
04/04/2024
Tupac Amaru shakuru
Ana julikana pia kwa jina lake la jukwaani k**a 2pac au makavell
Alikuwa mwana muziki wa marekani
Ana zungumziwa kati ya wana muziki wenye ushawishi mkubwa pia mwana mziki aliye fanikiwa wa muda wote
Ni mmjoa kati ya wana muziki bora aliye uza zaidi ya kopi milioni 75 duniani kote
Mashairi yake zana yake katika ushairi ume tambulika k**a mtu aliye kuwa akipigania harakati za watu weusi
(Ita endelea)