October Grakea HALL

Ilikuwa siku nzuri ya furaha kubwa kati ya Bwana Gelly J Myemba na Bi Irene D Charles baada ya kufunga ndoa takatifu 5/1...
08/10/2024

Ilikuwa siku nzuri ya furaha kubwa kati ya Bwana Gelly J Myemba na Bi Irene D Charles baada ya kufunga ndoa takatifu 5/10/2024 na baadae sherehe katika ukumbi wa Grakea HALL Gongo la Mboto mwisho wa lami..

Ulikuwa usiku mzuri wa Harusi ya Julius na Juliana na Rasmi wamekuwa Mr & Mrs J J Utouh
30/09/2024

Ulikuwa usiku mzuri wa Harusi ya Julius na Juliana na Rasmi wamekuwa Mr & Mrs J J Utouh

Erick and Irene Night at Grakea HALL
15/09/2024

Erick and Irene Night at Grakea HALL

Usiku wa Erick na Irene ndani ya Grakea HALL .
14/09/2024

Usiku wa Erick na Irene ndani ya Grakea HALL .

Tunamshukuru sana Mungu kwa Ulinzi wake mkubwa na wa ajabu tarehe 24 May 2014 tulimuita Kuwa mlinzi na kiongozi mkuu wa ...
06/07/2024

Tunamshukuru sana Mungu kwa Ulinzi wake mkubwa na wa ajabu tarehe 24 May 2014 tulimuita Kuwa mlinzi na kiongozi mkuu wa Grakea HALL hajawahi kutuacha hata kidogo , ibada ya kuomba mibaraka na ulinzi iliongozwa na Askofu Msaidizi Chediel Lwiza.

Tunatoa huduma ya Chakula kitamu ndani ya Grakea HALL na hata nje ya ukumbi Karibuni.
05/07/2024

Tunatoa huduma ya Chakula kitamu ndani ya Grakea HALL na hata nje ya ukumbi Karibuni.

05/07/2024
Kamati ya Bunge Ardhi na watendaji wa wizara ndani ya Grakea HALL
01/07/2024

Kamati ya Bunge Ardhi na watendaji wa wizara ndani ya Grakea HALL

Ilikuwa Siku ya Heshima sana kwa Grakea HALL  kupata ugeni wa  Kamati ya Bunge Ardhi na uongozi wote wa juu wa wizara ku...
01/07/2024

Ilikuwa Siku ya Heshima sana kwa Grakea HALL kupata ugeni wa Kamati ya Bunge Ardhi na uongozi wote wa juu wa wizara kuwepo pamoja nasi na wana Ukonga kupatiwa Hati miliki za Ardhi..

29/06/2024
Kwa Ukumbi mzuri full Ac karibu Grakea HALL  Gongo la Mboto Mwisho wa lami ..
29/06/2024

Kwa Ukumbi mzuri full Ac karibu Grakea HALL Gongo la Mboto Mwisho wa lami ..

Karibu GRAKEA HALL Kwa huduma nzuri na za uhakika, Ukumbi mzuri, Chakula kitamu na Mapambo mazuri at Gongo la mboto mwis...
18/06/2024

Karibu GRAKEA HALL Kwa huduma nzuri na za uhakika, Ukumbi mzuri, Chakula kitamu na Mapambo mazuri at Gongo la mboto mwisho wa lami

Address

18100
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Grakea HALL posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Grakea HALL:

Share

Category